3.4.2.1.5 Upweke
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kujisikia ukiwa mpweke--yaani kujisikia vibaya kwa sababu upo kwenye upweke na haupo pamoja na watu unaowapenda.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia mpweke?
• feel lonely, feel alone, feel isolated, feel abandoned, miss someone
(2) Maneno gani hutaja hisia za upweke?
• loneliness, homesickness,
(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajisikia mpweke?
• lonely, lonesome, homesick,
(4) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia upweke sana?
• pine away,
3.4.2.1.6 Kuhangaika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hisia za kuhangaika--yaani kujisikia vibaya sana kwa sababu mtu fulani amekufanyia jambo baya au kwa sababu jambo fulani baya limekutokea, kwa hiyo kufikiri kwako kumeathirika.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kuhangaika jambo fulani?
• be upset, hurt, distressed, troubled,
(2) Maneno gani hutaja hisia za kuhangaika?
• agitation, distress, uproar,
(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye amehangaika?
• upset, agitated,
(4) Maneno gani hutaja hisia za kuhangaika sana?
• deeply hurt, deeply distressed, distraught, be in a state, be in an uproar, emotions in an uproar, torment, tormented,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kuanza kuhangaika?
• get upset, get worked up, take something to heart,
(6) Maneno gani hutaja kusababisha mtu kuhangaika?
• upset someone, agitate, churn me up inside, discomfit, discompose, disconcert, distract, distress, disturb, hurt, hurt someone's feelings, perturb, pressure (v), rattle, stir, unsettle,
(7) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kuhangaika?
• agitation, distraction, pressure, trauma, traumatic experience, turbulence, turmoil,
(8) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kuhangaika?
• upsetting, distressing, harrowing, painful, traumatic,
(9) Maneno gani humwelezea mtu anayehangaika haraka?
• sensitive,
3.4.2.1.7 Mshtuko
Tumia eneno la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kupata mshtuko--yaani kushangaa na kujisikia hasira wakati jambo baya sana linapotokea kwa ghafla au wakati mtu fulani amefanya jambo baya sana.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia mshtuko?
• be shocked, feel shocked,
(2) Maneno gani hutaja hisia za mshtuko?
• shock, horror, outrage,
(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye amepata mshtuko?
• shocked, deeply shocked, stunned, shaken, dazed, speechless, horrified, aghast, mortified, outraged, scandalized
(4) Maneno gani hutaja hali ya kupata mshtuko mkubwa au kuwa na mshtuko kwa muda mrefu?
• be in a state of shock, traumatized, shattered
(5) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kupata mshtuko?
• shock, come as a shock, horrify, stun, shake, knock someone for a loop, drop a bombshell, outrage, rock, scandalize, traumatize,
(6) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kupatwa na mshtuko?
• shock (n), shocker, blow, bolt from the blue, bombshell, rude awakening, scandal, trauma, horror,
(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kupatwa na mshtuko?
• shocking, horrible, horrifying, shattering,
3.4.2.1.8 Wivu, kijicho
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hisia za kijicho--yaani kuhisi vibaya wakati mtu fulani amefanya vizuri, ana kitu kizuri, au kupokea kitu kizuri, kwa sababu unataka vile vitu alivyovipata.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kuhisi kijicho?
• wivu, kijicho, mwenye husuda
(2) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na hisia za wivu?
• jealousy, envy (n), covetousness, resentment, sour grapes,
(3) Maneno gani humwelezea mtu mwenye wivu, au mwenye hisia za wivu?
• jealous, possessive, envious, green with envy, covetous, jaundiced, resentful, bitter,
(4) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na wivu sana?
• bitterly jealous,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kuwa na wivu?
• make someone jealous, arouse jealousy,
(6) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa na wivu?
• not begrudge,
3.4.2.1.9 Kutotosheka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hisia za kutotosheka.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kuhisi vibaya kuhusu hali zako zilizoko?
• kutotosheka, kutoridhika, ukosefu wa ridhaa, uchungu, chuki, kulalamika
3.4.2.1 Kujisikia huzuni
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kujisikia huzuni--yaani kujisikia vibaya kwa sababu jambo baya limtokea (k.m. kupotelewa, kusikia habari mbaya, au kuangalia jambo baya likitendeka).
(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia huzuni?
• be sad, feel sad, feel down, grieve, mourn, feel sorry for yourself, sulk, wallow in, feel hurt,
(2) Maneno gani hutaja hisia za huzuni?
• sadness, dejection, depression, despondency, dismal feeling, gloom, gloominess, grief, heartache, self-pity, misery, pain, sorrow, unhappiness, woe,
(3) Maneno gani humwelezea mtu mwenye huzuni?
• sad, crestfallen, dejected, disappointed, discouraged, doleful, down, downcast, downhearted, fed up, forlorn, gloomy, glum, grouchy, grumpy, with a heavy heart, homesick, low, melancholy, morose, mournful, pensive, sober (adj), solemn, sorry, sorrowful, sullen, unhappy, wistful, woeful,
(4) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia huzuni kwa sababu mtu amefariki?
• grief, grieve, mourn, be in mourning,
(5) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia huzuni sana?
• agony, anguish, desolate, despair, be in despair, disconsolate, grief stricken, heartbroken, inconsolable, miserable, misery, suicidal, woe
(6) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia huzuni kwa muda mrefu?
• depressed, despondent, down, be down in the dumps, feel blue, low, mope,
(7) Maneno gani huelezea muda ambao mtu anajisikia huzuni?
• sad, unhappy, miserable,
(8) Maneno gani humwelezea mtu ambaye kila wakati ni mwenye huzuni?
• discouraged, discouragement, depressed, depression, feel down, grouch, unhappy, unhappiness,
(9) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kujisikia huzuni?
• sadden, aggrieve, disappoint, depress, discourage, distress, grieve, hurt, sober (v), sting, torment, make someone sad, make someone unhappy, get someone down, break someone's heart, drive someone to despair,
(10) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kujisikia huzuni?
• heartbreak, heartache, discouragement, grief, downer, tragedy, bitter pill to swallow, woe
(11) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kujisikia huzuni?
• sad, depressing, grievous, heartbreaking, plaintive, mournful, tragic,
(12) Maneno gani huelezea mahali ambapo husababisha mtu kujisikia huzuni?
• dismal, depressing, dreary, bleak, cheerless,
(13) Watu hufanya nini wanapojisikia au wanapokuwa na huzuni?
• hang your head, cry, frown, bewail, groan, lament, lamentation, sigh, wail
(14) Mtu hutoa sauti gani anapojisikia au anapokuwa mwenye huzuni?
• groan, moan, sigh
(15) Watu husema nini wakati jambo baya linapotokea na wanataka kusema kwamba wamehuzunishwa na hilo jambo?
• it's a pity, it's a shame, too bad, unfortunately, sadly, regrettably, it's unfortunate, it's sad, more's the pity, unhappily, I'm sorry, sorry to hear, sorry (that), wish that ... not (something hadn't happened), tragically, feel sorry for someone
(16) Maneno gani huelezea jambo ambalo unatamani lisingelitokea?
• unfortunate, regrettable,
(17) Watu husema nini wakati hawapendi mtu kujisikia huzuni?
• cheer up,
(18) Maneno gani hutaja tendo la kumsaidia mtu ambaye anajisikia huzuni ili ajisikie vizuri?
• comfort, console, reassure, solace,
Share with your friends: |