6.3 Ufugaji
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ufugaji--yaani, kazi ya kufuga wanyama.
(1) Maneno gani hutaja ufugaji?
• animal husbandry, tame, spray (for insects), brand,
(2) Maneno gani hutaja mahali pa kufugia wanyama kama kimbilio la wanyama au kiwanja kinachozungushiwa na ua?
• zizi (la ng'ombe), kizimba, hori, boma
(3) Watu hutunza ndege wapi?
• birdcage, chicken coop
(4) Watu hutunza samaki wapi?
• fish tank, fishbowl, aquarium, fishpond
(5) Watu hutunza wadudu wapi?
• mzinga wa nyuki
(6) Maneno gani hutaja tendo la kupandisha wanyama?
• breed, crossbred, crossbreed, hybrid, interbred, mongrel, stud
Page 6.4.1.1 Kumfuata mnyama wa porini
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumfuata mnyama wa porini.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumfuata mnyama wa porini?
• kufuata
(2) Maneno gani hutaja alama za wanyama kwenye ardhi?
• nyayo, mburuzo
6.4.1 Kuwinda wanyama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuwinda wanyama.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuwinda wanyama?
• hunt (v), hunt (n), lay in wait, blind, decoy, animal call, bag an animal, strike to cause injury, strike hard, kill, flush an animal out of hiding, to suddenly come out of hiding, search, hide, capture, chase away, aim, miss target, shoot, hit target, nick
(2) Silaha gani hutumika kwa kuwinda wanyama?
• spear, hunting bow, arrow, poison for arrow, quiver, hunting net, club, gun
(3) Silaha zinatunzwaje?
• sharpen
(4) Watu huwinda wapi?
• msituni, porini
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuwinda kwa kutumia mbwa?
• kuwinda na mbwa
6.4.2 Kutega
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanyohusiana na tendo la kumtega mnyama.
(1) Kuna aina gani za mitego?
• trap, snare, pit
(2) Maneno gani hutaja tendo la kutega mtego?
• lay a trap, set a snare, dig a pit
(3) Maneno gani hutaja tendo la kushika au kukamata kitu fulani katika mtego?
• catch, trap, snare
(4) Maneno gani hutaja tendo la kushikwa au kukamatwa katika mtego?
• fall into (a pit)
(5) Maneno gani hutaja tendo la kutoroka mtegoni?
• kutoroka, kukimbia
6.4.3 Kuwinda ndege
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuwinda ndege.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuwinda ndege?
• kuwinda (ndege), ulimbo
6.4.4 Ufugaji wa nyuki
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufuga nyuki.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutunza au kufuga nyuki?
• beekeeping, beekeeper, suit, hive, bee, honey, honeycomb, wax, queen, drone, worker, nectar, sting, smoke
(2) Maneno gani hutaja tendo la kukusanya asali?
• kukusanya asali
6.4.5.1 Kuvua na nyavu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanyohusiana na tendo la kuvua na nyavu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuvua na nyavu?
• cast, throw, pull in, bring in, mend net, dry net
(2) Vifaa vipi hutumika katika kuvua samaki na nyavu?
• fishnet, net
(3) Maneno gani hutaja samaki ambao wamekamatwa?
• wavu
6.4.5.2 Kuvua na ndoano
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuvua na ndoano.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuvua na ndoano?
• ndoano
6.4.5.3 Vifaa vya uvuvi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na vifaa vya uvuvi.
(1) Vifaa gani hutumika katika kuvua samaki?
• ndoano, kamba, chambo
6.4.5 Uvuvi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuvua samaki.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuvua au kukamata samaki?
• to fish, to catch (fish), a catch (of fish), fishing boat
(2) Njia zipi hutumika katika kuvua samaki?
• net, hook, angle, trap, spear, arrow, harpoon, poison, dynamite, trawling, fishpond
(3) Watu hufanyia samaki nini?
• kukamata, kutoa magamba, kukausha, kutia kwenye moshi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mambo wanayofanyiwa wanyama (nje ya utunzaji wa mifugo).
(1) Mambo gani hufanyiwa wanyama?
• ride
(2) Maneno gani hutaja mtu anapowahamisha wanyama?
• herd, shoo away, scare off
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuwakamata wanyama lakini siyo kuwaua?
• catch, capture, trap
(4) Maneno gani hutaja tendo la kuwaua wanyama?
• hunt, trap, snare, burn out,
(5) Maneno gani hutumika katika tendo la kuwaua ndege?
• snare
(6) Maneno gani hutumika katika tendo la kuwaua wadudu?
• swat, fumigate, spray, flyswatter, bug spray
(7) Maneno gani hutumika katika tendo la kuwaua samaki?
• fish, fish for, hook, net, spear, bait,
(8) Maneno gani hutumika katika tendo la kuwaua wanyama wote?
• exterminate, become extinct, extinction, wipe out
(9) Maneno gani hutumika katika tendo la kufanyia kitu mnyama aliyekufa?
• butcher, skin, pluck feathers, render,
(10) Maneno gani hutumika katika tendo la kufuga wanyama?
• tame, domesticate, train, pet
(11) Maneno gani hutaja tendo la kuita mnyama?
• bird call
(12) Maneno gani hutumika kwa wanyama wafanyao kazi maalumu?
• watchdog, performing (animal), seeing eye dog, police dog, hunting dog
(13) Matukio gani maalumu yanaonyesha au yanahusu wanyama?
• circus, cockfight, bullfight
(14) Mahali gani maalumu panatengwa kwa ajili ya wanyama?
• kizimba, hifadhi la wanyama
Share with your friends: |