7.1 Mkao
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayoonyesha mkao au hali ya kusimama kwa mwili wa mtu kwa jumla. Tumia maeneo ya maana mengine yanayohusiana na eneo hili kwa maneno maalumu kwa mkao na viungo-tendaji katika mwili (k.m., mtikisiko wa mwili mzima, n.k.). Mengi ya maneno haya yana maana mbili.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja mikao fulani ya mtu kwa jumla?
• mkao, msimamo, nafasi ya msimamo, hali ya msimamo
(2) Maneno gani ya kawaida yanataja hali ya kubadili mkao kwa jumla?
• change your posture/stance, pose, shift, squirm
Page 7.2.1.1.1 Kukimbia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kukimbia--yaani kwenda mbio kwa miguu.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kukimbia kwa jumla?
• run
(2) Maneno gani hutaja tendo la kukimbia polepole?
• trot, canter, jog, lope
(3) Maneno gani hutaja tendo la kukimbia kwa haraka?
• race, gallop, dash, make a dash, tear (along), streak, double time, sprint, charge, dart, scurry, scuttle, scamper, scoot, stampede, bound, bolt
(4) Maneno gani hutaja mwendo mtu anaotumia anapokimbia?
• pace
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuanza kukimbia?
• break into a run, set off on a run
(6) Maneno gani hutaja tendo la kukimbia kwa haraka zaidi?
• speed up, put on a spurt, kick
(7) Maneno gani huelezea mashindano ya mbio?
• mashindano ya mbio, mbio za masafa marefu
(8) Maneno gani hutaja hali ya kusikia maumivu kwa sababu ya kukimbia sana?
• be out of breath, be winded, have a stitch (in your side)
7.2.1.1.2 Kutambaa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutambaa--yaani kutembea kwa mikono na magoti au kwa tumbo.
(1) Maneno gani huelezea tendo la kutambaa?
• kutambaa, kujiburuza, kutembelea tumbo, kutembea kwa viwiko vya mikono na magoti
7.2.1.1.3 Kuruka juu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuruka--yaani kujirusha juu kwa kujisukuma kwa nguvu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuruka juu?
• jump, jump up and down, bounce, leap, buck, bob, jump for joy
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuruka kutoka sehemu moja mpaka sehemu nyingine?
• jump up/down/off of/onto/out of the way, bound, spring, pounce, dive, jump overboard, somersault
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuruka kutoka upande moja wa kitu na kufika upande mwingine?
• jump over, leap over, vault over, hurdle, clear, leapfrog
(4) Maneno gani hutaja tendo la kuruka kwa mguu mmoja?
• hop, hop on one leg, hop around, skip,
(5) Kuruka ni sehemu ya michezo gani?
• hopscotch, leap frog, gymnastics, high jump, broad jump, pole vault, bungee jumping, sky diving, parachuting
(6) Maneno gani hutumika katika kuwasaidia watu ili waruke juu?
• skipping rope, trampoline, pogo stick, springboard, parachute
7.2.1.1 Kutembea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutembea--yaani kusogea polepole kwa kutumia miguu.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kutembea?
• walk
(2) Maneno gani hutaja kwenda mahali fulani kwa miguu?
• travel by foot, foot it, hoof it, leg it, tramp, strike off on foot
(3) Maneno gani hutaja tendo la kutembea kwa haraka?
• speed walk, step out, stride, pace, rush
(4) Maneno gani hutaja tendo la kutembea polepole?
• walk slowly, stroll, amble, ramble, take a Sunday stroll, meander along, saunter, inch, lumber, plod, poke, slog, toddle, traipse, trudge
(5) Maneno gani hutaja tendo la kutembea kwa makini?
• walk carefully, watch your step, tread, pick your way, edge
(6) Maneno gani hutaja tendo la kutembea bila kutoa sauti au kwa siri?
• steal along, walk stealthily, sneak, pad, stalk, creep
(7) Maneno gani hutaja tendo la kutembea kwa kuchuchumia?
• tiptoe, walk on tiptoes
(8) Maneno gani hutaja tendo la kutembea kwa kupiga kelele?
• stomp, clump
(9) Maneno gani hutaja tendo la kutembea kama mwanajeshi?
• march, parade, goose-step, in step
(10) Maneno gani hutaja tendo la kutembea kwa namna tofauti tofauti?
• walk with a spring in your step, walk jauntily, swagger, flounce, mince, prance, saunter, strut
(11) Maneno gani hutaja tendo la kukanyaga kitu?
• step on, put foot on/in, tread on, stamp on, underfoot,
(12) Maneno gani hutaja hatua moja?
• step, footstep, pace,
(13) Maneno gani hutaja urefu wa hatua yako?
• stride
(14) Maneno gani hutaja namna mtu anavyotembea?
• gait, funny gait
(15) Maneno gani hutaja tendo la kupima urefu wa kitu kwa kuhesabu hatua zako?
• pace off
(16) Maneno gani humtaja mtu anayetembea?
• walker, hiker, tramp, pedestrian, passer-by
(17) Maneno gani hutaja mahali ambapo mtu anatembea?
• sidewalk, walkway, promenade, path, footpath, stepping-stone
(18) Maneno gani hutaja alama kwenye ardhi iliyoachwa na mguu wa mtu?
• nyayo
(19) Maneno gani hutaja matokeo ya kutembea juu ya kitu (k.m., juu ya nyasi)?
• trample, wear a path
(20) Maneno gani hutaja sauti ya mtu anapotembea?
• footsteps
(21) Maneno gani hutaja tendo la kutembea kwa kupitia maji?
• wade, paddle, slosh
(22) Maneno gani hutaja kipindi ambacho watu wanatembea bila kusudi fulani?
• go for a walk, take a walk, go for a stroll, parade, procession, stretch your legs, hike, go hiking, trek, walk around
(23) Maneno gani hutaja tendo la kumsababisha mtu atembee?
• take someone for a walk, walk the dog
(24) Maneno gani hutaja fimbo au kitu kingine kinachotumika kwa kutembea?
• walking stick, cane, crutch
Share with your friends: |