Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi


Kufanya kazi na ngozi ya mnyama



Download 2.8 Mb.
Page131/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   127   128   129   130   131   132   133   134   ...   206

6.6.4.3 Kufanya kazi na ngozi ya mnyama


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya kazi na ngozi ya mnyama.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kazi na ngozi ya mnyama?

work with skins, tan leather, cure skins, taxidermy

(2) Vitu gani hutenganezwa kutoka ngozi ya mnyama?

skin, leather, leather goods, parchment

6.6.4.4 Kufanya kazi na mifupa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya kazi na mifupa.

(1) Maneno gani hutaja kufanya kazi na mifupa?

(2) Maneno gani hutaja vitu vinavyotenganezwa kutoka mifupa?

bone, horn, shell

6.6.4 Ufundi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ufundi.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kufanya kazi na nyenzo, kwa jumla?

craft

6.6.5.1 Kuchora, kupaka rangi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuchora (na penseli, kalamu au rangi).

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuchora (na penseli, kalamu au rangi)?

draw, paint, sketch, doodle, scribble, trace,

(2) Maneno gani humtaja mtu ambaye anachora (na penseli, kalamu au rangi)?

painter, artist,

(3) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimechorwa (na penseli, kalamu au rangi)?

picture, painting, drawing, sketch, illustration, study, portrait, landscape, cartoon, caricature,

(4) Vifaa na nyenzo gani hutumika katika kuchora picha?

pencil, charcoal, eraser, paper

(5) Vifaa na nyenzo gani hutumika katika kuchora picha za rangi?

paint, brush, palette, easel, canvas, medium, tempera, distemper,

6.6.5.2 Kupiga picha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupiga picha.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupiga picha kwa jumla?

photography, picture taking

(2) Maneno gani hutumika katika tendo la kupiga picha?

to photograph, take a picture, to film

(3) Maneno gani hutaja picha yenyewe?

photograph, photo, picture, shot, mug shot, snap, portrait, landscape,

(4) Maneno gani hutaja kamera?

camera, video camera

(5) Sehemu za kamera zinaitwaje?

lens, body, shutter, filter, film, film canister, tripod, flash

6.6.5.3 Uchongaji (vinyago)


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na uchongaji (vinyago).

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuchonga kitu?

carve, sculpt, carve a sculpture, mold a figurine

(2) Maneno gani humtaja mtu anayechonga kitu?

carver, sculptor

(3) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimechongwa?

carving, sculpture, model

(4) Vifaa na nyenzo gani hutimika kwa kuchonga sanaa?

chisel, hammer, marble, clay

6.6.5 Sanaa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sanaa.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja sanaa kwa jumla?

art

(2) Kuna aina gani za sanaa?

paint, draw, sculpture, carve, design

(3) Maneno gani hutaja tendo la kutenganeza sanaa?

paint, draw, design, composition, brush, painting, medium

(4) Maneno gani humtaja msanii?

artist, painter

(5) Kuna aina gani za michoro ya rangi?

portrait, landscape, seascape, still life

6.6.6 Kufanyia kazi ardhi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanyia kazi ardhi.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanyia kazi ardhi?

land use

(2) Maneno gani hutaja tendo la kutafuta mikapa ya ardhi au eneo?

survey, surveyor,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kusogeza udongo au ardhi?

dig, plow, grade, level,

(4) Vifaa na mashine gani hutumika katika kusogeza udongo au ardhi?

shovel, hoe, wheelbarrow, spade, pickax, plow, grader, bulldozer, steam shovel, backhoe, steam roller, earth moving equipment,

(5) Maneno gani hutaja eneo au ardhi iliyo na tumizi maalumu?

park

6.6.7.1 Fundi bomba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya kazi na bomba.

(1) Maneno gani hutaja vitu ambavyo fundi bomba huvifanyia kazi?

mabomba ya maji, sinki, valvu (kilango), beseni, bilula, bilula ya kufungia

(2) Maneno gani hutaja mfumo wa mabomba?

plumbing, pipes

(3) Sehemu za mfumo wa mabomba zinaitwaje?

pipe, water pipe, valve, faucet, joint, elbow, sections of pipe, water main, water meter, drain, sink

(4) Maneno gani hutaja bomba linalovuja?

leak, leaky pipe, dripping faucet

(5) Maneno gani hutaja tendo la kutenganeza au kufanya kazi na mabomba?

put in plumbing, fix a pipe, fix a leak, to thread a pipe

6.6.7.2 Kuwasilisha maji


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuwasilisha maji--yaani, kuhamisha maji kutoka sehemu moja mpaka sehemu nyingine.

(1) Maneno gani hutaja vitu vinavyotumika kwa kuwasilisha au kuhamisha maji?

waterworks, canal, ditch, dam, cistern, pipe, pump, siphon

(2) Maneno gani hutumika katika kuwasilisha au kuhamisha maji safi?

aqueduct, canal, culvert

(3) Maneno gani hutumika katika kuwasilisha au kuhamisha maji chafu?

ditch, drainage ditch, sewer

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuchota maji kutoka kisiwa?

draw water, draft

(5) Maneno gani hutaja mifereji ya kuwasilishia maji?

canal, aqueduct, ditch

(6) Vitu gani hutumika katika kuinua au kupandisha maji?

windmill, pump, pump house, pumping station, lock

(7) Vyombo gani hutumika katika kubeba au kutunza maji?

cistern, bucket, pitcher

(8) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha maji yatiririke kwenye bomba?

pump, siphon, suck, suction



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   127   128   129   130   131   132   133   134   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page