Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page153/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   149   150   151   152   153   154   155   156   ...   206

7.5.4 Kufunga, kupiga fundo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufungasha vitu viwili pamoja.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufungasha vitu viwili pamoja?

tie, tie together, tie up, bind, cinch, gird, hitch, lash, moor, rope together, tether, truss, wind,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kufunga au kupiga fundo?

tie a knot, knot a rope, braid,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kumfunga mtu (na kitu kama kamba au mnyororo)?

tie up, bind hand and foot, shackle,

(4) Maneno gani hutaja fundo lenyewe au aina fulani ya fundo?

knot, braid, lashing, hitch, square knot, slip knot, two half hitches

(5) Maneno gani hutaja kundi la vitu ambavyo vimefungwa (na kitu kama kamba au mnyororo)?

bundle, package, packet, parcel

(6) Maneno gani huelezea vitu ambavyo vimefungwa (na kitu kama kamba au mnyororo)?

tied, bound, lashed, moored, tethered,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kufunga kikiki kitu fulani?

bind tightly, cinch up, tighten, truss up

(8) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimefungwa kikiki?

taut, tight, tightly, strain, stretched,

(9) Maneno gani hutaja tendo la kufunga kitu kwa ulegevu?

loose, loosely, slack, give it some slack,

(10) Maneno gani hutaja tendo la kufungua kitu ambacho kimefungwa (na kitu kama kamba au mnyororo)?

untie, be untied, take off the rope, undo

(11) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimefunguliwa bila kusudi?

come untied, come loose,

(12) Maneno gani hutaja tendo la kufunga kitu kwa mara ya pili baada ya kufunguka?

retie

7.5.5.1 Kupangua


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya vitu au mambo kupanguliwa.

(1) Maneno gani huelezea vitu au mambo yanayopanguliwa?

disorganized, arbitrary, chaotic, confused, in disarray, haphazard, helter-skelter, jumbled, messed up, messy, nonsystematic, random, unarranged, unsorted, unmethodical, unordered, unorganized, unsystematic,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kupangua vitu au mambo?

disorganize, disarrange, shuffle, mess up, randomize,

(3) Maneno gani hutaja hali ya vitu au mambo kupanguka?

disorganization, ambient state, chaos, disorder,

7.5.5 Kupanga, kurekebisha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupanga jambo, watu, matokeo, na mawazo--yaani, kufikiria na kuamua ratiba au mpangilio wa kundi la vitu upangwe vipi, na baada ya kuamua ni kufanya kinachohitajika ili kuliweka lile kundi katika hali ya kutumika kwa lengo fulani. Eneo la maana hili ni kama eneo la maana 7.5 'Kupanga' isipokuwa 7.5 'Kupanga' linahusu zaidi kusogeza vitu, na eneo la maana hili 7.5.5 'Kupanga, kurekebisha' linahusu zaidi wazo la kupanga kwa mantiki. Maneno katika eneo la maana hili, 7.5.5 'Kupanga, kurekebisha', hayahitaji kumaanisha kwamba vitu vimesogezwa, yanaweza kumaanisha tu kwamba wazo la kupanga kwa mantiki lipo.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupanga au kurekebisha mambo?

organize, dispose, structure, get together, get it together, get your act together, chart, marshal, put in a chart, put in a table, put in a matrix, sort, sort out, systematize, tabulate,

(2) Maneno gani hutaja mfumo au mpangilio wa mambo yaliyopangiliwa?

organization, ad hoc, alignment, apparatus, cycle, framework, hierarchy, mechanism, network, order, ordering, pattern, row, sequence, set-up, structure, system,

(3) Zana na mbinu gani hutumika kwa tendo la kupanga mambo?

table, matrix, chart, organizational chart, flow chart, grid, cubby hole, pigeon hole, in basket, out basket,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kupanga mambo kwa mara ya pili, au kuyapanga tena baada ya kwamba vilikuwa vimepanguliwa?

reorganize, reorganization, adjust, reform, reorder, reordering,

(5) Maneno gani huelezea mambo ambayo yamepangiliwa?

organized, ordered, well-ordered, orderly, in order, harmonious, shipshape, structured, systematic, tidy, everything in its place,

(6) Maneno gani humwelezea mtu anayepanga mambo vizuri?

organized, methodical, neat, together,

(7) Maneno gani hutaja wakati mambo yote yanapangiliwa tayari?

order,

7.5.6 Kuweka badala ya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuweka kitu fulani badala ya kingine--yaani, kusogeza kitu fulani na kuweka kingine katika nafasi yake.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuweka au kutumia kitu fulani badala ya kitu kingine?

kubadili, kuweka badala ya

(2) Maneno gani hutaja tendo la kubadilishana vitu viwili ili kila kitu kiwepo kwenye nafasi ya kile kingine?

exchange, switch (places)

7.5.7 Kusogea kwa vitu vingi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusogea kwa vitu vingi--yaani, vitu viwili au zaidi kusogea, na siyo kitu kimoja tu.

(1) Maneno gani hutaja vitu viwili au zaidi vikisogea katika uelekeo mmoja?

move together, move parallel

(2) Maneno gani hutaja vitu viwili au zaidi vikisogea katika maelekeo tofauti tofauti?

disperse, thin out, melt away, break up, spread out, diverge, permeate,

(3) Maneno gani hutaja vitu viwili au zaidi vikisogea ili vikaribiane zaidi?

gather, collect, form, mass, congregate, converge, close (v), close in on, concentrate, crowd in,

(4) Maneno gani hutaja vitu viwili au zaidi vikikutana?

meet, come together, unite, crash, collide,

(5) Maneno gani hutaja mahali ambapo vitu vinakutana?

meeting point, focal point, focus, confluence

(6) Maneno gani hutja vitu viwili au zaidi vikisogeasogea katika eneo fulani?

crowd, fill, mill around, swarm,


1   ...   149   150   151   152   153   154   155   156   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page