Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page102/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   98   99   100   101   102   103   104   105   ...   206

4.8.3.8 Kupora


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupora--yaani, kuiba kitu kutoka adui wakati wa vita.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kupora wakati wa vita?

plunder, loot, despoil, pillage, sack, ransack, strip, rifle, forage, maraud, raid, piracy

(2) Maneno gani humtaja mtu anayepora wakati wa vita?

plunderer, looter, forager, marauder, raider, pirate

(3) Maneno gani hutaja kinachoporwa wakati wa vita?

plunder, booty, loot, spoils

4.8.3 Vita


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na vita--yaani mapigano kati ya nchi mbalimbali.

(1) Maneno gani hutaja vita?

war, warfare, fighting, civil war, conflict, armed conflict,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kupiga vita?

fight a war, wage war, be at war, declare war, make war, go on the warpath, fight, clash,

(3) Maneno gani hutaja wakati majeshi wanapopigana?

war, battle, campaign, engagement, fight, contest, clash, skirmish

(4) Maneno gani hutaja sehemu ambayo vita vinafanyika?

uwanja wa mapambano, mahali pa vita

(5) Maneno gani hutaja mkakati katika vita?

strategy, tactics, hunker down, keep up the pressure, overwhelm, concentrate your forces, form a line, hold the line, break the line, reform, rally, morale, maintain morale, military discipline, supply, supply lines, control the battle, battlefield control, reconnaissance, reconnoiter, intelligence, propaganda,

(6) Maneno gani hutaja jeshi likihama au kwenda?

deploy, maneuver, outmaneuver, flank, outflank, advance, charge, overrun, retreat, withdraw

(7) Maneno gani humtaja mtu anayepigana kwenye upande wako na siyo kwenye upande wa adui?

ally

(8) Maneno gani humtaja mtu anayetaka kupiga vita?

warmonger, militarist, hawk,

(9) Maneno gani humwelezea mtu au nchi inayotaka kupiga vita?

warlike,

(10) Maneno gani huelezea nchi zinazopigana vita?

warring

(11) Maneno gani humtaja mtu ambaye anaumizwa au kuuawa kwenye vita?

casualty, missing in action,

Page

4.8.4.1 Kukemea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumkemea mtu mwingine--yaani kumwambia kwamba amefanya makosa.

(1) Maneno gani humtaja mtu fulani akimwambia mtu mwingine kwamba amefanya makosa?

kukemea, kukaripia, kulaumu, kuonya, maneno ya matusi

4.8.4.2 Kukata rufani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukata rufani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la mtu mmoja anapomwambia mwingine afanye mambo mema?

make an appeal, appeal to, entreat

(2) Maneno gani hutaja tendo la kumsihi mtu ili kumsababisha afanye jambo lililo zuri?

kukata rufaa, kufanya rufani

4.8.4.3 Kusuluhisha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumsuluhisha mtu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la mtu fulani kumpa mwingine kitu fulani ili kumsababisha afanye jambo fulani?

bribe, appease, pacify, give in to demands

(2) Maneno gani hutaja tendo au tabia hili?

bribery, appeasement, pacification

(3) Maneno gani hutaja zawadi ya kusuluhisha?

hongo, rushwa

4.8.4.4 Kufanya mapatano


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufanya mapatano na mtu fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la watu wawili wanpojaribu kufikia makubaliano au mapatano?

negotiate, try to reach an agreement, discuss terms

(2) Maneno gani hutaja jinsi watu wawili wanavyojaribu kufikia mapatano?

makubaliano, mahojiano

4.8.4.5 Kukanusha madai, kukubali masharti


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukanusha madai.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kukanusha madai?

kukanusha madai, kukiri, kuacha, kuachia mtu mwingine, hakuna mashindano, kutodai

4.8.4.6.1 Kuomba msamaha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuomba msamaha.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuomba msamaha?

kuomba msamaha, kusihi kwa ajili ya amani, kutafuta msamaha, kuomba rehema

4.8.4.6 Kutubu, toba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutubu.

(1) Maneno gani huonyesha kwamba mtu anaona kwamba amekosa?

feel convicted, recognize your sin, realize one has done wrong, regret

(2) Maneno gani huonyesha kwamba mtu ameamua kubadili mwenendo wake?

repent, have a change of heart, reverse your behavior, reform, go straight

(3) Maneno gani hutaja maamuzi ya kubadili?

repentance, reformation, reversal, change of heart

(4) Maneno gani hutaja tendo la kukiri kosa?

admit wrong, confess, acknowledge wrong, take something back (that you said),

(5) Maneno gani hutaja ombi kwa msamaha?

apologize, apology, apologetic, ask forgiveness

(6) Maneno gani hutaja bidii ya kulipwa sawa na kosa?

kufanya matengenezo, kulipa sawa, kuweka mambo sawa, kufanya malipo ya ukombozi, kurudisha kile kilichochukuliwa, kurudisha vitu vilivyoibwa

(7) Watu husemaje wanapoomba msamaha?

Sorry! Excuse me. I'm sorry. Forgive me.

4.8.4.7 Kusamehe


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumsamehe mtu mwingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumsamehe mtu fulani?

kusamehe, kuachilia, kufuta taarifu mbaya ya mtu, kurehemu mtu, kumwia radhi, kufuta deni

4.8.4.8.1 Kuacha kupigana


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuacha kupigana.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuacha kupigana?

kuacha kupigana, kuacha uadui, kumaliza uadui, kufanya amani, kufanya matengenezo, kuomba radhi, msamaha, kupatanisha, upatanisho, kukubaliana, kufanya shauri

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuongelea swala la kuacha kupigana?

negotiate, negotiations, entreat,

(3) Maneno gani hutaja makubaliano ya kuacha kupigana?

ceasefire, truce, armistice, peace treaty,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   98   99   100   101   102   103   104   105   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page