3.4.1.2 Kufurahi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hisia za furaha--yaani kujisikia vizuri wakati jambo zuri linapotokea (kama vile kupokea zawadi, kusikia habari njema au kutazama tendo zuri linalotendeka).
(1) Maneno gani hutaja hali ya kufurahi?
• rejoice, feel good, be in a good mood
(2) Maneno gani hutaja hisia za furaha?
• happiness, bliss, cheerfulness, contentment, delight, elation, euphoria, gladness, good feelings, joy, mirth, pleasure, satisfaction
(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye amefurahi au ana hisia za furaha?
• happy, happily, cheerful, cheerfully, chipper, content, contented, contentedly, glad, gladly, jaunty, merry, mirthful, pleased, satisfied
(4) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na hisia za furaha kubwa?
• exult, delight in, ecstasy, be on top of the world, be over the moon, rapture,
(5) Maneno gani humwelezea mtu mwenye furaha kubwa?
• blissfully happy, overjoyed, delighted, ecstatic, elated, exultant, joyful, jubilant, radiant, thrilled
(6) Maneno gani humwelezea mtu ambaye kila wakati ni mwenye hisia za furaha?
• happy, cheerful, contented, jolly, jovial, have a happy/cheerful/sunny disposition
(7) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ana hisia nzuri akiwa anafanya jambo fulani?
• enjoy, take pleasure in, be fond of doing
(8) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia vizuri kuhusu tabia ya mtu fulani?
• be pleased with
(9) Maneno gani huelezea namna mtu anavyojihisi wakati jambo zuri limetokea kwa mtu mwingine?
• feel happy for, rejoice with
(10) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia vizuri wakati jambo baya limetokea kwa mtu yeyote yule?
• exultant, glee, gleeful, gloat
(11) Maneno gani hutaja hali ya kusababisha mtu fulani kupata hisia za furaha?
• make someone happy, cheer someone up, comfort, console, delight, gladden, please, satisfy, put someone in a good mood, make someone's day, raise someone's spirits, lift someone's spirits
(12) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na furaha tena baada ya kujisikia vibaya?
• brighten up, cheer up, perk up, be cheered, be heartened, take heart
(13) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kujisikia furaha?
• delight, joy, happy ending
(14) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kujisikia furaha?
• happy, cheering, cheerful (thought), heartening, heartwarming, pleasing, satisfying
(15) Maneno gani huelezea muda ambao unajisikia furaha?
• happy, blissful, delightful (time), idyllic, joyous (occasion), pleasant
3.4.1.3 Kustaajabu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kujisikia kustaajabu--yaani jinsi mtu anavyojisikia wakati jambo lisilotarajiwa au jambo la ajabu linapotokea.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia kustaajabishwa?
• be surprised, wonder, be in awe,
(2) Maneno gani hutaja hisia za kustaajabishwa?
• surprise (n), amazement, astonishment, awe (n), incredulity,
(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajisikia kustaajabishwa?
• surprised, amazed, astonished, incredulous, startled, flabbergasted,
(4) Maneno gani hutaja hali ya kusababisha mtu fulani kustaajabishwa?
• surprise (v), surprise (n), amaze, astonish, astound, awe (v), inspire awe, flabbergast, floor, startle,
(5) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kupata hisia za kustaajabishwa?
• surprise (n),
(6) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kupata hisia za kustaajabishwa?
• surprising, startling, amazing, astonishing, incredible, wonderful, awe-inspiring, awesome, unexpected,
(7) Unasemaje pale unapostaajabishwa?
• Wow!
3.4.1.4.1 Kuchangamka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kujisikia kuchangamka--yaani kujisikia vizuri jambo zuri linapotokea au likiwa karibu ya kutokea.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia msisimko au kuchangamka?
• be on the edge of your seat, be on tenterhooks, be all agog,
(2) Maneno gani hutaja hisia za msisimko?
• excitement, thrill, exhilaration, hysteria, suspense,
(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajisikia msisimko au kuchangamka?
• excited, eager, thrilled, animated, exuberant,
(4) Maneno gani huelezea kundi la watu wenye msisimko?
• frenzy, fever pitch, hysterical, high spirits
(5) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na msisimko wa hali ya juu?
• exhilarated, overexcited, mad, wild, crazy
(6) Maneno gani hutaja hali ya kumsababisha mtu apate msisimko?
• excite, get someone excited, thrill, give someone a thrill, animate, stir up, exhilarate,
(7) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kusisimka au kuchangamka?
• sensation
(8) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kusisimka?
• exciting, thrilling, sensational, sensation, exhilarating, heady, dramatic, nail biting, action-packed
(9) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo fulani kwa lengo la kupata msisimko?
• do something for kicks, do something for the thrill of it
(10) Maneno gani huelezea jambo linalokusisimua?
• thrill, adventure, excitement
(11) Maneno gani hutaja sehemu kubwa ya kusisimua ya jambo fulani?
• climax, high point, high spot, highlight
(12) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anapata msisimko kirahisi?
• excitable
(13) Maneno gani hutaja hali ya kupata zaidi msisimko?
• get excited, excitement rose, go mad, go wild, go crazy, reach a climax, reach a fever pitch
(14) Maneno gani hutaja msisimko kuanza kupungua?
• calm down,
(15) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hapati msisimko?
• calm, unexcited,
Share with your friends: |