Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi


Page 3.4.1.1.1 Kujisikia vizuri kufanya jambo fulani



Download 2.8 Mb.
Page50/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   46   47   48   49   50   51   52   53   ...   206

Page

3.4.1.1.1 Kujisikia vizuri kufanya jambo fulani


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kujisikia vizuri au kufurahia kufanya jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kufurahia kitu fulani au jambo fulani?

like, enjoy, love, be fond of, get a lot of pleasure out of, savor, with relish, exhilarate,

(2) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na hisia za furaha wakati unapofanya jambo au kitu fulani?

enjoy yourself, have a good time, have fun, have the time of your life, have a whale of a time, have a blast, be in your element, live it up, let your hair down,

(3) Maneno gani hutaja hisia unazozipata unapofurahia kufanya jambo au kitu fulani?

enjoyment, pleasure, ecstasy, exhilaration, satisfaction,

(4) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anajisikia vizuri kufanya jambo au kitu fulani?

keen, avid, great,

(5) Maneno gani hutaja hali ya kusababisha mtu kujisikia vizuri yeye mwenyewe?

amuse, entertain,

(6) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kufurahia jambo au kitu fulani?

amusement, entertainment,

(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo watu wanafurahia kulifanya?

enjoyable, fun, good fun, great fun, pleasurable, pleasure, be a delight, the joys of, the delights of, be a blast, be a good laugh, satisfying, amusing, entertaining, treat,

(8) Maneno gani humwelezea mtu ambaye watu wengine wanafurahia kuwa naye?

be good company, fun, be a good laugh,

(9) Maneno gani hutaja hali ya kufurahia jambo au kitu kibaya?

revel in, get a kick out of, take delight in, relish, gloat, take pleasure in, delight in, wallow in,

(10) Maneno gani hutaja hali ya kufanya jambo ili mradi tu unajisikia vizuri kulifanya?

for fun, for a laugh, for the hell of it,

(11) Maneno gani hutaja hali ya kufurahia kusifiwa?

bask in, lap something up,

(12) Maneno gani hutmwelezea mtu ambaye anapendelea kujifurahisha yeye mwenyewe?

self-indulgent, hedonist,

(13) Maneno gani hutaja jambo ambalo unalifanya kwa kujifurahisha wewe mwenyewe?

recreation, leisure,

(14) Maneno gani humtaja mtu ambaye hataki watu wengine wajifurahishe wenyewe?

spoilsport,

3.4.1.1.2 Kujiheshimu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya mtu anayejiona mwenyewe kuwa fahali.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia vizuri kuhusu wewe mwenyewe?

feel good about yourself,

(2) Maneno gani hutaja hisia za kujiheshimu mwenyewe?

pride, self-esteem, self-respect,

(3) Maneno gani humwelezea mtu anayejisikia vizuri juu yake mwenyewe?

kujiheshimu, kiburi, majivuno, kujidai, heshima, taadhima, kujisifu, kujitukuza mwenyewe, kujiona mwenyewe, kujivunia, majivuno, fahari, usodai

(4) Maneno gani hutaja hali ya kujisikia vizuri sana kuhusu wewe mwenyewe?

proud,

(5) Maneno gani hutaja hali ya kusababisha mtu kujisikia vizuri kuhusu yeye mwenyewe?

build up, encourage, bolster, boost, congratulate,

(6) Maneno gani hutaja jambo ambalo husababisha mtu kujisikia vizuri kuhusu yeye mwenyewe?

encouragement, boost, congratulations,

(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo husababisha mtu kujisikia vizuri kuhusu yeye mwenyewe?

encouraging

3.4.1.1.3 Kupendelea


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kupendelea jambo moja kuliko lingine--yaani kupenda jambo au kitu fulani zaidi kuliko jambo au kitu kingine.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kupendelea jambo au kitu fulani?

prefer, preferably, in preference to, favor, like something better, like this more than that, have a preference, give me something any day!, be partial to

(2) Maneno gani hutaja hali ya kupendelea kufanya jambo fulani?

prefer to do something, prefer doing something, would prefer to do something, would rather do something, would sooner do something, be in favor of doing something,

(3) Maneno gani hutaja hali ya kumtaka mtu afanye jambo au kitu fulani zaidi kuliko kitu kingine chochote kile?

would prefer, would rather,

(4) Maneno gani huelezea jambo ambalo unalipendelea?

preferable, preferred, favored,

(5) Maneno gani hutaja jambo ambalo unalipenda zaidi kuliko mambo mengine?

favorite (n), favorite (adj), first choice, preference, number one,

(6) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anapendwa kuliko wengine?

favorite (n), teacher's pet, favored,

(7) Maneno gani hutaja hali ya kumpendelea mtu kwa njia isiyo haki kuliko mtu mwingine?

favoritism, bias, biased

(8) Maneno gani hutaja hali ya kutokumpendelea mtu kwa njia isiyo haki kuliko mtu mwingine?

unbiased, impartial, impartially, impartiality,

3.4.1.1.4 Kufahamika sana, kupendwa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea jambo ambalo wantu wengi wanalipenda.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye watu wengi wanampenda?

popular, well-liked, be in favor,

(2) Maneno gani huelezea jambo ambalo watu wengi wanalipenda?

popular, be in demand, sought-after, be big, best-seller, blockbuster, hit

(3) Maneno gani hutaja namna jambo lilivyo maarufu?

popularity,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kufanya jambo liwe maarufu?

popularize,

(5) Maneno gani humwelezea mtu au jambo ambalo sio maarufu?

unpopular, be out of favor, go out of favor with, there's no demand for

3.4.1.1.5 Mtindo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea jambo ambalo watu wengi wanalipenda.

(1) Maneno gani huelezea jambo ambalo ni mtindo?

fashionable, be in fashion, be the fashion, in, be the in thing, chic, cult, designer, be the latest thing, be all the rage, trendy, be in vogue,

(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ana vitu vya kimtindo?

fashionable, trendy,

(3) Maneno gani hutaja jambo ambalo limeanza kuwa la kimtindo?

come into fashion, come in, make a comeback,

(4) Maneno gani hutaja hali ya kufanya jambo liwe la kimtindo?

set the fashion, set the trend, bring in,

(5) Maneno gani hutaja jambo ambalo ni la kimtindo?

fashion, trend, vogue, the latest thing,

(6) Maneno gani hutaja jambo ambalo ni la kimtindo kwa muda mfupi?

fad, craze,

(7) Maneno gani hutaja shughuli ya kutengeneza vitu vya mitindo?

fashion,

(8) Maneno gani huelezea jambo ambalo sio la kimtindo?

be out of fashion, out, unfashionable, old-fashioned,

(9) Maneno gani hutaja jambo au kitu ambacho kimeanza kuwa cha kimtindo?

go out, date,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   46   47   48   49   50   51   52   53   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page