Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi


Kutokuwa mwaminifu katika fedha



Download 2.8 Mb.
Page137/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   133   134   135   136   137   138   139   140   ...   206

6.8.9 Kutokuwa mwaminifu katika fedha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutokuwa mwaminifu katika fedha.

(1) Maneno gani hutaja hali ya ubadhirifu au ya kutokuwa mwaminifu katika fedha?

ubadhirifu, kutokuwa mwaminifu katika fedha, rushwa, ulaghai, udanganyifu

(2) Maneno gani hutaja tendo la kughoshi pesa?

kughoshi (pesa), pesa ya bandia

Page

6.9.1 Uongozi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuongoza kitu fulani.

(1) Maneno gani humtaja mtu ambaye huongoza shirika?

meneja, mkurugenzi

6.9.2 Kuajiriwa na mtu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana ajira, yaani watu wanaomfanyia mwingine kazi.

(1) Maneno gani hutaja ajira au tendo la kuajiriwa na mtu fulani?

work for, be employed, have a job, be in the employ of,

(2) Maneno gani humtaja mtu anayemfanyia mwingine kazi?

employee, hired hand, worker, labor,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kumwajiri mtu fulani?

hire, employ

(4) Maneno gani humtaja mtu anayemwajiri mwingine?

employer, boss, management

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuajiriwa?

get a job, find work,

(6) Maneno gani hutaja kazi ya mtu?

job, employment

(7) Maneno gani hutaja pesa ambayo mtu anapewa kwa ajili ya kazi yake?

wages, salary, income, benefits

(8) Maneno gani hutaja hali ya kuajiri watu kwa ajili ya kazi maalumu?

division of labor, specialization, specialist

(9) Maneno gani hutaja shirika la wafanyakazi?

shirika la wafanyakazi, Warangi Union

(10) Maneno gani hutaja tendo la kumfukuza kazini mfanyakazi?

fire someone, send packing, dismiss, show the door to, give the sack to, lay off, discharge, let go

(11) Maneno gani hutaja tendo la kufukuzwa kazini?

get the sack, get the ax, lose your job, be laid off

(12) Maneno gani hutaja tendo la kugoma?

strike (v), go on strike, strike (n), striker,

6.9.3 Elimu ya soko, uuzaji


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maendeleo ya biashara na uuzaji.

(1) Maneno gani hutaja mtu anayejaribu kushawishi watu wanunue kitu fulani?

salesman, merchant

(2) Maneno gani hutaja tendo la kujaribu kushawishi watu wanunue kitu fulani?

marketing, advertisement, sales promotion, slogan, wholesale, retail, service, mercantile, commerce, salesmanship, merchandising

(3) Maneno gani hutaja shirika la wauzaji?

shirika la wauzaji, chama

6.9.4 Biashara


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na biashara--yaani, kuchukua kitu fulani mahali fulani ili kukiuza.

(1) Maneno gani hutaja biashara?

trade (v), trade (n), domestic trade, foreign trade, commerce, commercial

(2) Maneno gani humtaja mtu anayepeleka kitu mahali fulani ili kukiuza?

mfanyabiashara

6.9.5 Uchumi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na uchumi--yaani, uchunguzi wa pesa, biashara, na tasnia ya nchi fulani.

(1) Maneno gani hutaja masomo au utafiti wa fedha na utajiri?

uchumi, elimu ya uchumi, sayansi ya uzalishaji na usambazaji bidhaa

(2) Maneno gani hutaja mfumo wa uchumi wa nchi fulani?

economy

(3) Maneno gani hutaja mtu anayejifunza au anayesoma uchumi?

economist

(4) Maneno gani hutaja mifumo mbalimbali ya uchumi?

capitalism, capitalist, socialism, socialist, communism, communist, free enterprise, private enterprise, free-market economy

(5) Maneno gani hutaja kiasi cha fedha kilichomilikiwa na nchi fulani?

gross national product

(6) Maneno gani huelezea uchumi mzuri?

boom, prosper, prosperous, prosperity, bull market

(7) Maneno gani huelezea uchumi mbaya?

depression, recession, inflation, crash, slump, bear market

6.9.6 Bima


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na bima.

(1) Maneno gani hutaja bima?

bima

6.9 Shirika la biashara


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na shirika la biashara.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja biashara kwa jumla?

biashara

(2) Maneno gani hutaja sehemu ya biashara?

office, department

(3) Maneno gani hutaja mahali ambapo biashara inafanyika?

office, factory, plant

(4) Maneno gani hutaja jinsi shirika fulani lilivyopangiliwa?

system, structure, network, framework, apparatus, mechanism, set-up

Page

6 Kazi na shughuli


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayohusiana na kufanya kazi kwa jumla.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja kazi kwa jumla?

kazi, shughuli

Page

7.1.1 Kusimama


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kusimama. Maneno katika eneo la maana hili yanaweza kurejea hali ya mtu kuwa amesimama kwa mguu mmoja au yote miwili, ameikusanya miguu yake pamoja au ameiachanisha, kama kuna kitu katikati ya miguu yake na namna mtu anavyoinuka kusimama kwa haraka.

(1) Maneno gani hutaja kuwa katika hali ya kusimama?

kuinuka, kusimama

(2) Maneno gani hutaja hali ya kuinuka na kusimama kutoka katika hali ya kukaa?

kuinuka, kusimama, kujiinua, kuchupa, kuruka

(3) Watu husimamaje?

kusimama kwa mguu mmoja, kutagaa, kuchuchumia

(4) Maneno gani hutaja tendo la kumfanya mtu asimame?

kusimamisha, kupunua miguu, kumsababisha mtu kusimama, kuinusha

(5) Maneno gani hutaja hali ya kusimama karibu na kitu fulani?

stand around, stand together

(6) Ni jinsi gani unamwamuru mtu kusimama?

on your feet



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   133   134   135   136   137   138   139   140   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page