Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page98/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   94   95   96   97   98   99   100   101   ...   206

Page

4.8.1.1 Kupinga


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupinga jambo unaloliona kuwa baya.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupinga jambo?

oppose, be opposed to, be against, anti-

(2) Maneno gani hutaja jambo mtu analofanya ili kuonyesha kwamba anapinga jambo fulani?

objection, opposition, hostility, antagonism,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kusema kwamba unalipinga jambo fulani?

object to, voice opposition to, express opposition to, raise objections,

(4) Maneno gani humtaja mtu anayepinga jambo fulani?

opponent, the opposition, enemy, foe,

(5) Maneno gani humwelezea mtu anayepinga jambo fulani?

opposing, hostile, antagonistic, opposing,

4.8.1 Uhasama, uadui


Maneno kwenye eneo la maana hili yanaelezea hali ya watu kuwa na mawazo tofauti sana mpaka wanaanza kugombana. Lakini, maneno haya yanadokeza kwamba bado hawajaanza kugombana.

(1) Maneno gani hutaja uhasama au uadui baina ya watu?

conflict, antagonism, discord, disharmony, friction, hostility, ill feeling, rivalry, strife, tension, sit on a powder key, cold war, phony war,

(2) Maneno gani humwelezea mtu aliye na uadui?

hostile, aggressive, combative, contentious, discordant,

4.8.2.1 Kupigania jambo jema


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupigania jambo jema.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupigania jambo jema?

fight for, work for, campaign, champion, be a champion of,

(2) Maneno gani hutaja hatua za kupigania jambo jema?

fight (n) for, struggle for, battle, campaign for, crusade for, drive

4.8.2.2 Kupigana dhidi ya jambo baya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupigana dhidi ya jambo baya.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupigana dhidi ya jambo baya?

fight, fight against, put up a fight, combat, wage war on, campaign, launch a campaign,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kupigana dhidi ya mtu fulani ambaye anajaribu kufanya jambo baya?

fight, fight against, fight back, put up a fight, resist, resistance, put up a resistance, meet with resistance, stand up to, make a stand, take a stand, hold out against, hold your ground, not be moved, be unyielding, not give in, defend your ground, oppose, opposing, opposition, react, withstand

(3) Maneno gani hutaja hatua za kupigana dhidi ya jambo baya?

fight (n) against, struggle against, battle against, campaign against, crusade against,

4.8.2.3.1 Kuvizia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuwavizia watu--yaani kuwashambulia watu bila kuwaonya.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumvizia mtu fulani?

kuvizia, shambulio la kuvizia, kuvizia kwa siri, kuvamia, kutayarisha uvamizi, kushambulia kwa kunyatia, mavizio

(2) Maneno gani hutaja uvamizi au oteo?

ambush (n), mugging, strike (n), sneak attack, surprise attack,

(3) Maneno gani hutaja mtu anayemvizia mtu fulani?

ambusher, bushwhacker,

4.8.2.3 Kushambulia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuwashambulia watu--yaani kuanza kupigana na watu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumshambulia mtu?

attack, lead an attack, the attack fell on, assault, assail, charge, come at, drive, force your way, go for, lay into, make a run on, rush, sail into, set upon, strike, confront, penetrate defenses, be on the offense

(2) Maneno gani hutaja tendo la kushambulia kwenye vita?

attack, invade, storm, raid, besiege, bombard,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kuzunguka adui?

surround, encircle, envelope, encirclement, encircling movement, envelopment,

(4) Maneno gani hutaja shambulio?

attack (n), assault, charge (n), onrush, rush (n), strike (n),

(5) Maneno gani hutaja shambulio kwenye vita?

attack (n), assault (n), foray, invasion, incursion, strike (n), push, raid (n), offense, offensive, onset, onslaught, aggression, ambush (n), sally, siege, sortie, penetration,

(6) Maneno gani humtaja mtu au kikundi ambacho hushambulia?

attacker, attacking force, aggressor, assailant, invader, invasion force,

(7) Maneno gani humtaja mtu au sehemu inayoshambuliwa?

victim, target, be under attack

(8) Maneno gani humwelezea mtu au sehemu ambayo ni rahisi kuishambulia?

vulnerable, sitting duck, be an easy target, open to attack

(9) Maneno gani hutaja tendo la kuanzisha shambulio?

launch an attack, mount an attack, start a fight, pick a fight, be spoiling for a fight, looking for a fight, challenge (someone to fight),

(10) Maneno gani huelezea shambulio lisilosababishwa na tendo la awali?

unprovoked,

(11) Maneno gani hutaja tendo la kumshambulia mtu ambaye ameshakushambulia?

counter-attack, hit back, retaliate, strike back,

4.8.2.4 Kutetea, kujihami


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumtetea mtu dhidi ya uvamizi.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujitetea dhidi ya uvamizi au shambulio?

defend, fight back, hit back at, put up a fight, struggle against, resist, self-defense,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumtetea mtu dhidi ya uvamizi au shambulio?

defend, come to someone's defense, in defense of, in someone's defense, guard, protect, safeguard, shield, stand up for, stick up for,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kufaulu kumtetea mtu au kujitetea dhidi ya uvamizi?

beat back, beat off, drive off, hold out against, fend off, fight off, fling back, repel, repulse,

(4) Maneno gani hutaja utetezi?

defense, resistance,

(5) Maneno gani humtaja mtu ambaye hutetea?

mlinzi

(6) Maneno gani humwelezea mtu asiyeweza kujitetea?

defenseless

(7) Maneno gani huelezea jambo unalolifanya au kitu unachokitumia ili kujitetea?

defensive, protective,

(8) Maneno gani hutaja sehemu ambayo ni rahisi zaidi kuitetea?

fortify, entrench, dig in,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   94   95   96   97   98   99   100   101   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page