Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea mahali ambapo kwa kawaida moto huwashwa.
(1) Watu huwashia wapi moto?
• fireplace, stove, lamp, lantern, candle, trash heap, firepot, incinerator, furnace, heater, kiln, barbeque, forge, blast furnace, crematorium, brazier, range, cooker, gas ring, burner,
(2) Sehemu za mahali penye moto huitwaje?
• hearth, flue, grate, fireguard, screen, chimney, mantle, fender, hob, trivet,
(3) Sehemu za jiko huitwaje?
• oven, burner, grill,
(4) Sehemu za mshumaa huitwaje?
• candlestick, wax, wick
(5) Sehemu za taa ya moto zinaitwaje?
• utambi
5.5 Moto
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja moto na aina mbalimbali za moto. Maneno hayo yanaweza kuwa maalumu kulingana na kitu kinachoungua (k.m., moto wa kiberiti), ukubwa au kipimo cha moto, au mahali penye moto.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja moto kwa jumla?
• fire, combustion,
(2) Kuna aina gani za moto?
• fireball, torch, firebrand, fireworks, firecracker, burn a field before planting,
(3) Maneno gani hutaja kilichoungua?
• house fire, forest fire, grass fire, wood fire, oil fire
(4) Maneno gani hutaja ukubwa au kipimo cha moto?
• spark, flame, flicker, finger, tongue, flare, blaze, conflagration, inferno, raging inferno
(5) Maneno gani hutaja mahali ambapo moto unaungua?
• motoni
(6) Maneno gani hutaja moto unaowashwa kwa sababu ya ajali?
• blaze, the flames,
(7) Maneno gani hutaja moto unaowashwa kwa kusudi?
• cook fire, bonfire, controlled fire,
(8) Maneno gani hutaja tendo la kuchoma kitu kwa kusudi?
• burn something, set something on fire, set fire to, torch (v),
(9) Maneno gani hutaja uhalifu au jinai ya kuchoma shamba au nyumba ya mtu?
• arson, arsonist
(10) Maneno gani huelezea kitu ambacho huungua kwa urahisi?
• flammable, inflammable, combustible
(11) Maneno gani huelezea kitu ambacho huwezi kukichoma?
• fireproof, unburnable, fire-resistant, unquenchable
Page 5.6.1 Safi, chafu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kuwa kitu fulani ni kichafu au ni safi.
(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni safi?
• clean, spanking clean, spotless, sparkling clean
(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni kichafu?
• be dirty, filthy, soiled, stained, smeared, dusty, spotted, corrupted, grimy, greasy, polluted
5.6.2 Kuoga
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuoga.
(1) Maneno gani hutumika kutaja tendo la kuoga?
• bathe, take a bath, take a shower, wash up,
(2) Maneno gani hutaja tukio la kuoga?
• bath, bathing
(3) Maneno gani humtaja mtu ambaye anaoga?
• bather,
(4) Mtu huogea wapi?
• bathroom, bathtub, tub, shower, shower stall, bathhouse
(5) Vifaa gani hutumika kwa kuogea?
• sabuni, taulo, dodoki
5.6.3 Kuosha vyombo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na uoshaji wa vyombo.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuosha vyombo?
• wash dishes, rinse
(2) Vifaa gani hutumika katika uoshaji au usafishaji wa vyombo?
• burashi, sifongo
5.6.4 Kufua nguo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kufua nguo.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufua nguo?
• wash clothes, launder, do the laundry, dry clean
(2) Hatua za kufua nguo ni zipi?
• soak, scrub, rinse, wring, hang up (to dry), dry, take down, iron, fold, put away, hang up
(3) Nani hufua nguo?
• washerwoman, drycleaners
(4) Vifaa gani hutumika katika kufulia nguo?
• laundry soap, detergent, washing machine, drier, washtub, washbasin, sink, basin, washboard, clothesline, clothespin, bucket, hanger, scrubbing stone
(5) Maneno gani hutaja nguo zinazotakiwa kufuliwa?
• laundry, dirty laundry, dirty clothes, wash (n)
(6) Maneno gani huelezea hali ya nguo?
• safi, chafu, za zamani, nguo mpya, nguo zilizochanika
5.6.5 Kufagia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusafisha sakafu au ardhi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusafisha sakafu au ardhi?
• sweep, mop, scrub, wax, rake
(2) Vifaa gani hutumika?
• broom, dustpan, mop, scrub brush, rake, brush
(3) Maneno gani hutaja vitu ambavyo vimeondolewa?
• sweepings, leaves
5.6.6 Kupangusa, kufuta
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kupangusa au kufuta uchafu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kupangusa uchafu kwenye vitu?
• wipe, erase, to dust
(2) Vifaa gani hutumika?
• dust cloth, rag, eraser, rubber
(3) Maneno gani hutaja uchafu ambao umeondolewa?
• dust
5.6 Kusafisha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusafisha vitu kwa jumla tu.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kuondoa uchafu kwenye kitu fulani kwa jumla?
• clean, scrub, scour, cleanse
(2) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kutumia maji kuondoa uchafu kwa jumla?
• wash
(3) Vifaa gani hutumika katika kusafishia au kuoshea vitu?
• sabuni
Page 5.7.1 Kulala usingizi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kwenda kitandani na kulala usingizi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kujiandaa kwenda kitandani?
• get ready for bed, go to bed, turn in,
(2) Maneno gani hutaja kuingia au kuwa kitandani?
• get into bed, crawl into bed, curl up in bed, get under the covers, crawl under the covers, fall into bed (exhausted), jump in bed
(3) Maneno gani hutaja tendo la kwenda kulala?
• go to sleep, fall asleep, drop off, sink into a deep sleep
(4) Maneno gani hutaja hali ya kuhisi kutaka kulala?
• drowsiness, drowsy, sleepiness, sleepy, somnolence, somnolent, soporific,
(5) Dalili za kuanza kusinzia ni zipi?
• nod, yawn, stretch, eyelids droop
(6) Unasema nini wakati unapohitaji kwenda kulala?
•
(7) Maneno gani hutumika wakati mtu mmoja amemsababishia mwingine kwenda kulala?
• put to sleep, put to bed
(8) Maneno gani hutumika kwa muda ambao huenda kulala?
• bedtime, nighttime, time to go to sleep,
(9) Maneno gani hutaja tendo la kuwahi au kuchelewa kwenda kulala?
• early night, late night, stay up,
(10) Mtu anasema nini wakati mwingine anaenda kulala?
•
(11) Nguo zipi maalumu hutumika wakati wa kulala?
• pajamas, pj's, jammies, nightgown, nightie, nightclothes
(12) Maneno gani hutaja tendo la kukesha na kutokwenda kulala?
• stay up (late), stay awake
(13) Maneno gani hutaja tendo la kumzuia mtu asipate usingizi?
• kumnyima usingizi
Share with your friends: |