Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page61/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   57   58   59   60   61   62   63   64   ...   206

3.5.1.2.2 Kuelezea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuelezea jambo fulani--yaani kusema vitu kuhusu jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuelezea jambo fulani?

describe, give a description of, portray, depict, paint a picture, characterize, define, redefine, represent, treat

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuelezea tukio?

describe, talk about, write about, give an account of, tell of

(3) Maneno gani hutaja kile ulichosema wakati unaelezea jambo fulani?

description, descriptive, portrayal, profile, account, report, commentary, characterization, definition, redefinition, depiction, representation,

3.5.1.2.3 Kufafanua


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufafanua jambo fulani--yaani kumsaidia mtu kuelewa jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufafanua jambo?

explain, throw light on, shed light on, enlighten, elucidate, by way of explanation,

(2) Watu huyatumia maneno gani wanapoanza kufafanua jambo?

in other words, let me explain, that is, to put it another way, put it like this, put it this way, let me rephrase that,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kufafanua namna jambo fulani linavyofanyika au namna ya kufanya jambo fulani?

tell, explain, demonstrate, give instructions,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kufafanua jambo gumu kwa kutumia lugha rahisi?

simplify, demystify,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kufafanua jambo fulani kabisa?

set out,

(6) Maneno gani hutaja kile unachosema wakati wa kufafanua jambo fulani?

explanation, account, instructions, directions,

3.5.1.2.4 Kutaja


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutaja jambo fulani--yaani kuongea kuhusu jambo fulani lakini pasipo kusema sana kuhusu jambo hilo.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutaja jambo fulani?

mention, refer to, allude to, touch on, say briefly,

3.5.1.2.5 Kutambulisha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutambulisha mada mpya au somo jipya--yaani kuanza kuzungumza au kuandika kuhusu jambo jipya kwa mara ya kwanza.

(1) Maneno gani hutaja kuzungumza kuhusu jambo fulani kwa mara ya kwanza?

introduce, lead into, bring up, raise, broach a subject,

(2) Maneno gani hutaja kile kisemwacho wakati ukitambulisha jambo fulani?

introduction, lead-in, introductory

3.5.1.2.6 Kurudia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kurudia jambo--yaani kusema jambo kwa mara ya pili.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kusema jambo mara ya pili?

repeat, repeat yourself, say again, iterate, recapitulate, reiterate, reaffirm

(2) Maneno gani hutaja tendo la kusema jambo fulani mara nyingi?

kusema (kitu) tena na tena

(3) Maneno gani hutaja tendo la kurudia sehemu muhimu ya hotuba?

go over, recap, review

(4) Maneno gani hutaja tendo la kurudia kilichosemwa na mtu mwingine?

repeat, quote, echo, parrot, regurgitate

(5) Maneno gani hutaja kilichosemwa mara ya pili?

repetition, recapitulation

(6) Unasemaje unapotaka mtu kurudia jambo fulani?


3.5.1.2.7 Kufanya muhtasari


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kufanya muhtasari wa mambo ambayo yamezungumzwa, iwe msemaji mwenyewe, iwe mwingine.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kurudia mambo ambayo yamezungumzwa kwa kutumia maneno machache?

muhtasari, kufupisha

(2) Maneno gani hutaja maelezo mafupi kwa pointi kuu katika jambo fulani?

summarize, summary, synopsis, overview

3.5.1.2.8 Kusisitiza, kutia mkazo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusisitiza jambo--yaani kusema jambo kwa njia ambayo watu wengine wanajua kwamba unafikiri jambo hili ni muhimu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kulipa jambo umuhimu?

emphasize, stress

(2) Maneno gani hutaja umuhimu ambao jambo fulani umepewa?

emphasis, stress, importance

(3) Maneno gani huelezea jambo au kitu ambacho kimewekwa umuhimu au kusisitizwa?

kusisitiza, kutia mkazo, kukaza sauti, kutilia mkazo, kukaza, umuhimu, dhahiri, wazi, ya kuonekana sana, yenye madaraka makubwa, ya kutokeza, yenye kuonekana, kuonekana wazi, ya kutokeza, ya kuchomoza, mashuhuri, maarufu, utokezo, umashuhuri, umaarufu

3.5.1.2.9 Kuhusu, mada


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ambayo yanaelezea wazo kwamba jambo fulani (limesemwa, kuandikwa, kufikiriwa, au kutengenezwa) linaonyesha au linahusu mada fulani, au jambo ambalo kwa mantiki linahusiana na mada fulani. Pia tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha mada au somo ambalo limekuwa likifikiriwa, likizungumzwa, au limekuwa likiandikwa. Vitendo vya kufikiri, kujua, au kuzungumza (kujumuisha aina nyingine za maelekezo) ambayo yanaweza kuchukua wajibu wa “ mada”. Tunaweza kufikiri “ mada” kama ndio wazo kuu. Tumia eneo la maana hili pia kwa vitu muhimu katika picha fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuhusu jambo fulani au mtu fulani?

be about something, concern, deal with, be concerned with, center on, focus on, address, cover, depict, discuss, dwell on, present, portray, treat,

(2) Maneno gani huonyesha jambo fulani linahusu nini?

about, on, concerning, on the subject of, regarding, re, with regard to, in, of,

(3) Maneno gani hutaja kitu ambacho kinahusu jambo fulani?

subject, topic, theme, issue, question, matter, business, thing,

3.5.1.2 Kuzungumza kuhusu mada au somo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuzungumza kuhusu mada au somo fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuzungumza kuhusu mada fulani?

talk about, dwell on, discuss, address, treat, cover,

(2) Maneno gani hutaja jambo au kitu kinachozungumziwa?

subject, topic, theme, issue, question, matter, business, thing,

(3) Maneno gani hutaja sehemu ya mada au somo?

point, aspect,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuanza kuzungumzia kuhusu jambo au kitu fulani?

bring up, raise, broach, introduce, launch into,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuanza kuzungumzia kuhusu mada au somo tofauti?

change topics, switch topics, turn to, get onto,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kuzungumzia kuhusu mada au somo ambalo unatakiwa kulizungumzia?

get to the point, stick to the point, to the point,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kuanza kuzungumzia kuhusu jambo fulani badala ya mada ambayo unatakiwa kuzungumzia.

get off the subject, digress, get sidetracked, stray from, ramble, lose the thread, where was I?



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   57   58   59   60   61   62   63   64   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page