6.3.1.6 Paka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na paka.
(1) Maneno gani hutaja paka?
• cat, feline
(2) Maneno gani hutaja paka dume au paka jike?
• tom, tomcat
(3) Maneno gani hutaja mwana wa paka (au paka mdogo)?
• kitten
(4) Maneno gani hutaja aina za paka?
• Angora, longhaired, shorthaired, Persian, Siamese, tabby
(5) Paka hufanya nini?
• wash themselves, groom, hunt, stalk
(6) Paka hutoa sauti gani?
• kulia
6.3.1.7 Mnyama anayebeba mizigo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na wanyama ambao hutimika kwa kubeba vitu mbalimbali--yaani kubeba watu, kubeba mizigo, au kuvuta vitu. Haya maswali yanahusiana na punda, lakini tumia maswali haya kufikiria wanyama wengine wanaobeba mizigo.
(1) Kuna aina gani za wanyama wanaobeba mizigo?
• beast of burden, horse, equine, donkey, burro, ass, mule, camel, llama, elephant,
(2) Maneno gani hutaja punda dume au punda jike?
• stallion, mare
(3) Maneno gani hutaja mwana wa punda (au punda mdogo)?
• colt, foal, filly
(4) Maneno gani hutaja punda dume aliyehasiwa?
• gelding
(5) Kuna aina gani za punda?
• Arabian, pinto, pony, thoroughbred, racehorse
(6) Punda hutunzwa wapi?
• banda
(7) Vifaa gani hutumika katika kuendeshea punda au farasi?
• saddle, bit, bridle, reins, harness, yoke
6.3.1 Wanyama wanaofugwa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na wanyama wanaofugwa na binadamu. Ikiwa mnyama maalumu anafugwa kwa wingi na kuna maneno mengi yanayohusika, anzisha eneo la maana kwa ajili yake. Kwa mfano, tembo wanafugwa katika baadhi ya nchi za Asia, ngamia wanafugwa katika Mashariki ya Kati.
(1) Maneno gani hutaja wanyama wanaofugwa na binadamu?
• domesticated animal, livestock, pet
(2) Maneno gani hutaja kazi ya kufanya mnyama awe wa kufugwa (yaani kumfundisha mnyama jinsi ya kumtii mwanadamu)?
• domesticate, tame, break (horse)
(3) Maneno gani humwelezea mnyama ambaye amefugwa?
• domesticated, tamed, broken in
(4) Wanyama gani wanafugwa kwa kawaida?
• ng'ombe, kondoo, mbuzi, punda, kuku, bata, njiwa
6.3.2 Kuchunga mifugo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuchunga mifugo.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuchunga mifugo?
• tend, graze, shepherd, herd, pasture, feed, look after animals
(2) Maneno gani hutaja mtu anayewachunga wanyama?
• herdsman, herder, cowboy, shepherd
(3) Vifaa gani hutumika katika kuchunga mifugo?
• kamba, fimbo, kengele (ya ng'ombe au mbuzi)
(4) Maneno gani hutaja sehemu ambayo wanyama wanaweza kula nyasi?
• pasture, field, range
6.3.3 Kukamua maziwa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukamua maziwa.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kukamua maziwa?
• kukamua, ndoo ya kukamulia
6.3.4 Kuchinja mnyama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumchinja mnyama na kumkatakata kwa ajili ya chakula.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumchinja mnyama?
• kuchinja
(2) Maneno gani hutaja tendo la kumchuna mnyama?
• skin, flay
(3) Maneno gani hutaja tendo la kumkatakata mnyama?
• butcher, butchery, dress (meat)
(4) Maneno gani hutaja mahali pa kuchinjia wanyama?
• slaughterhouse, butchery,
6.3.5 Uzalishaji wa sufu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na uzalishaji wa sufu--yaani kukata sufu ya kondoo.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kukata sufu ya kondoo?
• sufu, mikasi
6.3.6.1 Kuku
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuku.
(1) Maneno gani hutaja kuku?
• chicken, rooster, cock, hen, chick
(2) Kuku hutunzwa wapi?
• kibanda cha kuku
(3) Kuku hufanya nini?
• scratch, roost
(4) Kuku hutoa sauti gani?
• cluck, crow, cock-a-doodle-doo, cheep
6.3.6 Kufuga ndege wa kufugwa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufuga ndege wa kufugwa.
(1) Ndege gani hufugwa?
• poultry, chicken, duck, goose, turkey, pigeon, canary, parrot, guinea fowl
(2) Ndege wanaofugwa hutunzwa wapi?
• hen house, duck pond, birdcage
(3) Maneno gani hutaja tendo la kukusanya mayai?
• gather eggs, collect eggs
(4) Maneno gani hutaja tendo la kunyonyoa manyoya ya ndege waliokufa?
• pluck
6.3.7 Bidhaa zilizotokana na wanyama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanyohusiana na bidhaa zilizotokana na wanyama.
(1) Wanyama hutoa vitu gani vinavyotumika na wanadamu?
• hide, meat, blood, milk, eggs, wool, skins, leather, bone meal, fat, tallow, grease, horn, blood, feathers, down, silk
6.3.8.1 Magonjwa ya wanyama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na magonjwa ya wanyama.
(1) Kuna aina gani za magonjwa ya wanyama?
• ndui ya ng'ombe
6.3.8.2 Kuhasi mnyama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuhasi wanyama. Mara kwa mara kuna istilahi maalumu kwa wanyama ambao wamehasiwa, k.m. maksai kwa ng'ombe dume ambaye amehasiwa.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuhasi mnyama?
• castrate, spay, neutered
(2) Maneno gani humtaja mnyama ambaye amehasiwa?
• maksai, beberu
6.3.8 Elimu ya maradhi ya wanyama
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutibu maradhi ya wanyama.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutibu maradhi ya wanyama?
• daktari wa wanyama, tiba ya wanyama, maraadhi ya wanyama
Share with your friends: |