Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page64/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   60   61   62   63   64   65   66   67   ...   206

3.5.1.7.1 Kushukuru


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumshukuru mtu--yaani kumwambia mtu kwamba unajisikia vizuri kuhusu jambo ambalo amefanya kwa ajili yako.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumshukuru mtu?

thank, say thank you, express your thanks, acknowledge (a gift), appreciate, show your appreciation, express your gratitude, show gratitude, recognize, in recognition of,

(2) Maneno gani hutaja tukio la kutoa shukrani?

kushukuru, kutoa shukrani

(3) Maneno gani humwelezea mtu wa shukrani?

kuwa na shukrani, mwenye shukrani

(4) Maneno gani hutaja hisia za kutaka kumshukuru mtu fulani?

appreciation, gratitude,

(5) Watu husemaje wanapomshukuru mtu?

(6) Watu husemaje mtu anapowashukuru?

(7) Maneno gani hutaja tendo la kutokumshukuru mtu?

ingratitude

(8) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hamshukuru mtu mwingine?

unthankful, unappreciative, ungrateful,

(9) Maneno gani humtaja mtu ambaye hataki kumshukuru mtu?

ingrate, ungrateful wretch,

(10) Maneno gani humwelezea mtu ambaye watu wote hawamshukuru?

unappreciated,

(11) Maneno gani huelezea jambo ambalo mtu amelifanya na hakuna mtu aliyemshukuru kwa kufanya jambo hilo?

thankless (task), unacknowledged, unappreciated,

3.5.1.7.2 Kujipendekeza, kubembeleza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kumbembeleza mtu--yaani kumwambia mtu kitu kizuri lakini bila kukimaanisha.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumbembeleza mtu (kwa kusema kitu kizuri bila kukimaanisha)?

kusifu kwa kubembeleza, kujipendekeza

3.5.1.7.3 Kujigamba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kujigamba--yaani kusema jambo zuri kuhusu wewe mwenyewe, hasa kufanya ionekane kwamba wewe ni bora kuliko ulivyo.

(1) Maneno gani hutaja kujigamba au kujisifu?

boast, brag, claim, crow, bravado, name-drop, praise yourself, swagger, toot your own horn, blow your own trumpet, vaunt yourself,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kujigamba au kujisifia?

boasting, bragging, name-dropping,

(3) Maneno gani hutaja kile kilichosemwa unapojisifia au unapojigamba?

boast (n), claim (n),

(4) Maneno gani humwelezea mtu anayejigamba?

boastful, vain, proud, bigheaded, be all talk, be all bluster,

(5) Maneno gani humtaja mtu anayejigamba?

blowhard, braggart, bighead, name-dropper

3.5.1.7 Kusifu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kumsifia mtu au jambo fulani--yaani kusema jambo zuri kuhusu mtu au kusema kwamba mtu fulani amefanya jambo zuri.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumsifu mtu fulani?

kusifu, sifa, kunenea mema, kushuhudia mema, kutukuza, kuheshimu

(2) Maneno gani hutaja kile kilichosemwa?

praise (n), acclaim, accolade, adoration, approval, bouquet, commendation, compliment (n), credit, eulogy, glory, honor (n), kudos, paean, panegyric, plaudit, recognition, tribute,

(3) Maneno gani huelezea jambo ambalo watu hulisifia?

praiseworthy, commendable, commendatory, creditable, laudable, laudatory

(4) Watu hutumia alama zipi za mshangao wakati wanapozungumza vizuri kuhusu mtu?

praise the Lord, hallelujah, hosanna,

3.5.1.8.1 Kulaumu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumlaumu mtu kwa jambo fulani--yaani kusema kwamba mtu fulani amefanya jambo na kwa sababu ya jambo hilo kitu kibaya kimetokea.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumlaumu mtu kwa jambo fulani?

blame someone for something, blame something on someone, say something is somebody's fault, put the blame on, lay the blame on, apportion blame, hold someone responsible,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kujilaumu mwenyewe kwa sababu ya jambo fulani?

blame yourself, reproach yourself,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kulaumiwa kwa sababu ya jambo fulani?

get the blame, get blamed for, take the blame, take the rap, carry the can, take the fall,

(4) Maneno gani humtaja mtu ambaye amelaumiwa kimakosa kwa sababu ya jambo fulani?

scapegoat, fall guy,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kumlaumu mtu mwingine kwa jambo ambalo ni kosa lako?

shift the blame, pass the buck,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kusema kwamba mtu fulani halaumiwi kwa sababu ya jambo fulani?

exonerate, give someone the benefit of the doubt,

(7) Maneno gani hutaja tendo la watu kulaumiana kwa sababu ya jambo fulani?

recriminations,

(8) Maneno gani hutaja tendo la kujisikia vibaya kuhusu mtu fulani kwa sababu unafikiri anatakiwa kulaumiwa?

reproach (n),

3.5.1.8.2 Kutukana matusi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumtukana mtu--yaani kusema kwamba mtu fulani ni mbaya.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumtukana mtu?

kutukana, matukano, kukwaza, kukemea, kukosoa, kulaani, laana

3.5.1.8.3 Kudhihaki


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumdhihaki mtu--yaani kufanya au kusema jambo ili kufanya watu wamcheke mtu mwingine kwa sababu humpendi.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumdhihaki mtu?

mock, mockery, make fun of, tease, taunt, ridicule, scorn, sneer, sarcasm, deride, derision, jeer, laugh at, snicker, snigger, poke fun at, play a trick on, satirize, satire, parody, caricature, lampoon, make a fool of, roast

(2) Maneno gani huelezea jambo ambalo hufanywa au husemwa ili kumdhihaki mtu?

derisive, mock (adj), sarcastic, cutting, satirical, burlesque

(3) Maneno gani humtaja mtu ambaye amedhihakiwa?

laughingstock, fool, target, butt, buffoon, fall guy

(4) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo ambalo husababisha mtu kukudhihaki?

be ridiculous, make a fool of yourself



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   60   61   62   63   64   65   66   67   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page