6.1.3.2 Kufanikiwa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanikiwa katika kufanya jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanikiwa katika kufanya kazi fulani?
• succeed, success, accomplish, achieve, manage, contrive,
(2) Maneno gani hutaja jambo fulani ambalo umefanikiwa kulifanya?
• success, accomplishment, achievement,
6.1.3.3 Kushindwa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kushindwa kufanya jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kushindwa kufanya kazi fulani?
• fail, unsuccessful, not make it
(2) Maneno gani humtaja mtu ambaye ameshindwa?
• failure
6.1.3.4 Manufaa, faida
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa na manufaa au faida--yaani, jambo linalokusaidia kufanikiwa na ambalo wengine hawanalo.
(1) Maneno gani hutaja manufaa?
• advantage, asset, privilege,
(2) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na manufaa kuliko watu wengine?
• have an advantage, be at an advantage, have something on your side, the odds are stacked in your favor, have a head start, have everything going for you, hold all the cards, have the upper hand, be in a strong position, be in a position of strength,
(3) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani humpatia mtu manufaa kuliko watu wengine?
• give someone an advantage, give someone the edge, be to someone's advantage, be in someone's favor, favor (v),
(4) Maneno gani hutaja hasara?
• disadvantage, handicap, drawback, liability, limitations,
(5) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na hasara ukilinganisha na watu wengine?
• have a disadvantage, be at a disadvantage, be handicapped, the odds are stacked against you, disadvantaged,
(6) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani kinampatia mwingine hasara?
• be to someone's disadvantage, be against,
(7) Maneno gani hutaja hasara na manufaa ya kitu fulani?
• advantages and disadvantages, pros and cons, pluses and minuses,
6.1.3 Vigumu, isiyowezekana
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea jambo ambalo ni gumu au lisilowezekana kulifanya.
(1) Maneno gani huelezea kazi ambayo ni ngumu?
• difficult, hard, challenging, tough, not easy, arduous, demanding
(2) Maneno gani huonyesha kwamba kazi haiwezekani kufanyika?
• kutokuwezekana
(3) Maneno gani hutaja ugumu wa kazi ulivyo?
• difficulty
6.1.4 Utoshelezi wa kazi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuridhika au kutosheleza na kazi yako.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kuridhika au kutoshelezwa na kazi yako?
• job satisfaction, rewarding, fulfilling, satisfying, profitable, like your job, challenging
(2) Maneno gani hutaja hali ya kutoridhika au kutoshelezwa na kazi yako?
• hate your job, boring
6.1.5 Asiyeajiriwa, asiyefanya kazi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kutoajiriwa.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kutoajiriwa?
• kutoajiriwa
6.1.6 Kilichotengenezwa kwa mkono
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu kilichotengenezwa kwa mkono badala ya mashine.
(1) Maneno gani huelezea kitu kilichotengenezwa kwa mkono?
• made by hand, craft, crafted, craftsman, craftsmanship
6.1.7 Kisicho cha asili
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kitu fulani ambacho si cha asili--yaani, kitu ambacho kimetenganezwa na watu.
(1) Maneno gani huelezea kitu fulani ambacho kimetengenezwa na watu?
• artificial, synthetic, man-made, processed
(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho hakikutengenezwa na watu?
• natural, wild, raw, virgin, untamed, organic
6.1.8.1 Kuzoea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa na uzoefu kwenye jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na uzoefu kwenye jambo fulani?
• be accustomed to, used to, familiar with
6.1.8 Mzoefu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa mzoefu katika kufanya jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na uzoefu?
• experienced, seasoned, practiced, veteran, pro
Page 6.2.1.1.1 Kuotesha mchele, kulima mchele
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha au kulima mchele.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima mchele?
• rice paddy, transplant seedling
6.2.1.1.2 Kuotesha ngano, kulima ngano
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha au kulima ngano.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima ngano?
• sheaf
6.2.1.1.3 Kuotesha mahindi, kulima mahindi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha au kulima mahindi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima mahindi?
• ear, husk, stalk, silk
6.2.1.1 Kuotesha nafaka, kulima nafaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayohusiana na kuotesha au kulima mazao ya nafaka, k.m. shayiri, mahindi, mtama, mchele, ufuta, ulezi, na ngano kwa jumla. Ikiwa mazao maalumu yanalimwa kwa wingi na kuna maneno mengi yanayohusika, anzisha eneo la maana kwa ajili yake. Imeshafanyika kwa mchele, ngano na mahindi, kwa sababu nafaka hizi ni kawaida duniani pote.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima nafaka?
• grow grain, sheaf, winnow
6.2.1.2.1 Kuotesha viazi, kulima viazi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuotesha au kulima viazi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuotesha au kulima viazi?
• potato, potato vine, potato mound
Share with your friends: |