3.2.7.1 Kutumaini
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kutumaini kwamba jambo fulani linaweza kutokea--yaani kutaka jambo fulani zuri litokee hapo baadaye.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kutumaini kwamba jambo fulani zuri litatokea hapo baadaye?
• hope, look forward to, anticipate, eagerly await, bide, desire, dream, be optimistic, wish for, fulfill hope,
(2) Maneno gani hutaja jambo fulani zuri ambalo linaweza kutokea hapo baadaye?
• hope (n), wish (n)
3.2.7.2 Kukosa tumaini
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kukosa matumaini--yaani kufikiri kwamba hakuna kitu kizuri kinachoweza kutokea hapo baadaye.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kukosa matumaini?
• hopeless, lose hope, cynical, cynicism, despair, fatalistic, fatalism, pessimistic, pessimism
3.2.7.3 Kubashiri, kutabiri
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kubashiri mambo ya baadaye--yaani kusema kile unachofikiri kinaweza kutokea.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kubashiri kile unachofikiri kinaweza kutokea hapo baadaye?
• claim, forecast, foretell, predict, prognosticate, prophesy,
3.2.7 Kutazamia
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kufikiri kuhusu siku za usoni au mambo ya baadaye.
(1) Maneno gani hutaja namna ambayo mtu anafikiria kuhusu maisha ya baadaye au siku za usoni?
• expect, feel satisfied, feel dissatisfied, expect with certainty, expect uncertainly, be looking at, anticipate, await, suspense
(2) Maneno gani hutaja jambo fulani ambalo linaweza kutokea hapo baadaye?
• expectation, prospect, possibility
(3) Maneno gani hutaja matarajio yanapotokea?
• come true, come about, be fulfilled, materialize
(4) Maneno gani hutaja matarajio kutokutokea?
• not come true, fail to materialize
3.2.8 Uelekeo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoonyesha kwamba mzungumzaji anafikiri kwamba jambo fulani mara nyingi linatokea kwa njia fulani.
(1) Maneno gani huonyesha kwamba mzungumzaji anafikiri kwamba jambo fulani liko namna fulani?
• tend, have a tendency, lean a certain way, apt to, prone to, proclivity, predilection, bent, bias, leaning, penchant, inclination, propensity, susceptibility, likelihood, liable to, trend, drift, conducive to, leads in the direction of, dispose, incline toward, gravitate toward, likely
Page 3.3.1.1 Kusudi, lengo
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja lengo--yaani jambo fulani ambalo unataka kulifanya au jambo ambalo ungependa litokee.
(1) Maneno gani hutaja makusudi au sababu za kufanya unachofanya?
• purpose, goal, aim (n), design (n), desire (n), destination, end, function, idea, intent, intention, object, objective, plan, the point, proposal, reason, target, use (n),
(2) Maneno gani hutaja makusudi au sababu za kitu mtu anachokisema?
• point, implication, mean, be driving at, be trying to say,
(3) Maneno gani hutaja lengo la jambo fulani kama mashine, zana, au kifaa?
• function, use,
(4) Maneno gani huonyesha lengo la jambo fulani?
• for, be for, for the sake of, serve to, so, so that, to, toward, with a view to, with the aim of,
(5) Maneno gani huonyesha kwamba jambo fulani limekwisha kufanyika au limefanyika kwa lengo maalumu?
• be meant to do something, supposed to do something, be intended to do something, be designed to do something,
(6) Maneno gani hutaja tendo la kujaribu kufikia malengo?
• to strive toward a goal, press on, aim for, endeavor, head for, try to accomplish,
(7) Maneno gani hutaja hali ya kufikia lengo?
• reach, attain, surpass
(8) Maneno gani hutaja tendo la kushindwa kutumiza au kufikia lengo?
• fail to reach, miss, fall short of
(9) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa na lengo lolote lile?
• purposeless, without purpose, lack a goal, aimless, drifting, no direction,
3.3.1.2 Kuchagua
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuchangua jambo fulani au kitu fulani--yaani mtu kutaka kitu fulani kutoka kwenye kundi la vitu au kuchagua kufanya jambo moja katika vitu vingi ambavyo unaweza kuvifanya.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuchagua kitu?
• kuchagua, hitiari, kupambanua, kuamua baina ya kitu kimoja na kingine, hiari, kuteua, kuchaguliwa, teule, kustahabu, kupenda zaidi, upendeleo, uteuzi, kukata shauri
(2) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimechaguliwa?
• choice, selection, preference, decision
(3) Maneno gani hutaja vitu ambavyo vinaweza kuchaguliwa?
• alternative, option, selection, candidate
3.3.1.3 Bahati nasibu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno ambayo hutaja bahati nasibu--yaani kufanya maamuzi kwa bahati.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja tendo la kufanya maamuzi ya bahati?
• cast lots [in English and many languages there isn't a generic term; 'cast lots' is archaic]
(2) Mbinu gani zinatumika kwa kufanya maamuzi ya bahati?
• roll a die, flip a coin, draw straws, pick names out of a hat, rock-paper-scissors, pick a card (out of a deck), count off, decide who goes first
(3) Aina gani ya maamuzi hufanywa kwa mbinu hizi?
• deciding who goes first in a game, deciding who dies (e.g. who gets the life preserver), deciding who is guilty
(4) Watu husema nini wakati maamuzi yanapokuwa yamefanywa?
• X team has won the toss. OK, John goes first. I win. The Lord's will be done. It is the will of the gods. The gods have spoken.
(5) Kanuni zipi zinahalalisha mbinu au njia hizi?
• fate, chance, God's will, social consensus
Share with your friends: |