6.1.2.3.3 Kuwa na majukumu mengi, kuwa bizi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa na majukumu mengi.
(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni bizi (ana majukumu mengi) na mambo mengi ya kufanya?
• busy, have a lot to do, have your hands full, pressure, overburdened,
6.1.2.3.4 Nguvu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na nguvu au uwezo unaotumika kufanya jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja nguvu inayotumika kufanya jambo fulani?
• nguvu, nishati
6.1.2.3.5 Kumaliza
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumaliza kazi au shughuli fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumaliza kazi au shughuli fulani?
• complete, finish, finish up, accomplish, succeed, wrap up
(2) Maneno gani hutaja kutomaliza kazi?
• leave undone, incomplete, unfinished
6.1.2.3.6 Kuwa na malengo yanayosukuma
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa na malengo yanayosukuma.
(1) Maneno gani humwelezea mtu anayekusudia kufaulu?
• ambitious, ambition, competitive, power-hungry, pushy
6.1.2.3 Kufanya kazi vizuri
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kufanya kazi vizuri.
(1) Maneno gani hutaja kufanya kazi vizuri?
• kufanya kazi vizuri
(2) Maneno gani humwelezea mtu fulani ambaye hufanya kazi vizuri?
• proficient, businesslike, practical, thorough
6.1.2.4.1 Mzembe, asiyetumainika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mzembe.
(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mzembe kazini kwake?
• mzembe, kutokutumainika
6.1.2.4.2 Mvivu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mvivu.
(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni mvivu?
• be lazy, lazy person, idle, dally, idler, do-nothing, loafer
(2) Maneno gani hutaja mapumziko ambayo si mwafaka?
• uvivu
6.1.2.4.3 Kukata tamaa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kukata tamaa (katika kazi).
(1) Maneno gani hutaja kukoma au kuacha kufanya kazi?
• kukata tamaa, kujiuzulu, kuachishwa (kazi)
6.1.2.4 Kufanya kazi vibaya
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya kazi vibaya.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kazi vibaya?
• kufanya kazi vibaya
6.1.2 Mbinu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mbinu ya kufanya jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja mbinu ya kufanya jambo fulani?
• mbinu, mtindo
(2) Maneno gani huuliza ni kwa jinsi gani jambo fulani linafanyika?
• how, however,
(3) Maneno gani huonyesha jinsi jambo fulani hufanyika?
• how, however, somehow, somehow or other,
(4) Maneno gani huelezea mbinu ya kufanya jambo fulani?
• technical, strategic, tactical,
(5) Maneno gani hutaja jinsi gani mtu anavyofanya kazi?
• work style
6.1 Kazi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kufanya kazi.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kufanya kazi kwa jumla?
• kufanya kazi
Page 6.1.2.5.1 Kupanga tukio
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kupanga tukio, kama vile mkutano.
(1) Maneno gani hutaja kupanga tukio?
• arrange, organize, make arrangements, line up, prepare
6.1.2.5.2 Kubatilisha au kutangua tukio
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kubatilisha au kutangua mpango, amuzi, au tukio.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kubatilisha au kutangua tukio?
• cancel, call off, be off, scrub, shelve
6.1.2.5 Mpango
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupanga.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kupanga?
• plan, make plans, devise a plan, come up with a plan, contrive, mastermind,
(2) Maneno gani hutaja mpango?
• mpango, taratibu, lengo, shabaha
6.1.2.6.1 Kuandaa kitu fulani kwa kutumika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuandaa kitu ili kitumike kwa ajili ya nia fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuandaa kitu fulani?
• prepare, get something ready,
(2) Maneno gani huelezea kitu fulani kilichoandaliwa?
• prepared, ready,
6.1.2.6 Kujiandaa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kujiandaa kufanya jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuandaa kwa kazi au tukio?
• prepare, preparations, make preparations, get ready, ready something
(2) Maneno gani humwelezea mtu aliyejiandaa?
• prepared, ready
(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hajajiandaa?
• kutokuwa tayari
6.1.2.7 Kuwa na matokeo yanayotarajiwa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa na matokeo yanayotarajiwa.
(1) Maneno gani huelezea mbinu au njia ambayo inaleta matokeo yanayotarajiwa?
• effective, work, successful
6.1.2.8 Madhubuti
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa madhubuti.
(1) Maneno gani huelezea mbinu au njia ya kufanya kazi ambayo ni madhubuti?
• efficient, productive
6.1.2.9 Nafasi, fursa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na nafasi ya kufanya jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja nafasi ya kufanya jambo fulani?
• nafasi
6.1.3.1 Rahisi, inayowezekana
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea jambo ambalo ni rahisi au linalowezekana.
(1) Maneno gani huelezea jambo fulani ambalo ni rahisi kulifanya?
• easy, a cinch, no problem, piece of cake
(2) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani linaweza kufanyika.
• be possible, not too hard, can do it, no problem, doable
Share with your friends: |