7.5.8 Rahisi, yenye utata
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa rahisi au kuwa na utata--maneno yanayoelezea mpangilio wa kundi la vitu.
(1) Maneno gani huelezea jambo lililo sahili au rahisi?
• simple, basic, crude, elemental, elementary, neat, plain, primitive, rudimentary, single, uniform, unsophisticated, low-tech,
(2) Maneno gani huelezea jambo lenye utata?
• complicated, complex, intricate, elaborate, convoluted, sophisticated, tortuous, variable,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo liwe sahili au rahisi?
• kurahisisha
(4) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo liwe na utata?
• kutatanisha
(5) Maneno gani huelezea uhusiano sahili au uhusiano usio na utata kati ya mambo mawili?
• simple, one to one,
(6) Maneno gani huelezea uhusiano wenye utata kati ya vitu viwili?
• complex, complicated, one to many,
7.5.9.1 Mzigo, lundo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuweka vitu vingi juu ya kitu kingine au kukusanya vitu vingi ili viwe pamoja.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuweka vitu vingi juu ya kitu kingine ua kukusanya vitu vingi ili viwe pamoja?
• cram, crowd, drape, dust, hang, heap, jam, load, mound, pack, pile, scatter, settle, sew, shower, spread, stack, stick, stock, strew, string, stuff, wrap
7.5.9.2 Kujaza, kufunika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kujaza chombo fulani au kufunika eneo na kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kujaza kitu fulani?
• fill, choke, clog, deluge, drench, flood, inundate, plug, saturate, soak,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kufunika kitu fulani?
• cover, coat, blanket, coat, encrust, mask, pave, plate, robe, shroud, smother, swathe,
7.5.9 Kuweka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuweka kitu fulani katika mahali fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuweka kitu fulani katika mahali fulani?
• put, install, lodge, mount, place (v), position (v), set, situate, sling, stash, stow,
7.5 Kupanga
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupanga vitu--yaani, kusogeza kundi la watu au vitu ili viwe katika mpangilio fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kupanga vitu?
• kupanga, kuratibisha, kuratibu, kuandaa
(2) Maneno gani hutaja mpangilio wa vitu vinavyopangwa?
• arrangement, alignment, array, formation, order, ordering, pattern, row, disposition, distribution, gradation, grouping, layout, concatenation,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kupanga vitu kwa mara ya pili, au kupanga vitu baada ya kwamba vimechanganywa?
• rearrange, rearrangement, reorder, reordering, reform, reformation
(4) Maneno gani huelezea vitu ambavyo vimepangwa?
• arranged, ordered, well-ordered, be in order, regular,
(5) Maneno gani hutaja wakati kila kitu kimepangwa?
• order,
Page 7.6.1 Kutafuta
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutafuta kitu ambacho kimefichika au kimepotezwa.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kutafuta kitu fulani?
• search, look, look for, seek, hunt for, dig, explore, root, sniff, spy, track, be on the lookout for,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kutafuta kitu fulani?
• search (n), quest,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuona au kupata kitu fulani ambacho umekuwa unakitafuta?
• spot, locate, descry, detect, discern, distinguish, espy, catch a glimpse of, spy, sight something
(4) Maneno gani hutaja tendo la kutafuta kitu fulani na kutokipata?
• overlook,
7.6.2 Kugundua, kupata
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kugundua au kupata kitu fulani ambacho kimefichika au kimepotezwa.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kugundua au kupata kitu fulani ambacho kimefichika?
• find, discover, discovery, uncover, eureka, locate,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kugundua mahali ambapo kitu fulani kimewekwa?
• come upon, discover, discovery, ferret out, find, learn, learn the whereabouts, strike,
7.6.3 Kupoteza
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuweka kitu mahali fulani na kukitafuta baadaye bila kukigundua tena, au mtu akitumia kitu fulani na kuweka mahali fulani ili usiweze kujua kiko wapi.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kupoteza kitu?
• kupoteza, kuweka mahali pasipo pake, kupitiwa, kuweka pengine, kupotea, kupotelewa
7.6 Kuficha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuficha vitu ili visionekane au visipatikane, na kwa tendo la kujificha.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuficha kitu fulani?
• hide, conceal, concealment, bury, secrecy
(2) Maneno gani huelezea kitu kinachofichika?
• hidden, secret
(3) Maneno gani hutaja mahali ambapo kitu kimefichika?
• hiding place, hideout, refuge,
(4) Maneno gani hutaja tendo la kujificha?
• hide, take refuge, go into hiding, disappear,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kujifichua au kufichua kitu kingine?
• kufichua
7.7.1 Kupiga
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupiga kitu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kitu kimoja kupiga kingine?
• hit, strike, bang into, smack, bump (into), crash into
(2) Maneno gani hutaja tendo la mtu kupiga kitu fulani?
• hit, strike
(3) Maneno gani hutaja tendo la kumpiga mtu mwingine?
• box, beat up, punch, hit out at, strike out at
(4) Maneno gani hutaja tendo la kupiga kitu fulani kwa ngumi au mkono?
• hit, slap, smack
(5) Maneno gani hutaja tendo la kupiga kitu fulani kwa zana au kifaa fulani?
• hammer, pound, club, whip
(6) Maneno gani hutaja tendo la mtu kupiganisha vitu viwili?
• (no words in English)
(7) Maneno gani hutaja tendo la kumpiga mtu ili kusababisha jeraha?
• (no words in English)
(8) Maneno gani hutaja tendo la kupiga kitu fulani mara nyingi au tena na tena?
• hit over and over, beat
(9) Maneno gani hutaja kila mpigo wa kitu kikipigwa?
• stroke, blow, beat, punch,
(10) Maneno gani hutaja mbio au nguvu inayotumika kwa kupiga kitu fulani?
• force, impact
(11) Maneno gani huelezea tendo la kupiga kitu fulani bila kutumia nguvu sana?
• light hit, tap, knock
(12) Maneno gani huelezea tendo la kupiga kitu fulani kwa kutumia nguvu sana?
• hit hard, whack, smash into, wallop, cream
(13) Maneno gani huelezea hali ya vitu viwili vinavyoelekea mwelekeo na kugongana?
• kukwaruzana, kugongana, kuparuzana, kukutana, kuumizana
(14) Maneno gani hutaja tendo la kitu fulani kikipigana na kingine na kuduta au kurudi kama mpira?
• bounce, rebound, glance off, ricochet, recoil,
Share with your friends: |