7.3.3.3 Kutuma
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanaohusiana na tendo la kutuma kitu--yaani kumsababisha mtu akipeleke mahali fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutuma kitu?
• kutuma
7.3.3.4 Kufukuza
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufukuza watu au wanyama--yaani kuwasababisha wahame.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumsababisha mtu atoke au mnyama ahame?
• kufukuza, kukimbiza
7.3.3.5 Kuhamisha, kuswaga
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuhamisha watu au kuswaga wanyama--yaani kusababisha mtu au mnyama aende pamoja nawe.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumsababisha mtu au mnyama aende pamoja nawe?
• kuhamisha, kuswaga
7.3.3 Kupeleka mahali
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kupeleka kitu au mtu mahali fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kupeleka mtu mahali fulani?
• take, bring, escort, whisk someone away,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kupeleka kitu mahali fulani?
• take, bring, deliver, transport,
(3) Maneno gani huelezea tendo la kupeleka mtu mahali fulani?
• lead, guide
(4) Maneno gani hutaja tendo la kuongoza mnyama mahali fulani?
• kuakania, kigwe, kukusanya katika makundi, kuchunga, kuswaga, kushunga
7.3.4.1 Kugusa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kugusa kitu na mikono yako bila kukisogeza.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kugusa kitu fulani?
• touch, feel, run your hand over, brush, caress, contact, feel, finger, fondle, glance, graze, handle, handling, kiss, lick, massage, nuzzle, palm, palpate, paw, rub, scrape, sense, skim, stroke, sweep, thumb, tickle, tickling,
7.3.4.2 Kuokota
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kuokota kitu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuokota kitu fulani?
• pick up, take, get
7.3.4.3 Kuweka chini
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuweka kitu chini.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu chini?
• put down, set, lay
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu pembeni ya kitu kingine?
• put aside, put to the side, put beside, move aside, push aside
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu katika mahali fulani?
• put, place, position, post
7.3.4.4 Kushika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kushika kitu mkononi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kushika kitu mkononi?
• hold
(2) Maneno gani hutaja tendo la kushika kitu kwa nguvu?
• hold tightly, grip
(3) Maneno gani hutaja tendo la kushika kitu kwa ulegevu?
• hold loosely
(4) Maneno gani hutaja tendo la kukunjua mkono na kuweka kitu juu yake?
• hold in the palm
(5) Maneno gani hutaja tendo la kushikilia kitu kwa kukunja ngumi?
• hold in the fist
(6) Maneno gani hutaja tendo la kuachilia kitu?
• release, let go of,
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na vitendo vya mikono.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutumia mikono kwa kusugua au kukwaruza kitu?
• kusugua, kukwaruza
(2) Maneno gani hutaja tendo la kujaribu kutafuta kitu na mikono yako?
• feel (for something), grope (in the dark)
(3) Vitendo vingine vinavyofanywa na mikono ni vipi?
• tickle, pinch, crack a knuckle, hug, embrace
7.3.4.6 Kuegemeza
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuzuia kitu kisianguke.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuzuia kitu kisianguke?
• support, hold up
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu chini ya kitu kingine au kuegemeza kitu ili kisianguke?
• prop (up)
(3) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimewekwa chini ya kitu kingine au kimeegemezwa ili kuzuia kisianguke?
• prop, support, brace, retaining wall
7.3.4.7 Kueneza
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kueneza kitu--yaani kuhamisha kitu ili kifike umbali au eneo kubwa zaidi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kueneza kitu?
• kueneza, kurefusha, kukuza
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayotaja tendo la kusogeza kitu kwa kutumia mikono kwa jumla.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kutumia mikono kusogeza kitu fulani?
• handle, manipulate
7.3.5 Kugeuza kitu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kugeuza kitu--yaani kusababisha kitu kibadili uelekeo au kusababisha kitu kizunguke au kiende kombo.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kibadili uelekeo?
• turn, turn around, bend (something's) course
(2) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiende kombo?
• swing
(3) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kizunguke?
• spin, revolve
(4) Maneno gani hutaja tendo la kugeuza kitu ili upande wa chini uwe wa juu?
• turn up side down, turn over, upturn, flip over
(5) Maneno gani hutaja tendo la kugeuza kitu ili sehemu ya ndani iwe ya nje?
• turn inside-out
(6) Maneno gani hutaja tendo la kukoroga kitu?
• stir
(7) Maneno gani hutaja tendo la kuviringa kitu katika kitu kingine?
• wind, coil, curl, loop, roll, spin, twirl, twist, whirl,
7.3.6.1 Kufunga
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufunga kitu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufunga kitu?
• shut, close
(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimefungika?
• shut, closed
(3) Vitu gani hutumika katika kuacha kitu kifungike?
• lock
Share with your friends: |