Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page86/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   82   83   84   85   86   87   88   89   ...   206

4.3.5.6 Mnafiki


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mnafiki.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kusema kitu kimoja lakini kufanya kitu kingine?

unafiki, kuigiza, uzandiki, kujifanyisha

(2) Maneno gani humtaja mtu asemaye kitu kimoja na kufanya kitu kingine?

mnafiki, wa kujibadilisha

4.3.5 Mwadilifu, anayesema ukweli


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mwadilifu au mtu anayesema ukweli--yaani maneno yanayomwelezea mtu ambaye hadanganyi, haibi, na havunji sheria.

(1) Maneno gani humwelezea mtu mwadilifu?

honest, reputable, incorruptible, above suspicion,

(2) Maneno gani hutaja sifa ya kuwa mwadilifu?

honesty, integrity,

4.3.6.1 Kutojidhibiti nafsi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutojidhibiti nafsi.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hajidhibiti nafsi?

addicted, excessive, gluttonous, indulgent, intemperate, piggish, prodigal, riotous, self-indulgent, surfeit, unbridled, uncontrolled, unrestrained, voracious

(2) Maneno gani humtaja mtu ambaye hajidhibiti nafsi?

addict, Epicurean, glutton, pig, prodigal,

(3) Maneno gani hutaja ukosefu wa kiasi?

kukosa kiasi, asiyejizuia, asiyejidhibiti nafsi, bila kadiri

(4) Maneno gani hutaja sifa ya kutojidhibiti nafsi?

addiction, debauchery, dissipation, excess, excitability, extravagance, gluttony, indulgence, intemperance, leniency, overindulgence,

4.3.6.2 Nadhifu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hali ya kuwa na utaratibu katika mazoea ya binafsi, kama vile kutunza vizuri vitu, au kupangilia muda na shughuli.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anapenda vitu viwe nadhifu?

tidy, neat, orderly, organized, consistent, house-proud,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kiwe nadhifu?

tidy, tidy up, clean up, clear up, straighten, straighten up, get the place straight, put something straight, put something in order, put something away,

(3) Maneno gani hutaja sifa ya kuwa nadhifu?

tidiness, neatness,

(4) Maneno gani huelezea kitu ambacho ni nadhifu?

tidy, immaculate, just so, neat, shipshape, smart, trim, well-kept

4.3.6.3 Si nadhifu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kutokuwa nadhifu--yaani kutokuwa na utaratibu katika mazoea ya binafsi.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hapendi vitu viwe nadhifu?

untidy, messy, slovenly, slob, disorderly

(2) Maneno gani humtaja mtu mwenye nguo chafu na nywele chafu?

untidy, scruffy, unkempt, disheveled, bedraggled

(3) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha kitu kisiwe nadhifu?

make a mess, mess something up, clutter, ransack, leave something lying about,

(4) Maneno gani hutaja sifa ya kutokuwa nadhifu?

untidiness, messiness, disorderliness,

(5) Maneno gani hutaja mahali ambapo si nadhifu?

dump, pigsty

(6) Maneno gani huelezea kitu ambacho si nadhifu?

untidy, messy, be a mess, bedraggled, careless, cluttered, disheveled, frowzy, rumpled, slatternly, slovenly, be all in a muddle,

(7) Maneno gani hutaja vitu ambavyo vimetawanyika na vinasababisha mahali pasiwe nadhifu?

mess, clutter

4.3.6.4 Kosa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja makosa--jambo baya mtu analofanya bila kusudi.

(1) Maneno gani hutaja makosa yasiyo ya maadili?

mistake, error, slip, mix-up, slip-up, oversight, aberration,

(2) Maneno gani hutaja makosa katika kuandika au kusema?

mistake, misprint, spelling mistake, slip of the tongue, error, typographical error, typo,

(3) Maneno gani hutaja makosa makubwa katika kaamua au kupanga?

mistake, miscalculation, misjudgment, error of judgment, be a bad move, blunder, bad tactics, muddle, confusion, mess something up, make a mess of something,

(4) Maneno gani hutaja makosa yanayoaibisha?

put your foot in it, faux pas, gaffe, boo-boo, indiscretion,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kosa?

kukosa, kufanya kosa, kupotoka

(6) Maneno gani huelezea kitu kinachofanyiwa kwa bahati mbaya?

by mistake, mistaken, mistakenly, in error, erroneously,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kuchanganya mtu mmoja na mwingine au kitu kimoja na kingine (yaani kufikiri mtu fulani ni mtu mwingine, au kitu fulani ni kitu kingine)?

mistake something, confuse, mix someone up with, get something mixed up, muddle,

(8) Maneno gani hutaja tendo la kumsababisha mtu mwingine afanye kosa (lisilo la maadili)?

trip someone up, catch someone out,

(9) Unasemaje unapofanya kosa (lisilo la maadili)?

samahani

4.3.6 Kujidhibiti nafsi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kujidhibiti nafsi--yaani kuamua kutokufanya jambo ambalo unataka kulifanya kwa sababu unafikiri ni vibaya kulifanya; au kuamua kufanya jambo kwa sababu unajua ni vizuri kulifanya.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajidhibiti nafsi?

self-controlled, ascetic, austere, careful, conscientious, controlled, disciplined, discreet, moderate, provident, prudent, puritanical, restrained, sober-minded, stoic, tempered, tolerant, unsparing,

(2) Maneno gani humtaja mtu ambaye anajidhibiti nafsi?

ascetic, conformist, moderate, puritan, stoic,

(3) Maneno gani hutaja hali ya kujidhibiti nafsi?

abstain, behave, behave yourself, constrain, contain yourself, control yourself, discipline yourself, forbear, forgo, restrain yourself, say no, tolerate,

(4) Maneno gani hutaja sifa ya kujidhibiti nafsi?

self-control, abnegation, abstention, abstinence, asceticism, constraint, discipline, equanimity, forbearance, moderation, poise, reserve, restraint, self-denial, self-discipline, sobriety, stoicism, sufferance, temperance, tolerance, toleration,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kudhibiti hisia zako?

keep your temper, calm and collected, composed, composure, forbearing, unexcitable, long-suffering, poised, reserved, staid, steady, unexcited,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kudhibiti kula kwako?

put a knife to your throat,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kudhibiti tamani zako za kunywa pombe?

stay sober, go on the wagon,

(8) Maneno gani hutaja tendo la kudhibiti tamani zako za kutumia pesa ovyo?

frugal, frugality, thrifty, thrift,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   82   83   84   85   86   87   88   89   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page