7.3.6.2 Kuziba, kuzuia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuzuia mtu au kitu kisiende au kusogea.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuziba mwendo wa kitu fulani?
• kuziba, kuzuia, kuweka kizuizi
(2) Maneno gani hutaja kitu kinachotumika katika kuziba kitu?
• kizuizi, bwawa, ukuta
7.3.6.3 Kuweka mpaka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mpaka ambao hupaswi kuuruka na pia kwa maneno yanayotaja tendo la kuweka mpaka.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuweka mpaka kwa mwendo wa kitu fulani?
• limit, impose a limit, restrict
(2) Maneno gani hutaja mpaka ambao hupaswi kuuruka?
• mpaka, kikomo
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuruka mpaka?
• exceed, cross, trespass, overstep
7.3.6 Kufungua
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufungua kitu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufungua kitu?
• open, leave open
(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimefunguka?
• open, ajar
7.3.7.1 Kufunua
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufunua kitu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufunua kitu?
• uncover, remove (a cover), take off, reveal
7.3.7.2 Kufungia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufungia kitu--yaani kufunika kitu kwenye pande zote na kitu kama majani, kitambaa au karatasi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufungia au kuviringishia kitu?
• kufungia, kuviringishia, kufungasha
(2) Maneno gani hutaja kitu kinachotumika katika kufungia au kuviringishia kitu?
• wrapper, wrapping, covering, shroud
7.3.7.3 Kupaka, kuenea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupaka kitu--yaani kuenea pande zote za kitu na kitu kama maji, rangi, au matope.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kupaka au kuenea kitu kimoja na kitu kingine?
• spread, smear, brush, cover, dab, daub, paint, plaster, rub, slather, smear, smudge, swab,
7.3.7 Kufunika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufunika kitu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufunika kitu?
• kufunika, kuziba
(2) Maneno gani hutaja kitu kinachotumika katika kufunika kitu?
• covering, lid, cap
(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimefunikwa?
• covered, draped, hung, wrapped
7.3.8 Kusafirisha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kusafirisha kitu katika aina fulani ya usafiri.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusafirisha kitu katika aina fulani ya usafiri?
• transport, transportation, carry, cart, convey, drive, ferry, fly, haul, row, truck, trundle, wheel,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu ndani ya gari?
• load
Page 7.4.1 Kupa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kumpa mtu kitu fulani. Kitu kile kilichopewa hakijakuwa miliki ya yule mwingine ila kimetoka mtu mmoja na kimepokelewa na mwingine.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumpa mtu kitu fulani?
• give, hand to, pass to, deliver
7.4.2 Kupokea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupokea kitu fulani kutoka kwa mtu fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kupokea kitu fulani kutoka kwa mtu?
• kupata, kupokea
7.4.3 Kupata
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kupata kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kupata kitu fulani?
• get, acquire, gain, obtain, pick up, secure, take,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kupata kitu fulani?
• acquisition,
(3) Maneno gani hutaja kitu kinachopatwa na mtu fulani?
• acquisition,
7.4.4 Kugawia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kugawia watu kadhaa vitu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kagawia watu kadhaa vitu?
• kugawia
(2) Maneno gani hutaja mgawo au fungu linalopokelewa na mtu mmoja?
• share, portion, lot, part
7.4.5.1 Kuacha kitu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuacha kitu au mtu katika mahali fulani na kuondoka.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuacha kitu katika sehemu fulani?
• leave, leave behind, abandon, forget, forsake, maroon,
(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimeachiwa?
• abandoned, forgotten, forsaken, marooned
(3) Amri gani hutumika kwa kumwomba mtu fulani aache kitu mahali kilipo?
• Leave it. Leave it where it is. Leave it behind. Leave it here. Don't move it. Forget it.
7.4.5.2 Kutupa
Tumia eneo la maana hili kwa tendo la kutupa kitu ambacho tayari hukitaki.
(1) Maneno gani hutumika kwa tendo la kutupa kitu fulani?
• throw away, throw aside, toss, junk, jettison, discard, eliminate, heave, reject, expel, dispose of, cast off, throw overboard, get rid of, rid yourself of, dump, clean out, purge, smoke out, unload, delete
(2) Maneno gani hutaja kitu kinachotupwa?
• litter, trash, garbage
7.4.5 Kubaki na kitu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kubaki na kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kubaki na kitu fulani?
• keep, save, hold on to, retain, keep possession of
7.4.6 Kutokuwa na
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kutokuwa na kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa na kitu fulani?
• not have, haven't go, without, be missing, devoid of, empty-handed, wanting,
7.4 Kuwa na
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuwa na kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuwa na kitu fulani?
• have, be with,
Share with your friends: |