Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page104/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   100   101   102   103   104   105   106   107   ...   206

4.9.4.1 Uchawi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na uchawi--yaani matumizi ya nguvu ya kiroho ili kutenda mabaya au kuharibu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kitu kwa kutumia uchawi?

practice sorcery, do magic, work magic, cast a spell, put a spell on, put a curse on, bewitch, conjure, invoke, enchant, bedevil, entrance (v), mesmerize, wave a wand, jinx,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kutumia uchawi?

sorcery, magic (n), witchcraft, black magic, voodoo, voodooism, witchery, wizardry, occult, necromancy,

(3) Maneno gani hutaja jambo mtu analolifanya kwa kutumia uchawi?

spell, curse, hex, enchantment, charm, incantation,

(4) Mtu ambaye hufanya uchawi anaitwaje?

sorcerer, magician, witch, wizard, shaman, witchdoctor, conjuror, necromancer, warlock, charmer, medicine man, alchemist, medium,

(5) Maneno gani humwelezea mtu au kitu kinachoweza kufanya uchawi au ulozi?

have magical powers, magic (adj), magical, supernatural, occult, mystic, weird,

(6) Maneno gani humwelezea mtu ambaye amelogwa?

charmed, bewitched, spellbound, haunted,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kumlinda mtu dhidi ya uchawi?

kulinda na uchawi, kuzindika

(8) Vitu gani hutumika katika kufanya uchawi?

charm, amulet, evil eye, talisman, fetish, wand, rod, divining rod, magic ring, philosopher's stone, magic carpet, cauldron,

(9) Maneno gani hutumika wakati wa kufanya uchawi?

abracadabra, open sesame,

(10) Maneno gani hutaja nguvu ya kiroho iliyo mbaya?

nguvu mbaya, nguvu ovu, nguvu za kishetani, nguvu za kipepo, uchawi

4.9.4.2 Kupagawa na pepo mchafu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hali ya kupagawa na pepo mchafu--yaani wakati pepo au roho anapovuta au kutawala mwenendo wa mtu. Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na uhusiano kati ya watu na mapepo, usisahau mawasiliano kati ya watu na mapepo. Pia tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kutoa mapepo--yaani, kusababisha pepo liache kumwongoza au kumdhibiti mtu.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuathiriwa au kuongozwa na pepo mchafu?

be possessed, be demonized, go into a trance,

(2) Maneno gani hutaja mambo mapepo wanayoyafanyia watu?

kupagawa, kukalia, kuingiza pepo, kuumiza, kufanya makao, kusumbua

(3) Maneno gani hutaja tendo la kumtoa au kumpunga pepo mchafu?

cast out a demon, exorcise, drive out, expel, deliver/free/release from demonic power/influence

(4) Maneno gani humtaja mtu ambaye hutoa au hupunga mapepo?

mpunga pepo

4.9.4.3 Kubariki


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumbariki mtu--yaani tendo la kusema kitu ambacho husababisha kitu chema kitokee, au tendo la kumwomba Mungu afanye kitu chema kwa mtu fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumbariki mtu?

bless, pronounce a blessing, give a blessing, bestow a blessing, invoke,

(2) Maneno gani hutaja kile kilichosemwa katika kumbariki mtu?

baraka

4.9.4.4 Kulaani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumlaani mtu fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumlaani mtu fulani?

kulaani

(2) Maneno gani hutaja maneno ya laana juu ya mtu?

laana, balaa

4.9.4.5 Kudura na bahati


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kudura na bahati--yaani, maamuzi au matendo ya Mungu, viumbe vya kiroho, au nguvu za asilia yanayosababisha au kuathiri kinachomtokea mtu fulani.

(1) Maneno gani hutaja maamuzi ya Mungu kuhusu kinachomtokea mtu fulani?

God's will, providence

(2) Maneno gani hutaja nguvu ya asilia inayopanga kinachomtokea mtu fulani?

destiny, fate, fortune, luck, chance, throw of the dice

(3) Maneno gani hutaja kitu ambacho mtu amebahatika nacho?

majaliwa, bahati, maisha, kudura

4.9.4.6 Unabii


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuongea kwa niaba ya Mungu, pamoja na tendo la kutabiri yatakayotokea baadaye kwa kupitia ujuzi wa Mungu.

(1) Maneno gani hutaja uwezo wa kuongea kwa niaba ya Mungu au kutoa ujumbe wa Mungu?

prophesy, foretell the future, predict the future

(2) Maneno gani hutaja ujumbe unaotolewa?

prophecy, prediction, prophetic utterance

(3) Mtu anayeongea kwa niaba ya Mungu au kutoa unabii anaitwaje?

prophet, prophetess

(4) Maneno gani huelezea kile kilichosemwa katika unabii?

ya kinabii

4.9.4.7 Dalili mbaya, uaguzi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maarifa ya kiroho--yaani kwa njia ya kiroho kupata ufahamu ambao watu wa kawaida hawawezi kuupata.

(1) Maneno gani hutaja maarifa ya kiroho?

supernatural knowledge, foreknowledge, supernatural insight, ability to interpret dreams,

(2) Maneno gani hutaja uwezo wa kuagua siri?

divine, read the signs, foretell the future

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuagua siri?

divination, palmistry, fortune telling, astrology

(4) Mtu ambaye huagua siri anaitwaje?

diviner, fortuneteller, astrologer

(5) Maneno gani humwelezea mtu anayeweza kuagua siri?

clairvoyant,

(6) Maneno gani hutaja kitu kinachoonyesha mambo yatakayotokea baadaye?

augur, betoken, bode, forebode, foreshadow, foretell, foretoken, ominous, portend, prefigure, presage,

(7) Maneno gani hutaja kitu kinachoonyesha au kuweka wazi siri?

omen, sign, harbinger, portent, presage, foreshadowing, message from the beyond

(8) Njia gani hutumika katika kuagua siri?

kutafsiri ndoto, kusoma vitanga vya mikono, kusoma majani ya chai, kusoma karata, kusoma nyota, kuangalia bakuli lenye maji



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   100   101   102   103   104   105   106   107   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page