6.5.4.1 Barabara
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na barabara.
(1) Kuna aina gani za barabara?
• road, street, lane, path, footpath, way, avenue, boulevard, highway, freeway, thoroughfare, divided highway, paved road, dirt road, improved road, unimproved road
(2) Maneno gani hutumika katika kuelezea barabara zinapokutana pamoja?
• corner, cross street, fork, intersection, juncture, pedestrian crossing, interchange, overpass, underpass, exit
(3) Maneno gani hutaja daraja?
• bridge,
(4) Maneno gani hutaja njia ya barabara au reli ya chini ya ardhi?
• tunnel
(5) Sehemu za barabara zinaitwaje?
• center line, shoulder, edge, median, lane, passing lane, bed, roadbed, surface, pavement, sidewalk, curb
(6) Maneno gani hutumika kwa vibao na alama katika barabara?
• sign, signpost, marker, line, speed bump, reflector
(7) Maneno gani hutumika katika kutengeneza barabara?
• build a road, lay a new road, build up the bed, pave
(8) Maneno gani hutumika katika kuelezea barabara mbaya?
• pothole, road gone to pot, rutted, washboard, dusty, rough, broken pavement, cracked pavement, worn pavement, full of holes, in need of repair
(9) Maneno gani hutumika katika kuboresha au kurekebisha barabara?
• road repairs, repaving, repairing, fixing, detour, fill holes, patching holes
(10) Maneno gani hutaja watu na magari yanayosafiri barabarani?
• usafiri, wasafara, maabiria
6.5.4.2 Mpaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mipaka ya eneo.
(1) Maneno gani hutaja mpaka wa eneo fulani?
• mpaka, eneo
6.5.4 Muundombinu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na muundombinu--yaani vitu vikubwa vinavyojengwa na serikali kwa ajili ya mahitaji ya watu wengi, kama vile barabara, vifaa vya umeme, na bomba za maji.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja vitu kwa jumla ambavyo serikali inavijenga ili kukidhi haja za umma?
• muundo mbinu, muundo msingi, huduma za umma
6.5 Ujenzi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanyohusiana na kazi ya kujenga.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kujenga jengo kwa jumla?
• build, construct
(2) Hatua za kujenga jengo ni zipi?
• design, draft, draw up the plans, survey, excavate (the foundation),
(3) Watu wanaojenga majengo huitwaje?
• construction worker, architect, draftsman, builder, roofer, carpenter, plumber, electrician, bricklayer, mason, cabinetmaker, painter, landscaper, surveyor,
(4) Vifaa gani maalumu hutumika katika kujenga jengo?
• scaffolding
(5) Maneno gani hutaja tendo la kujenga au kusimamisha ukuta?
• frame, erect a wall, put up siding, plaster, mud and wattle
(6) Maneno gani hutaja tendo la kujenga paa?
• kuezeka, kutia paa
Page 6.6.1.1 Aina ya kitambaa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na aina za vitambaa.
(1) Maneno gani hutaja vitambaa?
• kitambaa, nguo
(2) Maneno gani huelezea vitambaa?
• soft, coarse
(3) Maneno gani huelezea nyenzo za kutengenezea vitambaa?
• cotton, wool, nylon, polyester, silk
6.6.1.2 Kusokota nyuzi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusokota nyuzi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusokota nyuzi?
• spin
(2) Vifaa na mashine gani hutumika kwa kusokota nyuzi?
• spinning wheel, distaff, spindle, bobbin, spool,
(3) Kuna aina gani za nyuzi?
• fiber, thread, yarn, string, cord, rope
6.6.1.3 Kufuma
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufuma.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufuma?
• knit, crochet, needlepoint, embroidery
(2) Vitu gani hutumika katika kufuma?
• needle, pattern,
(3) Maneno gani hutaja kupitisha nyuzi mara moja?
• stitch, knit, purl,
(4) Maneno gani hutaja kitu fulani ambacho kimefumwa?
• knitting, knitwear,
(5) Maneno gani huelezea kitu fulani ambacho kimefumwa?
• knitted,
6.6.1.4 Kufuma kitambaa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufuma kitambaa.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufuma kitambaa?
• weave,
(2) Maneno gani humtaja mtu ambaye hufuma kitambaa?
• weaver,
(3) Vifaa gani hutumika katika kufuma kitambaa?
• loom,
(4) Sehemu za kitanda au mtande wa mfumi zinaitwaje?
• shuttle,
(5) Maneno gani huelezea kitambaa ambacho kimetenganezwa kwa kufuma?
• woven,
(6) Maneno gani huelezea sampuli au pambo lililofumwa?
• plaid, tartan,
6.6.1 Ushonaji
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ushonaji.
(1) Maneno gani hutumika kwa ufundi au ustadi?
• tailoring, spinning, sewing, weaving, knitting, rope making, embroidery, cordage
(2) Maneno gani hutumika kwa shughuli hiyo?
• sew, spin thread, embroider, knit, crochet, mend, patch
(3) Hatua za shughuli hiyo ni zipi?
• design, cut out, assemble, stitch, tie, hem
(4) Nani hufanya shughuli hiyo?
• tailor, seamstress, weaver
(5) Nyenzo gani hutumika?
• sisal, cotton, wool
(6) Vitu gani huundwa au hutenganezwa?
• thread, yarn, rope, mat, cloth, clothes
(7) Vifaa gani hutumika?
• needle, knitting needle, spinning wheel, sewing machine, pins, scissors, tape measure
6.6.2.1 Uchimbaji
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na uchimbaji.
(1) Maneno gani hutaja uchimbaji wa madini kutoka katika ardhi?
• mine (v), quarry (v)
(2) Maneno gani hutaja mahali ambapo madini yanachimbwa?
• mine (n), gold mine, coal mine, strip mine, quarry (n), mother lode, deposit, vein, coalfield
(3) Sehemu za mgodi ni zipi?
• mine shaft, tailings, entrance, head
(4) Maneno gani hutaja tendo la kutafuta madini?
• prospecting, pan for gold
(5) Maneno gani hutaja tendo la kupata madini?
• eureka, strike it rich
(6) Maneno gani humtaja mtu ambaye anachimba madini?
• miner, prospector
(7) Vifaa na mashine gani hutumika katika kuchimba madini?
• pan, sluice, Geiger counter, metal detector, pick, rock hammer
Share with your friends: |