7.2.6.4 Kuweka huru
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumweka mtu huru.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kumweka mtu fulani huru?
• kuweka huru, kutoa utumwani, kuachilia, kuruhusu
(2) Maneno gani hutaja tendo la kumweka mtu fulani huru?
• deliverance, liberation, redemption,
(3) Maneno gani hutaja hali ya kuwa huru?
• freedom, autonomy, independence, liberty,
(4) Maneno gani humtaja mtu ambaye anamweka mtu mwingine huru?
• deliverer, liberator,
(5) Maneno gani humtaja mtu ambaye amewekwa huru?
• freedman,
(6) Maneno gani humwelezea mtu ambaye amewekwa huru?
• free, at liberty, be out,
7.2.6 Kufuata ili kukamata
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumfuata mtu ili kumkamata.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kumfuata mtu ili kumkamata?
• run after, chase, in pursuit, pursue, be on someone's heels, chase after, go after, give chase, come after, be after, hunt,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kumfuata mtu ili kujua anaenda wapi?
• follow, tail, shadow, stalk, track, trail, hound, trace,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kumfuata mtu ili kumkamata?
• chase (n), pursuit,
(4) Maneno gani humtaja mtu ambaye anamfuata mtu mwingine?
• pursuer,
7.2.7.1 Kuacha kusogea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuacha kusogea au kwenda.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuacha kusogea au kwenda?
• kuacha, kusimama, kukoma, kutua, kunyamaza, kwisha, kusimamisha, kukomesha, kufungisha, kuzuia, kupingia njia
7.2.7.2 Kukaa, kubaki
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kukaa.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutokwenda au kutohama kwa mtu?
• stay, stay behind, stay back, remain, remain behind, stay where you are, stay put, remain in place, hold your place, hold still, freeze, stationary, standstill, stand around, stand still, linger, tarry, abide
(2) Maneno gani yanataja kitu ambacho hakitahama tena?
• yenye kuishi, ya daima, ya kuendelea bila kubadilika, ya siku zote, aushi, udumu, uthabiti, madhubuti, kukwama, kusakama, kukaza, kuzuiwa
7.2.7.3 Kungojea, kusubiri
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusubiri katika mahali fulani, kumsubiri mtu au kusubiria kitu kitokee. Wazo hapa juu ya kusubiri ni kukaa bila kufanya kitu kwa wakati, kwa sababu mtu anayesubiri anatazamia kitu kingetokea ambacho kingemfanyia afanye kitu kingine.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusubiri?
• kusubiri, kusuburia, kungoja, kungojea, kuvumilia, kulimbika, kukalia, wa stahimilivu, mvumilivu, mwenye saburi, kustahimili, kuchukuana na, idili, ulabibu, kutazamia, kuahirisha, kutegemea, kutumaini
(2) Unasemaje ukitaka mtu akusubiri?
• Wait! Wait up. Just a minute. Just a moment. I'll be right with you. Hold on. Hang on. Please hold.
(3) Maneno gani hutaja tendo la kusubiri katika safu ya watu?
• line up, queue, stand in line, cut in line
(4) Maneno gani huelezea jinsi mtu anavyojisikia inapombidi asubiri?
• look forward to, expectant, (I) can't wait, patient, impatient
(5) Maneno gani hutaja tendo la kumfanya mtu asubiri?
• keep someone waiting, make someone wait, delay
(6) Maneno gani hutaja kipindi ambacho unahitaji kusubiri?
• wait (n), delay (n)
(7) Maneno gani hutaja tendo la kukataa kusubiri kwa uvumilivu na kujitanguliza mbele ya watu wengine?
• cut in line, cut in front of someone, cut someone off, jump the queue, push in
7.2.7 Kutokwenda, kutosogea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hali ya kutokwenda au kutosogea.
(1) Maneno gani huelezea kitu ambacho hakiendi au hakisogei?
• stationary, still, motionless, still
(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho haiwezikani kukiendesha au kukisogeza?
• immoveable, fixed, fast, set, permanent
(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni vigumu kukiendesha au kukisogeza?
• stable
7.2.8 Kumtuma mtu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumsababisha mtu aende mahali fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumtuma mtu?
• send, dismiss, transfer
(2) Maneno gani hutaja tendo la kumwita mtu aje kwako?
• summon
(3) Maneno gani hutaja tendo la kumtuma mtu ili afanye jambo fulani?
• send
Page 7.3.1.1 Kurusha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kurusha kitu?
(1) Maneno gani hutaja hali ya kurusha kitu?
• kurusha, kusukumiza, kugea, kuvurumisha, kupisha, kurusha juu, kusukasuka, kutupa kwa nguvu, kutoa kwa nguvu, kupeleka upesi
(2) Maneno gani hutaja tendo la kurusha kitu bila kuwa makini?
• chuck, sling, toss, pitch, flick,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kurusha kitu kwa nguvu?
• hurl, fling, heave, fire,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kurusha mpira wakati wa kucheza mchezo fulani?
• pass, pitch, bowl, peg,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kurusha kitu juu sana hewani?
• lob, throw up in the air,
(6) Maneno gani hutaja tendo la kurusha kitu ili kipinduepindue?
• toss, flip,
(7) Maneno gani hutaja tendo la kumrushia vitu mtu fulani?
• pelt, stone, bombard, shower,
(8) Maneno gani hutaja kitu kinachorusha kitu kingine?
• send something flying, catapult, propel, pitch, launch, sling,
(9) Maneno gani hutaja tendo la kurusha?
• throw (n),
(10) Maneno gani hutaja kitu kinapogongana na ardhi baada ya kurushwa?
• land, hit, fall,
(11) Maneno gani hutaja kitu kinachotumika katika kurusha vitu?
• sling, slingshot, throwing stick,
Share with your friends: |