Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page114/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   110   111   112   113   114   115   116   117   ...   206

5.4.3.2 Kusuka nywele


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kusuka nywele zako.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kusuka nywele?

plait, braid

(2) Kuna aina gani za kusuka nywele?

French braid

(3) Mbinu gani hutumika?

(4) Vifaa gani hutumika?


5.4.3.3 Kuweka rangi kwenye nyweli


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuweka rangi kwenye nywele zako.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuweka rangi kwenye nywele?

to dye, to color, tint, dye

(2) Maneno gani huelezea rangi ya nywele za mtu?

hair color, black, brown, brunette, blond, auburn, red, redhead, dyed, bleached

(3) Mbinu gani hutumika ili kuweka rangi kwenye nywele?

dye, rinse

(4) Vifaa gani hutumika ili kuweka rangi kwenye nywele?

nyeusi

5.4.3.4 Mitindo ya nywele


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mitindo ya nywele.

(1) Maneno gani hutaja mitindo mbalimbali ya nywele za wanawake?

hairstyle, short hair, long hair, braid, wig,

(2) Maneno gani hutaja mitindo mbalimbali ya nywele za wanaume?

kipara, kunyoa kama baharia au wanajeshi

(3) Maneno gani hutaja kutengeneza nywele za mtu katika mtindo fulani?

style (v), braid (v), fix, curl, cut, arrange,

(4) Maneno gani huelezea mtindo wa nywele?

curled, wavy, straight, bobbed, pigtailed,

5.4.3.5 Kunyoa nywele, kukata nywele


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kukata au kunyoa nywele.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kukata au kunyoa nywele?

cut, trim, haircut, barber, scissors, haircutters

(2) Maneno gani humtaja mtu anayenyoa au kukata nywele?

barber, hairdresser

(3) Maneno gani hutaja mahali ambapo nywele hunyolewa?

barbershop, hair salon

(4) Vifaa gani hutumika katika ukataji wa nywele?

mkasi, nyembe

5.4.3.6 Kunyoa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kunyoa.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kunyoa?

shave

(2) Vifaa gani hutumika katika unyoaji?

wembe, burashi ya kunyolea, krimu ya kunyolea

(3) Maneno gani humtaja mtu ambaye ameshanyoa?

clean-shaven,

5.4.3 Kutunza nywele


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kutunza nywele zako.

(1) Maneno gani hutaja matendo yaliyofanyika kwa nywele?

braid, plait, perm, dye, style

(2) Maneno gani huelezea hali ya nywele za mtu?

zilizochanywa, ndefu zinazoanguka mabegani, singa, kipilipili

(3) Maneno gani humtaja mtu ambaye hutunza nywele za wengine?

beautician, hair stylist,

(4) Maneno gani hutaja biashara zinazotunza nywele za watu?

beauty salon, beauty parlor, barber shop, hair salon,

5.4.4 Kutunza meno


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja kutunza meno yako.

(1) Maneno gani hutaja kutunza meno yako?

clean, brush, floss, pick your teeth, gargle

(2) Watu hutumia nini kusafisha meno yao?

toothbrush, floss, toothpick, toothpaste, mouthwash,

(3) Maneno gani hutumika kuelezea hali ya meno yako?

clean, dirty, yellow, decayed, chipped, loose, worn, bad breath, food stuck between the teeth

5.4.5 Kupaka mafuta au marashi kwenye mwili


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kupaka mafuta au marashi kwenye mwili.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupaka mafuta au marashi kwenye mwili?

anoint, perfume, smear, douse

(2) Vifaa gani hutumika katika upakaji wa mafuta au marashi?

marashi, mafuta

5.4.6.1 Tohara


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tohara.

(1) Maneno gani hutaja tohara?

circumcise, circumcision

(2) Sehemu gani ya mwili hukatwa?

foreskin

(3) Vyombo na vifaa gani hutumika?

razor blade, bandage, anesthesia, antiseptic

(4) Nani anafanya upasuaji?

surgeon

(5) Maneno gani hutaja ukeketaji wa wanawake?

tohara, ukeketaji

5.4.6 Kovu la ibada


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuingiza kovu usoni au mwilini kwa ajili ya ibada au vitendo vingine vya kidini, au kwa ajili ya mapambo.

(1) Maneno gani hutaja kovu au alama iliyotengenezwa makusudi kwa kupamba mwili?

tribal scar, tattoo (n), mutilation

(2) Maneno gani hutaja tendo la kutengeneza kovu?

tattoo (v), get a tattoo

(3) Vyombo na vifaa gani hutumika?

pigment

(4) Maneno gani hutaja uchongaji wa meno?

kuchora maua au wanyama katika mwili, kuchonga meno

5.4.7 Kutunza kucha za vidole


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kutunza kucha za vidole.

(1) Maneno gani hutumika kuelezea hatua za kutunza kucha?

manicure, clean, cut, clip, trim, shape, sharpen

(2) Vifaa gani hutumika kutunza kucha?

clippers, scissors, file

(3) Kipande cha kucha kilichokatwa huitwaje?

fingernail clippings

(4) Maneno gani huelezea wakati ukucha unapokua kwenye kidole na kusababisha kidonda?

ingrown nail

(5) Watu hufanyia nini kucha zao?

to bite (your nails), scratch

(6) Maneno gani hutumika katika kupaka rangi kucha?

paint, polish, nail polish

(7) Maneno gani hutumika kuelezea hali ya kucha?

kucha ndefu, kucha safi

5.4 Urembo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na urembo.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kufanya jitihada kwa jumla ili uonekane vizuri zaidi?

adorn, beautify, make oneself attractive, personal care, hygiene, toilet, look your best,

(2) Maneno gani hutaja mapambo mbalimbali wanayojipamba watu nje ya nguo?

urembo



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   110   111   112   113   114   115   116   117   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page