7.3.2.8 Kuvuta
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanaohusiana na tendo la kuvuta--yaani kusababisha kitu kisogeze kuelekea kwa mtendaji.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuvuta kitu ili kisogee kuelekea kwako?
• pull, pull back, bring back, draw, tug
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuvuta kitu kwa haraka au mara moja?
• jerk, yank, tug
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuvuta kitu kwa nguvu sana ili kiambuke kutoka kitu ambacho kimeungwa nacho?
• pull something away/from/out/apart, wrench something open/off/away, tear something out/from/away/down
(4) Maneno gani hutaja tendo la kuvuta kitu, bila kusababisha kiambuke kutoka kitu ambacho kimeungwa nacho?
• pull at, pull on, give something a pull, tug at, give something a tug
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuvuta kitu kizito?
• heave, lug, haul
(6) Maneno gani hutaja tendo la kuvuta kitu juu ya ardhi?
• drag
(7) Maneno gani hutaja tendo la kuvuta kitu kwa kutumia kamba au mnyororo?
• (no words in English)
(8) Maneno gani hutaja tendo la kuvuta kitu katika uelekeo fulani?
• pull down, pull up, pull across, pull out
(9) Maneno gani hutaja tendo la kuvuta kitu ili kikufunike?
• pull on, pull over, pull something over on top of you
(10) Maneno gani hutaja gari au mnyama anapovuta kitu ili kifuate nyuma yake?
• pull, tow, take in tow, draw, trail something behind you
(11) Maneno gani hutaja kitu kinapovutwa nyuma ya kitu kingine?
• in tow, trailing, trailer
(12) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kikusogee bila kukigusa?
• attract, lure, draw
(13) Maneno gani hutaja watu wawili au zaidi wanapovuta vikomo vyote vya kitu kimoja?
• tug of war
7.3.2.9 Kusukuma
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanaohusiana na tendo la kusababisha kitu kitoke kutoka kwa mtendaji.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusukuma kitu ili kitoke kutoka kwako?
• push something, push away, give something a push, move something forward, advance something, thrust, nudge, give impetus, impel
(2) Maneno gani hutaja tendo la kusukuma kitu kwa haraka au mara moja?
• shove, give something a shove, jog, jolt
(3) Maneno gani hutaja tendo la kumsukuma mtu kwa njia korofi?
• shove, hustle, bundle, manhandle
(4) Maneno gani hutaja tendo la kuwasukuma watu katika umati?
• push, shove, press, force your way, jostle, elbow, barge
(5) Maneno gani hutaja tendo la kusukuma kitu, lakini bila kukisogeza?
• push on, press
(6) Maneno gani hutaja tendo la kusukuma kitu kizito?
• put your shoulder into it
(7) Maneno gani hutaja tendo la kusukuma kitu juu ya ardhi?
• push
(8) Maneno gani hutaja tendo la kusukuma kitu na kidole chako au kijiti?
• poke, give something a poke, prod, jab, dig someone in the ribs
(9) Maneno gani hutaja tendo la kusukuma kitu ili kianguke?
• push over, topple
(10) Maneno gani hutaja tendo la kusukuma kitu katika uelekeo fulani?
• push aside, push out of the way
(11) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kitoke kutoka kwako bila kukigusa?
• repel
(12) Maneno gani hutaja tendo la kusukuma pande zote za kitu mara moja?
• squeeze, compress
(13) Maneno gani hutaja tendo la kusukuma kitu ndani ya penyo au kitu laini?
• stick something into something, ram, drive, plunge, thrust
(14) Maneno gani hutaja tendo la kusukuma kitu ndani ya eneo dogo?
• push in, squeeze in, jam in, force, stuff
(15) Maneno gani hutaja tendo la kujisukuma mwenyewe ndani ya eneo dogo?
• squeeze into, squeeze through, squeeze in between
(16) Maneno gani hutaja nguvu unayotumia unaposukuma?
• pressure, put pressure on
(17) Maneno gani hutaja tendo la kusukuma kitu chenye magurudumu au matairi?
• wheel (v), push, roll, trundle
7.3.2 Kusogeza kitu katika uelekeo mmoja
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayohusiana na tendo la kusogeza kitu katika uelekeo mmoja.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusogeza au kuhamisha kitu katika uelekeo fulani?
• kusogeza
7.3 Kusogeza kitu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayotaja tendo la kusogeza kitu au mtu kwa jumla?
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusogeza kitu?
• move, transfer, transport, shift, relocate, shunt, conduct, convey,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kusogeza kitu kwa haraka sana?
• jerk
(3) Maneno gani hutaja tendo la kusogeza kitu kwa kupitia hewani?
• swing
(4) Maneno gani hutaja tendo la kusogeza kitu ambacho ni vigumu kukisogeza?
• shift, free, release
Page 7.3.3.1 Kuleta kitu kutoka mahali fulani
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuleta kitu au mtu kutoka mahali fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuleta kitu kutoka mahali fulani?
• take, take away, remove, draw off, empty, evacuate, milk, strain,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kushika kitu kwa haraka au mara moja?
• grab, snatch, whisk away, seize
(3) Maneno gani hutaja tendo la kusogelea kitu?
• reach for, grab at/for, snatch at
(4) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kisogee kutoka mahali fulani?
• displace, dislocate, dislodge
7.3.3.2 Kurudisha kitu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kurudisha kitu katika mahali ambapo kilikuwa awali au kurudisha kitu kwa mtu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kurudisha kitu katika mahali fulani au kwa mtu fulani?
• replace, put back, return (something), return to its place, restore to owner
Share with your friends: |