4.2.1.5 Mkutano, mkusanyiko
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mkutano.
(1) Maneno gani hutaja mkutano?
• mkutano, mkusanyiko, kusanyiko, kundi, baraza, kongamano, usheha
(2) Maneno gani hutaja mahali ambapo watu wanakutana pamoja?
• meeting place, venue, rendezvous, center, haunt,
4.2.1.6 Kushiriki
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kushiriki katika kikundi--yaani kufanya mambo pamoja na kikundi.
(1) Maneno gani huelezea ushirika wa mtu katika kikundi?
• kiwango cha kutosha, kikamilifu, mwenye bidii na shauku, kwa moyo wote, bila bidii sana, mwenye kusita, bila moyo wa kufanya lolote
(2) Maneno gani hutaja msimamo wa mtu dhidi ya kikundi fulani?
• kwa ajili ya, kinyume cha, kupingana na, kuzuia, kuwa ukingoni, upande wa ukinzani
(3) Maneno gani huelezea ngazi ya mtu katika kikundi?
• mtangulizi, mfuasi, chokora, mfuasi mwaminifu
(4) Maneno gani huelezea uhusiano wa mtu na kikundi?
• join with, hesitate to join, stand apart, stand aloof
(5) Maneno gani humtaja mtu asiyejishughulisha na kikundi au shughuli zake?
• mtazamaji, kusimama bila kufanya chochote
4.2.1.7 Umati, kundi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja umati au kundi ya watu.
(1) Maneno gani hutaja umati?
• umati, kundi, halaiki, kusanyiko, kikundi, msoa
(2) Maneno gani huelezea umati?
• kubwa, pana, waliobanwa
4.2.1.8.1 Kujiunga na shirika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kujiunga na shirika.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kujiunga na kikundi au shirika?
• kujiunga na kikundi, kuunga mkono, kuingia (chama)
4.2.1.8.2 Kuondoka kwenye shirika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuondoka kwenye shirika.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuondoka kwenye kikundi au shirika?
• leave, excuse oneself
(2) Maneno gani huwataja watu wote kuondoka?
• disperse, break up, scatter
(3) Maneno gani hutaja tendo la kujitoa kwenye kikundi?
• kujitoa kwenye kikundi, kujitoa katika kikundi, kuondoka
4.2.1.8.3 Kuwa sehemu ya shirika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kuwa mtu wa shirika.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa mtu wa kikundi au shirika?
• mtu wa kikundi, mwanakikundi, mshiriki, mwanachama
(2) Maneno gani humtaja mtu fulani ambaye ni mtu wa kikundi au shirika?
• member, membership, insider, one of us
(3) Maneno gani hutaja shirika fulani ambalo linalihusu shirika lingine?
• be affiliated with, affiliation,
4.2.1.8 Shirika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja shirika.
(1) Maneno gani hutaja shirika?
• organization, club, society, institution, company
(2) Maneno gani hutaja sehemu ya shirika?
• department, committee
(3) Maneno gani hutaja tendo la kuanzisha au kuunda shirika?
• form, organize
4.2.1.9 Kundi la kijamii
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja kundi la kijamii.
(1) Maneno gani hutaja kundi la kijamii?
• hippies, yuppies, beatniks, greens
(2) Katika utamaduni wako kuna aina gani za makundi ya kijamii?
• hippies, yuppies, beatniks, greens, teenagers
4.2.1 Kukutana, kuunda kundi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kukutana pamoja ili kuunda kundi.
(1) Maneno gani hutaja watu wanapokutana na kuunda kikundi?
• kukutanika, kukusanyika, kukutanisha, mkutano, kundi, kukusanyika kijamii
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuunda kundi?
• unification, union,
(3) Maneno gani huelezea kundi linaloundwa?
• unified,
4.2 Shughuli za kijamii
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayotaja shughuli za kijamii kwa jumla.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja shughuli za kijamii kwa jumla?
• shughuli za jamii, kuendesha mambo ya umma, kujuana
Page 4.2.2.1 Sherehe
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja sherehe.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja sherehe kwa jumla?
• sherehe
(2) Aina za sherehe zinaitwaje?
• sherehe, karamu, uadhimisho, sherehe ya siku ya kuzaliwa, harusi, sikukuu ya ukumbusho, maadhimisho ya kurudi nyumbani, sherehe za ubatizo, sherehe za kumpa mtoto jina, kipaimara, uzinduzi, uanzishaji, ufunguzi, sherehe ya kucheza, mazishi, sherehe ya kuzindua, ukumbusho, sherehe ya kuwekwa wakfu, sherehe ya kumwingiza kasisi katika kazi yake, mahafali (sherehe ya kuhitimu), sherehe ya kujiuzulu, tamasha, tafrija, utambulisho, sherehe ya mnada, sherehe ya kufunga
(3) Maneno gani huelezea sherehe?
• solemn
(4) Maneno gani hutaja sikukuu fulani?
• Christmas, New Years, Thanksgiving, Easter, Good Friday, Independence Day, Memorial Day, Labor Day, Washington's Birthday, Valentine's Day, Mothers Day,
4.2.2.2 Maadhimisho, maonyesho
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja maadhimisho au tamasha--yaani, tukio kubwa la kijamii ambalo wakati wake watu fulani wanaburudisha wengine.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja maadhimisho kwa jumla?
• festival, show, spectacle,
(2) Aina za maadhimisho zinaitwaje?
• carnival, fair, circus, parade, county fair, state fair,
(3) Maneno gani hutaja sehemu fulani ya maadhimisho au maonyesho?
• routine, act, ride, float, booth,
4.2.2.3 Kusherehekea
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusherehekea.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kusherehekea?
• celebrate, commemorate, honor, do something in someone's honor, mark, in celebration of
(2) Maneno gani hutaja sherehe yenyewe?
• celebration, party, feast, festival, pageant, parade
Share with your friends: |