6.1.2.1 Kujaribu, jaribio
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba mtu fulani anajaribu kufanya jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kujaribu kufanya jambo fulani?
• try, attempt, make an attempt, experiment, test, make a stab at it, give it a go, try it out, see if it works, make an effort, aim to do something, assay, endeavor, essay, seek to do something, strain, struggle, undertake, venture, give it a whirl, have a try, try and do something, see if you can do something,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kujitahidi au kujaribu kwa bidii kufanya jambo fulani?
• do your best, try your best, put your mind to it, make an effort, be at pains to do something, strive, to the best of your ability, do the best you can, as best you can, give something your best,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kujitahidi kadiri unavyoweza unapojaribu kufanya jambo fulani?
• try for all your worth, do your utmost, do everything you can, do all you can, give your all, pull out all the stops, struggle to do something, go to great lengths to do something,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kujaribu kufanya jambo fulani hata kama lisielekee kufanyikiwa?
• have a go, have a stab at, give it a go, put up a good show,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kujitahidi au kujaribu kwa bidii kupata kitu ambacho kweli unakitaka?
• try for, go for, try out for, shoot for, make a bid for, struggle for, go all out, go after,
(6) Maneno gani hutaja tendo la kujitahidi au kujaribu kwa bidii kufanya jambo fulani kwa mtu fulani?
• bend over backwards to do something, go out of your way to do something, take the trouble to do something,
(7) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo fulani ili kujaribu kufanya jambo lingine?
• try and do something, in an effort to do something, in an attempt to do something,
(8) Maneno gani hutaja jaribio la kufanya jambo fulani?
• attempt (n), endeavor (n), try (n), campaign, drive,
6.1.2.2.1 Kuwa na manufaa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa na manufaa--yaani, maneno yanayoelezea kitu fulani ambacho kinaweza kutumika kwa kufanya jambo fulani.
(1) Maneno gani huelezea kitu fulani chenye manufaa?
• useful, be of use, handy, helpful, valuable, be good for, be worth, constructive, nifty,
(2) Maneno gani huelezea kitu fulani chenye manufaa mengi au manufaa makubwa?
• invaluable, indispensable,
(3) Maneno gani hutaja kitu fulani kikiwa na maufaa hata kama haionekani kwamba manufaa yapo.
• come in handy, come in useful, have its uses,
(4) Maneno gani hutaja sifa za kuwa na manufaa?
• usefulness, utility,
6.1.2.2.2 Kutokuwa na manufaa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kutokuwa na manufaa--yaani, maneno yanayoelezea kitu fulani ambacho hakiwezi kutumika kwa kufanya jambo lolote lile.
(1) Maneno gani huelezea kitu fulani kisicho na manufaa yoyote au kisicho na maana?
• useless, be of no use, be no use, be no good, unhelpful, be of no help, be no help,
(2) Maneno gani hutaja kitu fulani kisicho na manufaa yoyote au kisicho na maana?
• junk, garbage,
6.1.2.2.3 Kupatikana
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kitu fulani kikipatikana kwa kutumika.
(1) Maneno gani hutaja kitu fulani kikipatikana kwa kutumika?
• available, obtainable, at your disposal
6.1.2.2.4 Kuishia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuishia kitu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuishia kitu (yaani kutumia chote)?
• finish, use up, exhaust, run out of, consume, deplete, drink up, exhaust, sap, swallow, tap, use up
6.1.2.2.5 Kuangalia au kutunza kitu fulani
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuangalia au kutunza kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuangalia au kutunza kitu fulani?
• take care of, look after, maintain
6.1.2.2.6 Kutumia vibaya
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupoteza kitu fulani au kukitumia vibaya.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kupoteza kitu fulani au kukitumia vibaya?
• waste, squander, dissipate, uneconomical
6.1.2.2 Kutumia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutumia kitu fulani kwa kufanya jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutumia kitu fulani?
• use, employ (something), make use of, handle, manipulate, wield
(2) Maneno gani hutaja kitu fulani kikitumika kwa shughuli au madhumuni fulani?
• be used to, be used for, be for, for,
(3) Maneno gani hutaja shughuli au kazi ambayo kitu fulani kinatumika kwa ajili yake?
• use (n),
(4) Maneno gani hutaja tendo la kutumia kitu kwa njia isiyo sahihi?
• kutumia vibaya
6.1.2.3.1 Mwangalifu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mwangalifu.
(1) Maneno gani humwelezea mtu mwangalifu?
• mwangalifu
6.1.2.3.2 Kufanya kazi kwa bidii
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya kazi kwa bidii au kujitahidi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kujitahidi au kufanya kazi kwa bidii?
• work hard, labor at, strive, try hard, give it your best, do your best, push hard, go all out, wear several hats, hard driving, make an effort
(2) Maneno gani humwelezea mtu anayejitadi au anayefanya kazi kwa bidii?
• industrious, hard working, busy, devoted, devotion, diligent, diligence,
(3) Maneno gani humwelezea mtu anayejitahidi kupita kiasi au anayefanya kazi kwa bidii kupita kiasi?
• overburdened, worn,
Share with your friends: |