Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page127/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   123   124   125   126   127   128   129   130   ...   206

6.5.2.1 Ukuta


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanyohusiana na ukuta.

(1) Maneno gani hutaja upande wa nyumba?

wall, side of the house

(2) Sehemu za ukuta ni zipi?

frame, siding, insulation, arch

6.5.2.2 Paa, dari


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayouhusiana na paa au dari.

(1) Maneno gani hutaja sehemu ya juu ya nyumba?

roof, ceiling

(2) Sehemu za paa au dari ni zipi?

rafter, truss, center pole, ridgepole, eaves, rain gutter, peak, corner, dormer window, chimney

(3) Eneo ambalo linazungukiwa na pande za paa linaitwaje?

darini

6.5.2.3 Sakafu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sakafu.

(1) Maneno gani hutaja sehemu ya chini ya nyumba?

floor

(2) Watu wanafunika sakafu zao kwa vitu gani?

mikeka

6.5.2.4 Mlango


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mlango.

(1) Maneno gani hutaja mahali pa kuingia kwa nyumba?

door, doorway, entrance, entry way

(2) Kuna aina gani za milango?

front door, back door, side door, screen door, double doors, glass door, sliding door

(3) Sehemu za mlango huitwaje?

doorknob, door handle, lock, key, bolt, hinge, doornail, threshold, doorsill, doorstep, doormat, doorframe, lintel, doorpost, doorbell

(4) Maneno gani hutumika wakati mgeni yupo mlangoni?

knock, ring (the doorbell), answer (the door)

(5) Mtu anayelinda mlango au geti na anayejibu wageni wakija, anaitwje?

doorkeeper, doorman, butler, gatekeeper, watchman, guard

(6) Watu hufanyia nini mlango?

kufunga, kufungua

6.5.2.5 Dirisha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na dirisha.

(1) Maneno gani hutaja dirisha?

window

(2) Sehemu za dirisha zinaitwaje?

window frame, windowsill, windowpane, window screen, glass, curtain, curtain rod, blind, shade, gable, shutter

(3) Watu hufanyia nini dirisha?

kufunga, kufungua

6.5.2.6 Msingi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na msingi wa jengo.

(1) Maneno gani hutaja msingi wa jengo?

foundation

(2) Ni jinsi gani ambavyo watu hujenga msingi?

dig a foundation, lay a foundation, build a foundation, pour a (concrete) foundation

(3) Maneno gani huelezea ubora wa msingi?

msingi imara, sakafu sawa

6.5.2.7 Chumba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na vyumba vya jengo tu.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja chumba katika jengo, kwa jumla?

room

(2) Kuna aina gani za vyumba ndani ya nyumba?

room, living room, sitting room, parlor, dining room, bedroom, kitchen, closet, hall, passage, passageway, entry, pantry, garage, storeroom, storage room, laundry room, utility room, den, study, family room, breakfast nook, billiard room, conservatory, library, stair, stairway, stairwell, stairs, porch, front porch, back porch, patio, balcony, basement, attic, workroom, workshop, guestroom, guest bedroom,

(3) Maneno gani hutaja chumba cha choo?

toilet, bathroom, loo, john, rest room, wash room, men's room, ladies' room, lavatory, WC,

(4) Kuna aina gani za vyumba katika ofisi?

office, reception area, atrium, foyer

(5) Kuna aina gani za vyumba katika duka?

display room, display area, storeroom, office, back room, delivery area

(6) Kuna aina gani za vyumba katika kanisa?

foyer, sanctuary, meeting hall, worship center, baptistery, classroom, pastor's study, vestibule, belfry, choir loft, balcony

6.5.2.8 Ghorofa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ghorofa za jengo.

(1) Maneno gani hutaja ghorofa za jengo?

floor, story, level,

(2) Maneno gani hutaja ghorofa fulani au maalumu katika jengo?

basement, ground floor, first floor, second floor, upstairs, downstairs,

(3) Maneno gani hutaja ngazi au njia nyingine kwa kupandia juu?

stair, step, rung (of a ladder), staircase, stairway, stairwell, stairs, flight of stairs, elevator, lift, escalator, fire escape, ladder, banister, handrail, landing, ramp,

6.5.2 Sehemu za jengo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja sehemu na maeneo ya jengo.

(1) Maneno gani hutaja sehemu za jengo?

structure, section, part, wing, rotunda, pillar, column, arch, archway, tower, foundation, floor, roof, room, wall, door, window, entrance, exit, passage, hall, corridor, courtyard,

(2) Maneno gani hutaja upande wa jengo?

side, front, back,

(3) Maneno gani hutaja sehemu ya ndani au ya nje ya jengo?

inside, interior, outside, exterior,

6.5.3.1 Vifaa na utunzaji wa majengo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja vifaa na utunzaji wa majengo.

(1) Maneno gani hutaja utunzaji wa jengo?

maintain, maintenance

(2) Maneno gani humtaja mtu anayetunza jengo?

janitor

(3) Maneno gani hutaja vifaa vinavyotumika katika kutunza jengo?

ufagio

(4) Maneno gani huelezea jengo lenye hali nzuri?

solid, solidly built, sound,

(5) Maneno gani huelezea jengo lisilo na hali nzuri?

disrepair, derelict,

(6) Maneno gani hutaja jengo linapoanguka chini?

fall down, collapse, in ruins,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kukarabati jengo?

repair, restore, restoration, fix up,

6.5.3 Vifaa vya kujengea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na vifaa vinavyotumika katika kujenga jengo.

(1) Vitu au nyenzo gani hutumika kwa kutengenezea jengo?

rafter, pole, center pole, horizontal pole, pillar, roofing, tin sheet, thatch, leaf roof, shingle, brick, iron rod, mud, reed, wattle, paint, board, beam

(2) Vitu au nyenzo gani hutumika kwa kutengenezea kuta?

wood, brick, cement, plaster, drywall, mud and wattle, clay, cow dung, reinforcing sticks

(3) Vitu au nyenzo gani hutumika kwa kutengenezea matofali?

mud, clay, cement, straw, mortar, sun-dried, burned, fired, kiln-dried

(4) Vitu au nyenzo gani hutumika kwa kupaka rangi kwenye nyumba?

chokaa, rangi

(5) Vitu au nyenzo gani hutumika kwa kutengenezea paa?

roofing material, tile roof, tile, tin roof, tin sheet, shingle, wooden shingle, asphalt shingle, shake, thatched roof, thatch, grass roof, grass, straw, palm leaf, sod, canvas (tent)

(6) Vitu au nyenzo gani hutumika kwa kutengenezea sakafu?

flooring, wooden floor, linoleum, tile floor, dirt floor, cement floor, cow dung

(7) Vitu au nyenzo gani hutumika kwa kutengenezea milango na madirisha?

wood, glass, screen

(8) Vitu au nyenzo gani hutumika kwa kutengenezea msingi?

foundation stone, cornerstone



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   123   124   125   126   127   128   129   130   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page