Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page101/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   97   98   99   100   101   102   103   104   ...   206

4.8.3.6.3 Jeshi la anga


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na jeshi la anga--yaani, jeshi linalopigana kwenye ndege.

(1) Maneno gani hutaja jeshi la anga?

the air force,

(2) Kuna aina gani za majeshi ya anga?

flight, squadron, air fleet, formation,

(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni mali ya jeshi la anga?

air,

(4) Maneno gani humtaja mwanajeshi wa jeshi la anga?

airman, pilot, wingman,

4.8.3.6.4 Askari


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na askari.

(1) Maneno gani humtaja askari?

soldier, combatant, warrior, volunteer, conscript,

(2) Ngazi za jeshi huitwaje?

askari, askari mwenye V moja, askari mwenye V mbili, askari mwenye V tatu, afisa wa jeshi, mkuu wa jeshi, mkuu wa kikosi, msimamizi wa ofisi, nahodha

(3) Majina ya ngazi za jeshi ni yapi?

infantryman, private, buck private, corporal, sergeant, warrant officer, lieutenant, captain, major, colonel, general, field marshal,

(4) Ngazi za uanamaji huitwaje?

sailor, marine, seaman, ensign, petty officer, mate, captain, admiral,

(5) Ngazi za jeshi la anga huitwaje?

airman,

(6) Kuna aina gani za maaskari maalumu?

military police, cavalryman, horseman, spearman, legionnaire, centurion,

(7) Maneno gani humtaja mtu ambaye si askari?

civilian, non-combatant,

4.8.3.6.5 Mpelelezi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mpelelezi.

(1) Mpelelezi hufanya nini?

spy, spy on, spy for, conduct espionage, conduct covert operations, collect information, gather intelligence, betray secrets

(2) Maneno gani hutaja tendo la kupeleleza?

espionage, counter espionage, covert operations, intelligence gathering

(3) Mtu anayepeleleza huitwaje?

spy, agent, double agent, informant, informer, source

(4) Kundi la wapelelezi linaitwaje?

shirika la ujasusi

4.8.3.6.6 Ngome


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ngome.

(1) Maneno gani hutaja ngome?

fort, fortress, base, castle, bunker, post,

(2) Maneno gani hutaja mahali ambapo panatenganezwa kuwa ngome kwa muda mfupi?

fortification, fortified position, prepared position, camp,

(3) Maneno gani hutaja shimo lililochimbwa ardhini ili kulinda maaskari?

foxhole, trench,

(4) Maneno gani hutaja sehemu za ngome?

tower, barracks, dungeon, keep, moat, gatehouse, turret, blockhouse,

(5) Maneno gani hutaja ukuta unaozunguka ngome?

wall, palisade, rampart,

(6) Maneno gani hutaja vitu vinavyozunguka ngome ili kuzuia maadui wasikaribie?

barbed wire, obstacles, mine,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kujenga ngome?

fortify, entrench, strengthen, dig in,

4.8.3.6 Shirika la kijeshi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mashirika ya kijeshi.

(1) Maneno gani hutaja wanajeshi wote wa nchi fulani?

the military, the armed forces,

(2) Maneno gani hutaja shirika la kijeshi?

military organization, branch of the military, the services,

(3) Maneno gani hutaja kundi la wanajeshi?

troops, force, unit,

(4) Aina mbalimbali za majeshi huitwaje?

kikosi, jeshi la wokovu, kitengo, jeshi la askari elfu nne, jeshi la askari lenye kikosi, kundi la askari, kundi dogo la askari, amri kazi

(5) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni mali ya kijeshi?

military,

4.8.3.7 Silaha, kupiga risasi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na silaha na matumizi yake.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja silaha, kwa jumla?

weapon, weaponry, arms, armament, munitions, ordnance,

(2) Maneno gani hutaja kundi la silaha?

armory, arsenal, battery

(3) Kuna aina gani za bunduki?

gun, firearm, rifle, pistol, revolver, repeater, shotgun, six-gun, six-shooter, smoothbore, machinegun,

(4) Sehemu za bunduki zinaitwaje?

holster, trigger, muzzle, chamber, barrel, stock, bolt, bayonet, bore, breech, bullet, butt, hammer, musket, safety, sight,

(5) Kuna aina gani za pinde?

bow, arrow, crossbow, longbow

(6) Sehemu za upinde zinaitwaje?

quiver, string, arrowhead, shaft, feather

(7) Kuna aina gani za mapanga?

sword, knife, bayonet, dagger, bolo, machete, rapier, saber, scimitar, stiletto,

(8) Sehemu za upanga zinaitwaje?

hilt, blade, guard

(9) Kuna aina gani za mikuki?

spear, dart, javelin, pike,

(10) Sehemu za mkuki zinaitwaje?

shaft, tip

(11) Kuna aina gani za mashoka na marungu?

ax, axe, blackjack, club, halberd, hatchet, mace, tomahawk, truncheon,

(12) Kuna aina gani za mizinga mikubwa?

artillery, cannon, bazooka, catapult, howitzer, mortar,

(13) Kuna aina gani za mabomu?

bomb, grenade, mine, missile, rocket, atomic bomb, hydrogen bomb

(14) Sehemu za bomu zinaitwaje?

warhead, fuse, fin

(15) Maneno gani hutaja vitu vinavyopigwa kutoka silaha?

ammunition, bullet, projectile, shot, shell, cartridge, clip, pellet

(16) Kuna aina gani nyingine za silaha?

blowgun, ram, sling, slingshot, whip

(17) Maneno gani hutaja tendo la kutumia silaha?

archery, draw a pistol, draw a sword, draw a bow, fit an arrow, raise a gun, aim, load, stab, hurl a spear, swing an ax, drop a bomb, stick a knife into someone, bludgeon, whip (v)

(18) Maneno gani hutaja tendo la kupiga risasi?

shoot (a gun), shoot at someone, shot, shell, fire, launch, aim, volley,

(19) Kuna aina gani za mavazi ya kujihami wakati wa mapigano?

armor, shield, helmet, breastplate, greaves, buckler, corselet, mail, panoply, plate, plating, bullet proof vest, visor,

(20) Maneno gani huelezea silaha?

defensive, offensive, protective, deadly, weapon of mass destruction, conventional



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   97   98   99   100   101   102   103   104   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page