7.8.6 Kuchimba
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuchimba kwenye ardhi au udongo.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuchimba?
• dig, mine, excavate, tunnel, burrow, unearth, undermine, cave in, bulldoze, shovel out, scoop, scratch out, scrape, drill, dredge, sink (a hole)
(2) Maneno gani hutaja shimo lililochimbwa katika ardhi?
• shimo, mfereji
(3) Zana na mashine gani hutumika kwa kuchimba?
• shovel, spade, hoe, pickaxe, steam shovel, bulldozer, backhoe
(4) Maneno gani huelezea ukubwa au udogo wa shimo lililopo kwenye ardhi?
• deep, shallow, narrow, wide
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu fulani shimoni na kulifunika?
• bury
7.8 Kugawanya katika vipande
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kugawanya kitu kuwa vipande. Tufikiri pia kuhusu maneno yanayoonyesha kwamba tendo limefanyika kwa makini, au limekuwa na lengo la kuwa na idadi fulani ya vipande.
(1) Maneno gani hutumika kwa tendo la kugawanya kitu kuwa vipande?
• divide (up), divide into pieces, division, split (up), halve, quarter (v), apportion, take apart
7.9.1 Kuharibu kiasi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuharibu kitu kiasi--yaani, kufanya jambo baya kwa kitu fulani lakini kutokiharibu kabisa mpaka hakiwezi kutumika.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuharibu kiasi kitu au shughuli?
• kuharibu, kuumiza, kudhuru, kujeruhi
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuharibu kitu fulani kwa kusudi?
• vandalize, vandal, smash up, sabotage, tamper with, deface, desecrate,
(3) Maneno gani hutaja kitu kikiharibika kiasi wakati wa muda mrefu?
• wear away, corrode, erode,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kutumia kitu fulani kwa muda mrefu mpaka kimeharibika kiasi?
• wear away, wear out,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuharibu kiasi kitu fulani?
• corrosion, detriment, erosion, maltreatment, mischief, vandalism,
(6) Maneno gani hutaja madhara yaliyofanyika kwa kitu fulani?
• damage (n), scar, wear (n), wear and tear,
(7) Maneno gani humtaja mtu anayeharibu vitu?
• vandal, saboteur, bull in a china shop,
(8) Maneno gani hutaja kitu kinachoharibu vitu?
• blight,
(9) Maneno gani huelezea kitu kinachoharibu vitu?
• harmful, toxic, toxicity, unwholesome, dangerous,
(10) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimeharibika kiasi?
• breakages, damaged goods,
(11) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimeharibika kiasi?
• spoiled, broken, busted, messed up, damaged, crumbling, moth-eaten,
(12) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni rahisi kukiharibu kiasi?
• vulnerable,
7.9.2 Kubomoa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kubomoa majengo au miundo mingine.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kubomoa kitu kama jengo au mfumo fulani?
• kubomoa, kuharibu, kutoa, kuangusha
7.9.3 Kuteketeza, kuharibu kabisa
Tumia eneo hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuharibu kabisa ama kuteketeza kitu hadi haiwezekani kukitengeneza tena wala hakitumiki tena.
(1) Maneno gani huelezea tendo la kuharibu kabisa au kuteketeza kitu?
• kuteketeza, uharibifu, maangamizi, kuvutilia mbali, kuvunja, kubomoa, kuharibu
(2) Maneno gani hutaja kitu kikiteketezwa au kuharibika kabisa?
• fall down, collapse, be blown down,
(3) Maneno gani hutaja tendo au hatua za kuteketeza kitu au kukiharibu kabisa?
• destruction, ruin,
(4) Maneno gani humtaja mtu au kitu kinachoteketeza vitu au kuviharibu kabisa?
• destroyer,
(5) Maneno gani humwelezea mtu au kitu kinachoteketeza vitu au kuviharibu kabisa?
• destructive,
(6) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimeteketezwa au kuharibika kabisa?
• ruin, wreck, wreckage, shipwreck,
(7) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimeteketezwa au kuharibika kabisa?
• destroyed, ruined, wrecked, be in ruins,
7.9.4 Kukarabati
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukarabati kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kukarabati kitu fulani?
• repair, fix, mend, restore, restoration, undo, correct, rebuild, right, put to rights
7.9 Kuharibika, kuchakaa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kitu kuharibika au kuchakaa, hasa kwa vitu vinavyotenganezwa na kutumika na watu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kitu kuharibika?
• break, bust, give out,
(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimeharibika?
• broken, broken down, busted
(3) Maneno gani hutaja tendo la kitu kuchakaa?
• wear, wear out, deteriorate,
(4) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimechakaa?
• used, well used, worn, well worn, is past its prime, second hand
(5) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimetumika sana mpaka hakina thamani wala matumizi?
• worn out, has had it, is past it,
Page 7 Vitendo vya mwili
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayohusiana na vitendo vya mwili kwa jumla -- yaani, kujisogeza, kusogeza vitu vingine au kubadilisha sehemu za vitu.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja vitendo vya mwili kwa jumla?
• kutenda, kufanya, kutoa nguvu, kushughulisha, kitendo, utendaji, shughuli, juhudi, bidii, amali, wepesi wa kutenda
Page 8.1.1.1.1 Moja
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na namba moja. Inaonekana kwamba kila lugha ina neno kwa 'moja' na 'mbili', lakini siyo kila lugha ina neno kwa namba zikifuata 'mbili'. Pia lugha nyingi zina maneno kadhaa yaliyona maana ya 'moja'.
(1) Maneno gani hutaja moja?
• one, first, individual, single, only, the one, one apiece, one each,
(2) Maneno gani hutaja kuwa peke yako?
• alone, by yourself, sole,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kitu peke yako?
• alone, on your own, solo, solely,
(4) Maneno gani hutaja watu wakifanya kitu mmoja mmoja?
• one by one, singly, individually,
(5) Maneno gani huonyesha kwamba jambo limetokea au limefanyika mara moja?
• once, one time, single time, one-off,
Share with your friends: |