Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page129/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   125   126   127   128   129   130   131   132   ...   206

6.6.2.2 Kuyeyusha mawe ya madini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuyeyusha mawe ya madini--yaani kuyeyusha mawe ili kupata metali au chuma kutoka ndani yake.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuyeyusha miamba au mawe ili kupata metali au chuma kutoka ndani yake?

smelt (metal ore), melt

(2) Maneno gani hutaja miamba au mawe yaliyo na metali au chuma ndani yake?

ore

(3) Vifaa na vyombo gani hutumika ili kupata metali au chuma kutoka ndani ya miamba au mawe?

furnace, forge, crucible

(4) Maneno gani hutaja kinachobaki baada ya metali au chuma kimetolewa kutoka ndani ya miamba au mawe?

slag, slagheap, dross

6.6.2.3 Kufanya kazi na chuma


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kufanya kazi na chuma. Jibu kila swali lililopo hapo kwa kila aina ya mfuaji na siyo mfuachuma tu.

(1) Mtu ambaye hufanya kazi na metali au chuma anaitwaje?

smith, blacksmith (iron), goldsmith, silversmith, tinsmith, tinker, jeweler, welder

(2) Mfuachuma hufanya nini?

work with (iron), forge, cast, shape, mold, heat, melt, weld, solder, hammer, work the bellows, hit with hammer, beat, plate

(3) Mfuachuma hutumia mali ghafi gani?

ore, iron, steel, metal, solder, scrap metal

(4) Mfuachuma hutenganeza nini?

metal work, jewelry

(5) Mfuachuma hutumia vifaa gani?

hammer, anvil, tongs, forge, furnace, bellows

(6) Maneno gani hutaja mahali ambapo watu hufanya kazi na metali au chuma?

blacksmith shop, foundry, steelworks

(7) Maneno gani hutaja kipande cha metali au chuma?

nugget, bar, rod, ingot, wire

6.6.2.4 Ufinyanzi, kufanya kazi na udongo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ufinyanzi au kufanya kazi na udongo.

(1) Mfinyanzi hufanya nini na udongo?

mold, shape, form, throw a pot,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kupashia moto udongo ili uwe ngumu?

fire a pot,

(3) Mtu ambaye hufanya kazi na udongo anaitwaje?

potter

(4) Maneno gani hutaja udongo wa mfinyanzi?

clay, lump of clay

(5) Vitu gani hutenganezwa na udongo?

ceramics, pottery, clay pot, clay pipe, clay idol, brick, tile

(6) Vifaa gani hutimika katika kufanya kazi na udongo?

potter's wheel, sponge, kiln, brick form, form for tile, mold

(7) Mfinyanzi hufanya kazi wapi?

workshop, potter's field

6.6.2.5 Kufanya kazi na kioo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya kazi na kioo.

(1) Sonara wa kioo hufanya nini na kioo?

blow, mold, shape, form, anneal

(2) Mtu ambaye hufanya kazi na kioo anaitwaje?

glass blower

(3) Maneno gani hutumika katika kutaja kioo?

glass, crystal

(4) Vitu gani hutenganezwa na kioo?

drinking glass, window, mirror, glasses, lens

(5) Vifaa gani hutimka kufanya kazi na kioo?

furnace, pipe

6.6.2.6 Kufanya kazi na mafuta au gesi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kufanya kazi na mafuta au gesi.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kazi na mafuta au gesi?

petroleum industry, oil company

(2) Maneno gani hutaja kutoboa ardhini kwa mafuta au gesi?

drill for oil, extract, strike oil, gusher

(3) Maneno gani hutaja kisima cha mafuta au gesi?

oil well, gas well, oil field

(4) Maneno gani hutaja tendo la kusafisha mafuta au gesi?

refine

(5) Vifaa na mashine gani hutimika katika kufanya kazi na mafuta au gesi?

oil rig, oil platform, refinery

(6) Vifaa na mashine gani hutumika katika kusafirisha au kuhamisha mafuta au gesi?

pipeline, pump, oil tanker, tank, tanker truck

6.6.2.7 Kufanya kazi na mawe


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya kazi na mawe.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kazi na mawe?

masonry, sculpture, carve

(2) Maneno gani humtaja mtu afanyaye kazi na mawe?

stonemason, sculptor, stone cutter

(3) Mwashi wa mawe hutumia nyenzo gani?

stone, marble

(4) Mwashi wa mawe hutumia vifaa gani?

hammer, chisel

(5) Maneno gani hutaja mahali ambapo mawe yanachimbwa kutoka katika ardhi?

quarry

6.6.2.8 Uashi, kufanya kazi na matofali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya kazi na matofali.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kazi na matofali?

brickwork, lay bricks

(2) Maneno gani humtaja mtu afanyaye kazi na matofali?

mason, bricklayer

(3) Mwashi wa matofali hutumia nyenzo gani?

cement, mortar

6.6.2.9.1 Kulipua


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mabomu au kemikali zikilipua.

(1) Maneno gani hutaja mabomu au kemikali zikilipua?

explode, blow up, detonate

6.6.2.9 Kemia, kufanya kazi na dawa au kemikali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya kazi na dawa au kemikali.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kazi na dawa au kemikali?

chemistry

(2) Maneno gani humtaja mtu afanyaye kazi na dawa au kemikali?

chemist, alchemist

(3) Vifaa gani hutumika katika kufanya kazi na dawa au kemikali?

test tube, beaker, Bunsen burner, periodic table, formula, catalyst

(4) Maneno gani hutaja elementi?

atom, atomic, element, electron, neutron, nuclear, proton

(5) Maneno gani hutaja kemikali?

chemical, compound, molecule, molecular, radical, valence

(6) Kuna aina gani za kemikali?

acid, base, alkali, biochemical, organic, inorganic, synthetic, plastic

(7) Majina ya kemikali au dawa fulani ni yapi?

acetate, alcohol, amino, ammonia, arsenic, asbestos, bicarbonate, butane, camphor, carbohydrate, chloride, chlorine, cleaner, cleanser, colloidal, creosote, cyanide, detergent, diesel, dioxide, emulsion, enamel, ethane, ethanol, ether, fluoride, fluorite, fuel, gas, gel, helium, hydrogen, iodine, leaven, hydrocarbon, hydrochloric, gasohol, gasoline, glycerin, kerosene, lacquer, latex, lithium, lubricant, methane, neon, nitrogen, nylon, oil, oxide, oxygen, ozone, paraffin, peroxide, phosgene, petrochemical, petrol, petrolatum, petroleum, polyester, protein, rayon, resin, rosin, yeast, silicate, silicon, sodium, solution, sol, solvent, spar, sulfuric, tallow, tannin, tartar, thinner, turpentine, varnish, vitriol, water



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   125   126   127   128   129   130   131   132   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page