Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page60/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   56   57   58   59   60   61   62   63   ...   206

3.4.2 Kujisikia vibaya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayohusiana na hali ya kujisikia vibaya au kuwa na hisia mbaya kwa jumla.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia vibaya?

feel bad,

(2) Maneno gani hutaja hisia mbaya?

bad feelings, negative emotions,

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajisikia vibaya?

down,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia vibaya kwa muda mrefu?

bad attitude, be in a bad mood,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kujisikia vibaya?

get someone down,

(6) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kujisikia vibaya?

downer,

Page

3.5.1.1.1 Kuongea na sauti kubwa


Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kupiga kelele--yaani kuzungumza kwa sauti.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuongea kwa sauti kubwa?

kusema kwa sauti, sauti ya juu, sauti kubwa, makelele

3.5.1.1.2 Kusema kwa sauti ya chini, kunong'ona


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea mtu anayesema kwa sauti ya chini.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuongea kwa sauti ya chini au la kunong'ona?

kusema polepole, sauti ya chini, kunong'ona

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuzungumza pasipo kutoa sauti?

mouth the words,

(3) Maneno gani hutumika unapotaka mtu azungumze kwa sauti ya chini?

tone it down,

3.5.1.1.3 Kusema sana


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuzungumza au kusema sana.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuzungumza au kuongea sana?

speak a lot, talkative, loquacious, verbose,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuzungumza au kuongea kwa muda mrefu?

kuendelea kuongea

3.5.1.1.4 Kusema kidogo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo kusema kidogo, kwa sababu hutaki kuzungumza au unafikiri huhitaji kuzungumza.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kusema kidogo?

kutokuongea sana, maneno machache

(2) Maneno gani hutaja tendo la kusema jambo kwa muda mfupi?

brevity, brief, concise, curt, pithy, succinct, synopsis, synoptic, terse,

3.5.1.1.5 Kutokusema kitu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kukaa kimya--yaani kutokusema kitu kwa muda fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutosema?

kutosema, kutulia kimya

(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye yupo kimya?

silent, quiet, close-mouthed, mum, mute, speechless, wordless

(3) Maneno gani hutaja tendo la kumkata mtu kuzungumza?

gag, hush, muffle, silence (v),

(4) Maneno gani hutaja muda ambao kila mtu yupo kimya?

silence

3.5.1.1.6 Mtindo wa msemo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea namna ambavyo mtu anasema katika hali maalumu ya kijamii.

(1) Maneno gani hutaja mtindo wa kusema au wa kuongea?

style, register, formal, informal, colloquial, humorously, seriously, pronunciation

3.5.1.1.7 Kuzungumza vizuri


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuzungumza vizuri.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuongea au kuzungumza vizuri?

kuongea vizuri, msemaji mzuri, ufasaha

3.5.1.1.8 Kuzungumza vibaya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuzungumza vibaya.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutokuweza kuzungumza kiusahihi?

slow of speech, not fluent, poor speaker, stutter, stammer, have a speech impediment

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuzungumza ambako watu hawawezi kukuelewa?

speak incoherently, speak irrational, say nonsense, speak gibberish, No one could understand him. I can't understand you. I can't understand a word you are saying.

(3) Maneno gani hutaja tendo la kufanya makosa unapozungumza?

stumble, misspeak, gaff, speak ungrammatically

(4) Maneno gani hutaja tendo la kuzungumza kusikofaa?

speak inappropriately, be rude, crude, socially unacceptable, filthy speech, out of place, not fit for mixed company, shocking speech

(5) Maneno gani hutaja tendo la kutokujua nini cha kusema?

not know what to say, be speechless, tongue-tied, cat's got your tongue

(6) Maneno gani hutaja tendo la kuzungumza kwa muda unaopita kiasi?

speak for too long, go over the time allotted, be long winded, speak forever

(7) Maneno gani hutaja tendo la kusita wakati wa kusema?

kusita

(8) Maneno gani huelezea jambo ambalo limesemwa kila wakati ambalo watu wanafikiri ni la kijinga?

trite, over-used, stale, banal, be wearing thin, threadbare, clichéd, corny, hackneyed, shopworn, stereotyped, commonplace

3.5.1.1 Sauti


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja sauti ya mtu na namna hiyo sauti inavyosikika--yaani aina ya sauti ambayo mtu anayoitoa anapozungumza au kuimba.

(1) Maneno gani hutaja sauti ya mtu?

voice

(2) Maneno gani huelezea tabia au sifa ya sauti ya mtu?

sauti ndogo, sauti kubwa

(3) Maneno gani huelezea sauti ya juu ambayo ipo katika mfumo wa muziki?

high, high-pitched, piercing, shrill, squeaky, tinny,

(4) Maneno gani huelezea sauti ya chini ambayo ipo katika mfumo wa muziki?

low, deep, bass, rich, resonant,

(5) Maneno gani huelezea sauti ambayo inakwaruza kwaruza?

rough, throaty, husky, gruff, hoarse,

3.5.1.2.1 Kutangaza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kutangaza jambo fulani--yaani kuwasilisha jambo fulani kwa watu wengi.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutangaza jambo fulani?

announce, declare, proclaim, publicize, publish, broadcast, make something public, make known, promote, advertise, inform, post

(2) Maneno gani hutaja kile kilichotangazwa?

announcement, publicity, propaganda

(3) Maneno gani huelezea jambo ambalo limetangazwa kwa watu wengi?

well publicized



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   56   57   58   59   60   61   62   63   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page