Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page53/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   49   50   51   52   53   54   55   56   ...   206

3.4.1.4.2 Shauku


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hisia za shauku--yaani kujisikia vizuri sana kwa sababu unataka kufanya jambo au unataka kitu fulani kitokee.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia shauku?

be into something, be excited about, be raring to go, eagerly,

(2) Maneno gani hutaja hisia za shauku?

enthusiasm, eagerness, zeal,

(3) Maneno gani humwelezea mtu mwenye shauku?

enthusiastic, enthused, animated, ardent, avid, eager, fervent, hot, motivated, zealous, have purpose, keen, mad about,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia shauku sana au kujisikia shauku kubwa?

get carried away, be full of enthusiasm,

(5) Maneno gani hutaja hali ya kumsababisha mtu awe na shauku au kujisikia shauku?

inspire, motivate, fire up, enthuse

(6) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kujisikia shauku au mtu kupata shauku?

motivation, motivator,

(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kupata shauku au kujisikia shauku?

motivating,

(8) Maneno gani humtaja mtu ambaye ana shauku kuhusu jambo fulani?

fan,

(9) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa na shauku?

not enthusiastic, unenthusiastic, lack of enthusiasm, half-hearted, lukewarm, muted, your heart's not in it,

3.4.1.4.3 Tamaa, kufilisiwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kufilisiwa na hisia za tamaa--yaani kuvutiwa sana na jambo fulani kwa muda mrefu.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kufilisiwa na tamaa kwa kitu au jambo fulani?

be obsessed with, be fascinated by, can't get something out of your mind, have a thing about, have an unhealthy interest in, have a one-track mind,

(2) Maneno gani hutaja hisia za kufilisiwa na tamaa?

fascination, obsession, mania, fixation, fetish, preoccupation,

(3) Maneno gani humwelezea mtu mwenye tamaa au mtu ambaye anafilisiwa na tamaa?

obsessed, absorbed, captivated, engrossed, enthralled, fascinated, intrigued, mesmerized, spellbound, be all ears,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kusababisha mtu kupatwa na tamaa?

obsess, captivate, fascinate, intrigue,

(5) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kufilisiwa na tamaa?

fascinating, intriguing, irresistible, absorbing, riveting, gripping, compelling, couldn't put it down,

3.4.1.4.4 Kuvutia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kumvutia mtu kuwa makini na jambo au kitu fulani. Katika hali halisi, mtu anakiona kitu chenye thamani ya kuvutia. Na mtu anakaribia na kuwa makini na hicho kitu, na ikiwezekana anafanya jambo fulani kwa sababu ya kitu hicho.

(1) Maneno gani hutaja jambo au kitu kinachovutia shauku ya mtu?

attract, tempt, seduce, pull, draw, bring in, lure, appeal to

(2) Maneno gani huelezea jambo ambalo lina ubora ambao unawafanya watu wawe na shauku na hilo jambo au hicho kitu?

attractive, tempting, appealing, irresistible, enticing, alluring, seductive

(3) Maneno gani hutaja kitu cha kuvutia?

attraction, lure (n), temptation,

(4) Maneno gani hutaja ubora wa jambo au kitu fulani ambacho kinavutia?

appeal (n), the lure of, charm, pull (n), draw (n)

3.4.1.4.5 Kutojali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ambayo yanahusiana na tendo la kutojali kuhusu jambo fulani au kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kutojali?

not care, shrug it off, be on the fence, middle-of-the-road,

(2) Maneno gani hutaja hisia za kutokujali?

indifference, neutrality, apathy, unconcern, lack of concern,

(3) Maneno gani humwelezea mtu ajisikiaye kutojali?

indifferent, neutral, apathetic, unconcerned, unmoved, blasé, careless, lackadaisical, half-hearted, casual, offhand, nonchalant, gaily

(4) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia kutojali kabisa?

not give a damn, couldn't care less, be past caring, for all I care,

(5) Maneno gani huonyesha kwamba hujali, kwa sababu utakuwa na furaha haijalishi nini kimetokea?

don't mind, not be fussy, it doesn't bother me,

(6) Maneno gani huonyesha kwamba ulikuwa unajali, lakini kwa sasa hujali tena kwa sababu umeumizwa au una hasira?

be past caring, for all I care, not give a damn, couldn't care less

(7) Maneno gani huonyesha kwamba hujali kuhusu matatizo ya mtu yeyote yule?

not my problem, not my concern, that's your problem, (that's just) tough

(8) Watu hutumia ishara gani wakiwa hawajali?

(9) Maneno gani hutaja hali ya kutofikiria wengine wanavyojisikia?

kutokujali hisia (za wengine), kutohisi, asiye mwepesi

3.4.1.4.6 Kutokuwa na mvuto


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kutokuvutiwa--yaani wakati mtu anapokuwa hana shauku ya jambo au kitu fulani.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kutokuvutiwa na jambo au kitu fulani?

not be interested, lack interest, be bored (with), be fed up with, be tired of, don't care (about), can't be bothered, your heart's not in it, be cool towards, show no interest, express no interest, leave someone cold,

(2) Maneno gani hutaja hisia za kutokuwa na shauku au kutokulipenda jambo?

disinterest, lack of interest, boredom, apathy,

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hana shauku ya jambo fulani au halipendi jambo fulani?

uninterested, disinterested, apathetic, bored, dull, lethargic, uncaring, unconcerned, unenthusiastic, half-hearted, lukewarm,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa na shauku kabisa?

could care less, couldn't care less, be bored to tears, be bored stiff, be bored out of your mind, someone's eyes glaze over,

(5) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hana shauku na jambo lolote lile?

bored, bored to tears, bored stiff

(6) Maneno gani hutaja hali ya kusababisha mtu kujisikia kutokuwa na shauku?

bore (v), put you to sleep

(7) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kutokuwa na shauku?

monotony, tedium,

(8) Maneno gani humtaja mtu ambaye wengine hawana shauku naye?

bore (n),

(9) Maneno gani huelezea jambo ambalo halivutii?

uninteresting, not very interesting, boring, dull, tedious, uneventful, unexciting, humdrum, monotonous, repetitive, long-winded,

(10) Maneno gani huelezea eneo ambalo sio la kuvutia?

dead, one-horse town, nothing ever happens, drab, featureless, dreary

(11) Maneno gani hutaja tendo la kujitahidi kutafuta jambo ambalo ni la kuvutia kwa sababu haujisikii au huvutiwi?

relieve the boredom

(12) Maneno gani hutaja jambo ambalo lilikuwa la kuvitia na kuanza kutokuvutia?

the novelty wears off, lose interest, get tired of,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   49   50   51   52   53   54   55   56   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page