Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page138/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   134   135   136   137   138   139   140   141   ...   206

7.1.2 Kukaa, kuketi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hali ya kuketi na ya kuchuchumaa.

(1) Maneno gani hutaja kuwa katika hali ya kuketi?

kuketi, kukaa

(2) Maneno gani huelezea jinsi mtu anavyoketi?

kuketi kwa kukunja miguu, kuketi wima, kukalia pembe ya kiti, kuketi kwa kutagaa

(3) Maneno gani hutaja kuketi chini kutoka katika hali ya kusimama?

kuketi, kuketi chini, kuketishwa, kuketi mahali pako

(4) Maneno gani hutaja kuinuka na kuketi kutoka katika hali ya kulala?

kuinuka uketi

(5) Maneno gani huelezea namna mtu aketivyo chini?

kununiana, kujidumbukiza chini

(6) Maneno gani hutaja hali ya kumfanya mtu kuketi?

kuketisha

(7) Maneno gani hutaja hali ya kuchuchumaa?

kuchuchumaa, kuketi kitako

(8) Maneno gani hutaja hali ya kuketi juu ya kitu?

kukalia, kukwea

(9) Maneno gani hutaja mahali unapoketi?

kiti, cheo, mahali

(10) Unawaambiaje watu unapotaka waketi chini?

keti chini, chukua kiti

7.1.3 Kulala chini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kulala chini.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kulala chini kutoka katika hali ya kusimama au kukaa?

kulala, kulala chini, kulala nyuma, kujinyosha upande, kujibwaga, kulala kifudifudi

(2) Maneno gani huelezea namna mtu anavyolala chini?

flop down, fall into bed

(3) Maneno gani hutaja kuwa katika hali ya kulala?

kulala, kulaza, kuwa kifudifudi, kujilaza

(4) Maneno gani hutaja namna mtu anavyolala?

lie on your back/front/side, stretched out, spread-eagled, sprawled, flat out, reclining

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuamka kutoka katika hali ya kulala chini?

kuinuka, kuamka

(6) Maneno gani hutaja tendo la kumsababisha mtu alale chini?

kulalisha, kulaza, mlazi

(7) Maneno gani hutaja mahali alalapo mtu?

kitanda, uchago

7.1.4 Kupiga magoti


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hali ya kupiga magoti.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupiga magoti?

kwenda chini, kukunja goti moja kwa heshima, kushuka chini

(2) Maneno gani hutaja kuwa katika hali ya kupiga magoti?

be kneeling, be down on your knees

7.1.5 Kuinama


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuinama--yaani kuninginiza kichwa chini, kupinda kiunoni, au mwinamo wa mwili mzima.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujishusha au kuinama kwa heshima?

kunyenyekea kwa heshima, kujiinamisha chini, kujishusha

(2) Maneno gani huelezea jinsi mtu anavyoinama?

kuinama kwa kupepesuka sujudu, kujipinda, mwinamo wa heshima

(3) Maneno gani huonyesha umuhimu wa kuinama kwa heshima?

kustahi, kuabudu, kusujudu, kuinama kutoa salamu ya heshima

7.1.6 Kuegama


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuegama.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuegama au kujihadhari dhidi ya kitu fulani?

kuegama, kuegemea, kutegemea, kujiegemeza nyuma, kujipumzisha, kujishikiza

(2) Maneno gani huelezea kitu kinachojiegemeza?

kujiegemeza

7.1.7.1 Mkao wa ulegevu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mkao wa ulegevu.

(1) Maneno gani hutaja mkao wa ulegevu?

relaxed (posture), (stand/be) at ease, be a slouch, slouch around, lounge, sprawl, droop, sag, loll

(2) Maneno gani hutaja tendo la kubadilisha mkao kuwa ulegevu?

relax (your posture), slouch, lean back, slump

7.1.7 Mkao ulionyooka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mkao ulionyooka--yaani mkao wa mwili wa wima bila kujikokota.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye yuko katika mkao mnyoofu?

mkao mnyoofu, kusimama wima

(2) Maneno gani hutaja tendo la kubadilisha mkao kuwa wima?

kunyooka, kuketi wima, kusimama wima

7.1.8 Kuinamia chini


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hali ya kuinama chini--yaani kupinda mwili hadi nchi (k.m., ili kuona kitu, kuchukua kitu ama kujificha).

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuinamia chini?

kunesa, kuinamia chini

(2) Maneno gani humwelezea mtu aliyejiinamisha?

kuruba, kujipinda

(3) Maneno gani hutaja tendo la kurudisha mwili kutoka hali ya kujipinda?

kujiinua, kujikweza, kunyooka, kuamka, kusawazisha

7.1.9 Kusogeza au kutikisa sehemu ya mwili


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kusogeza au kutikisa sehemu mbalimbali za mwili.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kusogeza sehemu ya mwili mbele au kutoka?

extend, hold out, put out, stick out, stretch,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kusogeza au kutikisa kichwa?

shake, nod, throw (head) back, bow, hang, hold high, crane (neck),

(3) Maneno gani hutaja tendo la kusogeza au kutikisa sehemu za uso (nje ya macho, masikio, pua na mdomo)?

raise (eyebrows), jut (chin)

(4) Maneno gani hutaja tendo la kusogeza au kutikisa mikono na mabega?

shrug (shoulders), raise (arm), salute, shake (fist), clench (fist), fold (arms), cross (arms), crook (arm/finger), crack (knuckles), spread (arms/fingers), hold up your hands, fold your arms, cross your arms,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kusogeza au kutikisa miguu?

kick, stamp, bend, shake, twist (ankle), cross (your legs), wiggle (toes)

(6) Maneno gani hutaja tendo la kusogeza au kutikisa kiwiliwili?

sway (hips), rotate (hips), suck in (stomach), stick out (chest), straighten (back), bend (back), bow (at the waist), double up, twist, curl up,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kusogeza au kutikisa misuli?

flex (muscles), ripple, contract, tighten, tense, relax, bunch up, cramp, twitch, stretch, tear, pull, bulge, spasm, convulsion,

(8) Maneno gani hutaja mwili unapotikisika?

shake, quiver, tremble, have the chills, quake, shiver

(9) Maneno gani hutaja mwili unaposogea au kutikisika mara moja?

jerk, twitch,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   134   135   136   137   138   139   140   141   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page