Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page48/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   44   45   46   47   48   49   50   51   ...   206

3.3.3.3 Kushawishi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kumshawishi mtu--yaani kujaribisha kumfanya mtu afanye jambo fulani au kubadilisha mawazo yake.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumshawishi mtu kubadilisha mawazo au maamuzi yake?

advocate, promote, persuade, convince, encourage, encouragement, urge, sway

(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye anaweza kuwashawishi wengine?

convincing, persuasive

(3) Maneno gani hutaja mtu anaposhawashiwa kubadilisha mawazo au maamuzi yake?

kushawishiwa, kuvutiwa

(4) Maneno gani hutaja tendo la kumshawishi mtu asifanye kitu?

kugeuza mawazo (ya mwingine), kushauri dhidi ya (kitu au wazo fulani), kushawishi asifanye (kitu au jambo), kushawishi mtu kutofanya (kitu au jambo)

3.3.3.4 Kusisitiza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kusisitiza--yaani kusema kwa ujasiri au kwa kurudia kwamba ni lazima mtu afanye jambo fulani, kwa sababu mtu mwingine hataki kufanya hilo jambo.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kusisitiza kwamba mtu afanye jambo fulani?

insist, be insistent, at someone's insistence, put your foot down, demand, be adamant, won't take no for an answer, won't hear of, maintain, be resolute

(2) Maneno gani humwelezea mtu anayesisitiza?

insistent, importunate, resolute

3.3.3.5 Kushurutisha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumshurutisha mtu kufanya jambo fulani--yaani kumsababisha au kumlazimisha mtu kufanya jambo fulani ambalo hataki kulifanya.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumshurutisha mtu afanye jambo fulani?

kulazimisha, kushurutisha, kujuburu, sharti, shuruti, kutia nguvu

(2) Maneno gani hutaja hali inayomlazimisha mtu kufanya jambo fulani?

force, make someone do something, drive, compel someone to do something, leave someone with no choice, leave someone with no option, be condemned to,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kumlazimisha mtu kukubali jambo fulani au kitu fulani?

force something on, impose, inflict something on,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kumlazimisha mtu kufanya jambo fulani?

compulsion,

(5) Maneno gani huelezea jambo ambalo mtu amelazimishwa kulifanya?

forcible (eviction), forcibly, compulsory (education),

(6) Maneno gani hutaja jambo ambalo mtu amelifanya ili kumlazimisha mtu mwingine kufanya jambo fulani?

coercion, pressure, high-pressure tactics, strong-arm tactics,

(7) Maneno gani humtaja mtu ambaye anawalazimisha watu kufanya vitu fulani au mambo fulani?

bully,

(8) Maneno gani humwelezea mtu ambaye huwalazimisha watu kufanya mambo au vitu fulani?

bossy, coercive, pushy

3.3.3.6 Kudhibiti


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumdhibiti mtu--yaani kuwalazimisha watu kufanya kile unachotaka wafanye kwa kuwaambia wafanye, au kwa kuwalazimisha kufanya jambo fulani pasipo wao kuwa na uchaguzi. Pia tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kudhibiti jambo fulani kwa mfano kudhibiti mashine, ili kwamba ifanye vile unavyotaka ifanye.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kudhibiti mtu au vitu?

control, be in control, manipulate, pull strings, call the shots, be in the driver's seat, steer, regulate, govern, dominate, monopolize, have a monopoly, have a stranglehold, have a hold over, wrap someone around your finger, hold sway, be the boss, be domineering, oppress, keep someone down, repress, walk all over

(2) Maneno gani hutaja hali ya kudhibitiwa na mtu?

be under someone's control, be in someone's power, be under someone's spell, be at someone's mercy, be a doormat

3.3.3.7 Kuonya


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumwonya mtu--yaani kusema jambo kwa mtu ili kwamba asifanye jambo baya.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumwonya mtu?

kuonya, onyo, ilani, kutahadharisha

(2) Maneno gani hutaja kile kilichosemwa wakati mtu akimwonya mtu mwingine?

warning, admonition, alarm, alert, caution, caveat, discouragement, forewarning

(3) Maneno gani huelezea jambo ambalo halitakiwi kufanywa?

inadvisable,

(4) Maneno gani hutaja jambo ambalo hutoa sauti ya kuwaonya watu?

alarm, bell, buzzer,

3.3.3.8 Kutishia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kumtishia mtu--yaani kusema kwamba utafanya jambo baya kwa mtu kama hatafanya kile unachotaka afanye.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumtishia mtu?

threaten, menace, intimidate, terrorize, frighten, cow, bully, browbeat, blackmail, extort, warn

(2) Maneno gani hutaja tendo la kuogofya au maneno ya kuogofya?

tishio, onyo, ugaidi, hongo

(3) Maneno gani humwelezea mtu anayeogofya?

wa kutiisha, wa kuonea

(4) Maneno gani humtaja mtu anayeogofya?

mtesi, gaidi, mtoza fedha haramu, mjeuri

3.3.3 Mvuto


Tumia eneo la maana hilo kwa maneno yanayohusiana na mvuto, iwe mzuri au mbaya--yaani kufanya jambo kwa sababu unataka mtu abadili mawazo yake.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumshawishi mtu abadili mawazo yake au maamuzi yake?

influence, sway, bias, pull strings, work on, affect, impact, make an impression on, prejudice, bribe, bring into line, lead by the nose

(2) Maneno gani hutaja uwezo wako wa kubadilisha maamuzi au fikra za mtu mwingine?

have influence, be influential, carry weight, have a hold on

(3) Maneno gani hutaja mvuto au ushawishi ulio nao kwa fikra au maamuzi ya mtu mwingine?

influence, impact, weight, pressure, power, sway, control, leverage, pull

(4) Maneno gani humtaja mwenye uvutaji?

mwenye uvutaji, mtu anayeweza kubadilisha maamuzi ya mwingine



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   44   45   46   47   48   49   50   51   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page