4.5.5.2 Kukosa adabu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukosa adabu.
(1) Maneno gani yanahusiana na kuonyesha utovu wa heshima?
• kukosa adabu, kutomheshimu mtu, kuvunjia mtu heshima, kuonyesha ufidhuli, usafihi, ujuvi
4.5.5 Kuheshimu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumheshimu mtu mwingine.
(1) Maneno gani yanahusiana na tendo la kuonyesha heshima kwa mtu mwingine?
• kutukuza, kutoa heshima, kumheshimu
(2) Maneno gani yanahusiana na mkao unaoonyesha heshima?
• kumwinamia mtu, kusujudu
4.5.6.1 Daraja la juu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno linalohusiana na daraja la juu katika jamii.
(1) Maneno gani yanaelezea daraja la juu?
• daraja la juu, tabaka tawala, mwenye cheo cha juu, safu ya juu, mtu mwenye umuhimu
(2) Majina gani yanatumika katika kumtaja au kumsalimia mtu wa daraja la juu?
• sir, my lord, gentleman, lady
4.5.6.2 Daraja la chini
Tumia eneo la maana hili kwa maneno linalohusiana na daraja la chini.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa wa daraja la chini?
• be low down, be at the bottom, be at the bottom of the pile,
(2) Maneno gani hutaja daraja la chini?
• low status, low estate
(3) Maneno gani humwelezea mtu wa daraja la chini?
• junior, low-ranking,
(4) Maneno gani hutaja kuwa wa daraja la chini kuliko mtu mwingine?
• assistant, subordinate, under,
(5) Maneno gani yanahusiana na tendo la kumdhalilisha mtu?
• kumshushia hadhi, kudhalilisha, ya hali ya chini, kuaibisha, kufedhehesha
4.5.6 Cheo, hadhi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hadhi au cheo cha mtu katika jamii.
(1) Maneno gani ya kawaida yanataja hadhi au cheo cha mtu kwa jumla?
• status, rank, position,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kupanda hadhi au cheo katika shirika?
• be promoted, move up the ladder, move on to higher things, promotion, rise, advancement,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kumpa mtu hadhi au cheo bora?
• promote, upgrade, elevate,
Page 4.6.1.1 Familia ya mfalme
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na familia ya mfalme.
(1) Je, familia ya mfalme inaitwaje?
• royal family, royalty, nobility
(2) Je, watu katika familia ya mfalme wanaitwaje?
• queen (king's wife), prince (king's son), princess (king's daughter), duke (king's brother), duchess (king's sister), queen mother (king's mother), former king (king's father), noble, nobleman
(3) Je, mtu ambaye amechaguliwa kuwa mfalme mtarajiwa anaitwaje?
• the next king, heir apparent, successor to the throne, Prince of Wales
(4) Maneno gani hutumika katika kuelezea mambo yanayohusiana na familia ya mfalme?
• royal, queenly, princely, noble
4.6.1.2 Afisa wa serikali
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na afisa wa serikali--yaani mtu anayefanya kazi kwa serikali ya nchi fulani.
(1) Maneno gani humtaja mtu ambaye anafanya kazi kwa serikali, yaani afisa wa serikali?
• diwani, balozi, mbunge, rais, makamu wa rais
(2) Maneno gani hutaja nafasi au daraka katika serikali?
• position, post, office,
4.6.1 Mtawala
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mtawala wa nchi fulani.
(1) Mtu ambaye ni mkuu wa nchi huitwaje?
• mkubwa kabisa, mtu wa juu kabisa, mwenye uwezo mkubwa kabisa, rais, waziri mkuu, mfalme, mfalme mkuu, kamanda mkuu
(2) Maneno gani hutaja nafasi au daraka la mtawala?
• throne, kingship, presidency, premiership, chieftaincy, chieftainship, position, office
(3) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na mtawala?
• royal, regal, imperial, kingly, presidential, majestic
(4) Maneno gani hutaja nyumba ya mtawala?
• palace, castle, White House, number 10 Downing Street,
(5) Maneno gani hutaja ishara za mtawala?
• throne, crown, diadem, scepter, royal robes, presidential seal,
(6) Maneno na virai gani maalumu vinatumika katika kumsalimia mtawala?
• your majesty, live forever
(7) Maneno gani hutaja mtawala anapoanza kutawala?
• take the throne, crown (v), swear in, take the oath of office,
(8) Maneno gani hutaja mtawala anapoacha kutawala?
• abdicate, resign, overthrow, leave office,
4.6.2.1 Mgeni
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mgeni--yaani, mtu ambaye anatembelea au anaishi katika nchi fulani lakini siyo raia.
(1) Maneno gani humtaja mgeni?
• foreigner, immigrant, alien, expatriate, outsider
(2) Maneno gani humtaja mtu usiyemfahamu?
• stranger
(3) Maneno gani huelezea kitu kinachotoka nchi ya kigeni?
• foreign, overseas,
(4) Maneno gani huonyesha kwamba mtu fulani yuko katika nchi ya kigeni au anasafiri kwenda huko?
• abroad, overseas,
4.6.2 Raia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na raia wa nchi fulani.
(1) Maneno gani humtaja raia wa nchi fulani?
• citizen, naturalized citizen, native, subject, countryman, inhabitant
(2) Maneno gani huwataja raia wote wa nchi fulani?
• people, populace, citizenry, nation
(3) Maneno gani hutaja hali ya raia?
• uraia
(4) Hati rasmi zinazoonyesha uraia zinaitwaje?
• cheti cha kuzaliwa, cheti cha ndoa, pasi, pasipoti
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuhesabu idadi ya raia?
• census, take a census, number (v)
(6) Maneno gani hutaja idadi ya raia katika nchi fulani au eneo fulani?
• population
(7) Maneno gani hutaja masomo au utafiti wa raia wa eneo fulani?
• demography
(8) Maneno gani humtaja mtu ambaye anaishi katika nchi fulani?
• mkazi, mzalendo
Share with your friends: |