Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page115/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   111   112   113   114   115   116   117   118   ...   206

Page

5.5.1 Kuwasha moto


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwasha moto.

(1) Maneno gani hutaja kuwasha moto?

light a fire, build a fire, make a fire, start a fire, ignite, light a match, set on fire, set fire to something, blow into flames, kindle,

(2) Maneno gani hutaja kitu kinachoanza kuchomwa?

catch fire, start burning, burst into flames, spark, smolder

(3) Vitu gani hutumika kuwashia moto?

match, matchstick, matchbox, flint and steel, cigarette lighter, lighter fluid, tinderbox,

(4) Nyenzo gani hutumika katika kuwasha moto?

kijinga, vijiti vya kuwashia moto

5.5.2 Kutunza moto


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja kutunza moto--yaani tendo la kuufanya moto uendelee kuwaka.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutunza moto unaowaka?

tend a fire

(2) Maneno gani hutaja kuongeza mafuta au nyenzo kwenye moto?

feed a fire, stoke a fire, throw another log on the fire

(3) Maneno gani hutaja kuvuma kwenye moto na kufaya kuwa mkubwa?

fan a fire, fan into flames, blow on a fire, bellows, pump bellows

(4) Maneno gani hutaja tendo la kufanya moto uwe mkubwa zaidi?

build up a fire

(5) Maneno gani hutaja kuwasha tena moto ulioanza kuzimika?

rekindle

(6) Maneno gani hutaja kuzuia moto usizimike, kama vile kuufukia na majivu ili usizimike nyakati za usiku?

bank a fire,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kutoa kitu kutoka kwenye moto?

pull out of the fire, snatch from the flames,

(8) Maneno gani hutaja kitu kilichotolewa kutoka kwenye moto?

kijinga

(9) Maneno gani humwelezea mtu ambaye kazi yake ni kuzuia moto usizimike?

preserver of the fire,

(10) Maneno gani hutaja kugawana moto na jirani ambaye moto wake umeshazimika?

(no words in English)

(11) Vitu gani hutumika kubebea moto?

fire pan, brazier

(12) Vifaa gani hutumika kutunzia moto?

poker, tongs, wick trimmer, snuffer,

5.5.3 Kuzima moto


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na njia zote ambazo mtu anaweza kuzima moto.

(1) Maneno gani hutaja kuzimika kwa moto?

die down, go out, burn itself out

(2) Maneno gani ya kawaida hutumika kumtaja mtu anapozima moto?

extinguish, put out (a fire), fight (a fire), stub out (a cigarette),

(3) Maneno gani hutumika kutaja tendo la kuzima moto kwa maji?

douse (a fire), quench (a fire)

(4) Maneno gani hutumika kutaja tendo la kuzima moto kwa kuvuma?

blow out (a candle)

(5) Maneno gani hutumika kutaja tendo la kuzima moto kwa kuufukia?

smother (a fire), snuff out (a flame)

(6) Maneno gani humtaja mtu ambaye kazi yake ni kuzima moto?

fireman, firefighter

(7) Vifaa gani hutumika katika kuzima moto?

gari la zimamoto

5.5.4 Kuwaka kwa moto


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha vitenzi vinavyohusika na moto, k.m. "Moto unawaka." Katika lugha nyingine au katika baadhi ya lugha kuna vitenzi vinavyoelezea vitu vinavyoungua, k.m. "Nyumba inaungua."

(1) Maneno gani hutaja kuwaka kwa moto?

burn

(2) Maneno gani hutaja moto unaowaka vizuri?

blaze, ablaze, burn fiercely, burn brightly, burn hot

(3) Maneno gani hutaja moto usiowaka vizuri?

die down, smolder

(4) Maneno gani huelezea moto unaoanza kuwaka tena baada ya kukaribia kuzimika?

flare up, flame up

(5) Maneno gani huelezea mwonekano wa moto?

flicker, dance, glow

(6) Maneno gani hutaja moto kuchoma kitu?

burn something,

(7) Maneno gani hutaja kitu ambacho kinachomwa sehemu?

blacken, scorch, singe,

(8) Maneno gani hutaja kitu ambacho kinachomwa kabisa?

burn up, burn down, burn to the ground, consume, incinerate, destroy by fire, reduce to ashes,

(9) Maneno gani hutaja moto kufanya kitu kiwe cha moto?

to heat something, to warm something

(10) Maneno gani hutaja kuwa kitu fulani kinaungua?

kuungua, kushika moto, kuteketea

(11) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimeshaungua?

burnt,

5.5.5 Matokeo ya moto


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na matokeo ya moto.

(1) Matokeo ya moto ni yapi?

flames, heat, light, smoke, fumes, exhaust, sparks, ash, soot

(2) Maneno gani hutaja tendo la moto kutoa kitu?

to smoke, give off sparks, send up sparks, give off heat, glow

(3) Maneno gani hutaja moshi?

smoke, smoky, blue with smoke, haze, smog

(4) Macheche hufanya nini?

shoot up, fly out, land on things

(5) Moto hutengeneza sauti gani?

crackle, pop, hiss, roar of the flames

(6) Maneno gani hutaja mbao baada ya kuungua?

embers, coals, live coals

(7) Vinavyobaki baada ya moto kuzimika huitwaje?

ash, blackened wood, charred remains

(8) Maneno gani hutaja uchafu unaobaki juu ya vitu vilivyokuwa karibu na moto?

soot

(9) Maneno gani hutaja eneo la ardhi ambalo limeshaungua?

burn (n), burned off area

5.5.6 Vitu vinavyoweza kuwaka


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kutengeneza, kukusanya, kuhifadhi, na kutumia mafuta (na aina nyingine za vitu vinavyowasha moto). Pia taja maneno yanayoelezea ukusanyaji wa kuni.

(1) Maneno gani hutaja kitu kinachoungua kwenye moto?

fuel

(2) Kuna aina gani za vitu vinavyotumika kwa kawaida katika kuwasha moto (k.m., mafuta, kuni)?

wood, coal, charcoal, oil, gas, candle wax, kindling

(3) Maneno gani hutaja kuni?

firewood, bundle of firewood, piece of firewood, stack of firewood

(4) Maneno gani hutaja ukusanyaji wa vitu vinavyowasha moto (mafuta, kuni, n.k.)?

collect, gather, pick up, chop firewood, split firewood

(5) Maneno gani hutaja mkaa?

charcoal

(6) Maneno gani hutumika katika kutengeneza mkaa?

cook

(7) Maneno gani hutaja mafuta au fueli ya majimaji?

liquid fuel, gasoline (petrol), gas, kerosene (paraffin), diesel, candle wax, oil (lamp)

(8) Vifaa gani hutumika kuhifadhia mafuta au fueli za majimaji?

mapipa, madebe



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   111   112   113   114   115   116   117   118   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page