4.9.5.8 Kuweka wakfu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuweka wakfu mtu fulani au kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuweka wakfu mtu au kitu fulani kwa matumizi ya kidini?
• dedicate, consecrate, anoint, sanctify, devote, hallow, baptize, circumcise
(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimewekwa wakfu?
• holy, consecrated, sanctified, sacred, devoted, baptized
(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho hakijawekwa wakfu?
• unholy, common
(4) Maneno gani hutaja tendo la kutumia kitu kilichowekwa wakfu kwa jinsi isivyofaa?
• desecrate
4.9.5.9 Kufunga chakula
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufunga chakula--yaani, kutokula kwa kipindi fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutokula kwa kipindi fulani?
• fast, deny (oneself)
(2) Maneno gani humtaja mtu anayejinyima mwenyewe kwa ajili za kidini?
• ascetic
(3) Maneno gani hutaja mazoea ya kujinyima mwenyewe kitu fulani kwa jumla?
• asceticism
(4) Maneno gani hutaja muda wakati mtu hufunga na kujinyima mwenyewe kwa njia nyingine?
• kufunga, Ramadhani, Kwaresima
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na matumizi ya dini--yaani kuishi kwa kuzingatia misingi ya dini.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuzoelea dini?
• kujiweza dini, kumtumikia Mungu
4.9.6.1 Ufufuo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ufufuo--yaani, maisha baada ya kufa, au kuishi tena baada ya kufa.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufufuka?
• come back to life, come back from the grave, come to life, resurrection
(2) Maneno gani hutaja tendo la kumfufua mtu?
• resurrect, raise from the dead, bring back to life, bring back from the dead
(3) Maneno gani hutaja hali ya kuishi milele?
• kuishi milele, uzima wa milele, maisha ya umilele, uzima usio na mwisho
(4) Maneno gani hutaja imani kuwa roho ya marehemu huingia katika mwili wa mtu mwingine au kitu kingine?
• reincarnation, reincarnated,
4.9.6 Mbinguni, jehanamu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mbinguni na jehanamu--yaani, mahali watu wanakoenda baada ya kufa.
(1) Mahali Mungu anapoishi panaitwaje?
• Heaven, the highest heaven, the abode of God, the throne of God
(2) Mahali pa wafu huitwaje?
• Hades, Sheol, the place of the dead, the grave, the other side, the beyond, underworld, nether world,
(3) Mahali ambapo waamini (au watu wazuri) wanaenda baada ya kufa huitwaje?
• heaven, paradise, your reward
(4) Mahali ambapo wasiomwamini Mungu (au watu wabaya) wanaenda baada ya kufa huitwaje?
• hell, the pit, fire and brimstone, eternal damnation
(5) Maneno gani hutaja tendo la kwenda mbinguni au jehanamu?
• pass on, go to heaven, go to hell
(6) Maneno gani huelezea jambo linalohusiana na mbinguni au jehanamu?
• celestial, heavenly, hellish
4.9.7.1 Wanasheria wa dini
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja wanasheria wa dini--yaani watu ambao hufanya ibada ya dini, ambao ni washirika wa dini, waaminio katika dini, viongozi wa dini, na wafuasi wa dini. Kila dini ina maneno yake kwa wanasheria wa dini. Orodhesha maneno hayo kwa kila dini. Mifano iliyotolewa chini ni kwa ajili ya dini ya Kikristo.
(1) Aaminaye katika dini fulani anaitwaje?
• believer, member (of the faith), adherent, follower, practitioner
(2) Aaminaye katika dini ya (Kikristo) anaitwaje?
• Christian, brother, fellow believer, saint
(3) Kiongozi wa dini ya (Kikristo-Kiprotestani) anaitwaje?
• pastor, minister, parson
(4) Kiongozi wa dini ya (Kikristo-Kikatoliki) anaitwaje?
• priest, father, bishop, archbishop, Cardinal, pope, man of the cloth
(5) Maneno gani hutaja kazi ya kuwa kiongozi wa dini fulani?
• pastorate, priesthood, ministry
(6) Maneno gani hutaja viongozi wote wa dini?
• clergy
(7) Maneno gani hutaja wafuasi wa dini ambao sio viongozi?
• laity, layperson, flock
4.9.7.2 Ukristo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotumika katika Ukristo.
(1) Maneno gani hutumika wakati wa kuongelea Ukristo?
• Christian, Christianity, Jesus Christ, the Virgin Mary, the Trinity, the Father, the Son of God, the Holy Spirit, Lord, cross, crucify, crucifixion, resurrection, Bible, Biblical, Scripture, Old Testament, New Testament, Gospel, apostle, church, chapel, churchgoer, priest, vicar, minister, pastor, service, Communion, Mass, sacrament, baptize, baptism, christen, christening, Christian name, confession, Christmas, Good Friday, Easter, crucifix, make the sign of the cross, saint, patron saint, Roman Catholic, Catholic, Pope, papal, Orthodox Church, Reformation, Protestant Church, Protestant, Anglican, Baptist, Methodist, Lutheran, Presbyterian
4.9.7.3 Uislamu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na Uislamu.
(1) Maneno gani hutumika wakati wa kuongelea Uislamu?
• Islam, Islamic, Muslim, Allah, Mohammed, the Prophet, Koran, Kaaba, mosque, sharia, Ramadan, hajj
4.9.7.4 Dini ya Kibaniani au Kihindu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na dini ya Kibaniani au Kihindu.
(1) Maneno gani hutumika wakati wa kuongelea dini ya Kihindu?
• Hinduism, Hindu, New Age, Vishnu, Vedic, guru, reincarnation
4.9.7.5 Ubudha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na Ubudha.
(1) Maneno gani hutumika wakati wa kuongelea Ubudha?
• Buddhism, Buddhist, Buddha, temple, pagoda, nirvana, enlightenment, monk
Share with your friends: |