Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page123/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   119   120   121   122   123   124   125   126   ...   206

6.2.6.2 Kusaga nafaka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusaga nafaka.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kusaga nafaka?

mill (v), grind

(2) Vifaa gani hutumika katika kusaga nafaka?

mill (n),

(3) Ni mazao gani yanayosagwa?

mahindi, mtama

6.2.6.3 Kupura nafaka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupura nafaka.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupura nafaka?

thresh, beat

(2) Ni mazao gani ambayo watu wanayapura?

mtama

(3) Nafaka zinapurwa wapi?

threshing floor

6.2.6.4 Kuhifadhi mavuno, kuweka akiba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuhifadhi mavuno au kuweka akiba.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuhifadhi mavuno au kuweka akiba mavuno?

store the harvest, store food, put in sacks, tie together, heap of grain, haystack, sheaf of grain

(2) Majengo na vyombo gani hutumika kwa ajili ya kuweka akiba mavuno?

ghala, gunia

6.2.6 Kutengeneza mavuno


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutengeneza mavuno.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutengeneza mavuno?

kutengeneza, kuambua (chungwa), kumenya (ndizi), kuondoa majani ya mahindi, kupujua (mahindi), kupukusa, kukausha, kuchamvua (mchele)

6.2.7 Mfanyakazi shambani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na wafanyakazi shambani.

(1) Maneno gani humtaja mtu ambaye hufanya kazi shambani?

mkulima

6.2.8 Kifaa cha kilimo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na vifaa vya kilimo.

(1) Vifaa gani hutumika katika kukata mimea?

pruning hook, pruning shears

(2) Vifaa gani hutumika katika kuchimba?

hoe, shovel, spade

(3) Vifaa gani hutumika katika kugeuzia au kulimia shamba?

plow, plow blade

(4) Vifaa gani hutumika katika kurutubishia shamba?

manure

(5) Maneno gani hutumika kwa kila kifaa kilichotajwa?

to prune, to hoe, to plow, to pull a plow, to guide a plow, to use a shovel, to dig with a hoe

(6) Sehemu za kila kifaa zinaitwaje?

mpini, ubapa (wa kisu)

6.2.9 Eneo la shamba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na eneo la shamba.

(1) Maneno gani hutaja eneo la shamba?

farmland, farm, field, garden, cultivated land, agricultural land, plantation, plowed field, tilled field, field ready for harvest, harvested field, fallow field, ground prepared for planting

Page

6.3.1.1 Ng'ombe


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ng'ombe na utunzaji wa ng'ombe.

(1) Maneno gani hutaja ng’ombe?

cattle, bovine

(2) Maneno gani hutaja ng’ombe jike or ng’ombe dume?

bull, cow

(3) Maneno gani hutaja ndama?

calf, bullock, heifer

(4) Maneno gani hutaja ng’ombe dume aliyehasiwa?

ox, steer

(5) Kuna aina gani za ng'ombe?

Angus, aurochs, Brahma, Guernsey, Holstein, Jersey, longhorn, shorthorn

(6) Sehemu za ng'ombe ni zipi?

udder

(7) Ng'ombe wanakulaje?

graze, chew the cud

(8) Ng'ombe wanatoa sauti gani?

moo, low, bellow, snort

(9) Ng'ombe wanaishi au wanatunzwa wapi?

cow pasture, cattle range, cow barn, cowshed, stall

(10) Ng'ombe wanatoa nini (yaani watu hutumia bidhaa gani zinazotokana na ng'ombe)?

milk, blood, meat

(11) Nyama ya ng'ombe inaitwaje?

steki, fileti, mchanganyiko

6.3.1.2 Kondoo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kondoo.

(1) Maneno gani hutaja kondoo?

sheep

(2) Maneno gani hutaja kondoo jike au kondoo dume?

ram, ewe

(3) Maneno gani hutaja mwanakondoo?

lamb

(4) Maneno gani hutaja kondoo aliyehasiwa?

wether,

(5) Sehemu za kondoo ni zipi?

wool

(6) Maneno gani hutaja tendo la kunyoa kondoo?

shear, fleece, karakul

(7) Kondoo hutoa sauti gani?

baa, bleat

(8) Kondoo hutunzwa wapi?

pasture, range, pen, fold, sheepfold

(9) Kundi la kondoo linaitwaje?

kundi

6.3.1.3 Mbuzi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mbuzi.

(1) Maneno gani hutaja mbuzi?

goat

(2) Maneno gani hutaja mbuzi dume au mbuzi jike?

billy, he-goat, nanny, she-goat

(3) Maneno gani hutaja mwanambuzi?

kid

(4) Mbuzi hutoa sauti gani?

bleat,

(5) Mbuzi hutunzwa wapi?

pasture, range, enclosure

(6) Kundi la mbuzi huitwaje?

flock, herd

(7) Mtu ambaye anamtunza mbuzi anaitwaje?

mchungaji

6.3.1.4 Nguruwe


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na nguruwe.

(1) Maneno gani hutaja nguruwe?

pig, hog, swine

(2) Maneno gani hutaja nguruwe dume au ngurwe jike?

boar, sow

(3) Maneno gani hutaja mwana wa nguruwe (au nguruwe mdogo)?

piglet, suckling

(4) Nguruwe hula nini?

slop

(5) Nguruwe hufanya nini?

wallow, root, feed

(6) Nguruwe hutoa sauti gani?

grunt, squeal, snort

(7) Nyama ya nguruwe huitwaje?

pork, sausage, ham, pork chop, gammon steak, pork tenderloin

(8) Nguruwe wanatunzwa wapi?

banda

6.3.1.5 Mbwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mbwa.

(1) Maneno gani hutaja mbwa?

dog, hound, canine, stray, cur, mangy

(2) Maneno gani hutaja mbwa dume au mbwa jike?

bitch

(3) Maneno gani hutaja mwana wa mbwa (au mbwa mdogo)?

puppy, pup, whelp

(4) Kuna aina gani za mbwa?

basset, beagle, bloodhound, boxer, bulldog, Chihuahua, collie, dachshund, Doberman, German shepherd, greyhound, husky, Pekinese, poodle, retriever, setter, spaniel, terrier

(5) Mbwa hutoa sauti gani?

bark, howl, yap, growl

(6) Mbwa wanatunzwa wapi?

kibanda cha mbwa



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   119   120   121   122   123   124   125   126   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page