3.2.5.9 Kuafiki jambo fulani
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuafiki kufanya jambo fulani--yaani kufikiri kwamba kufanya kitu au jambo fulani ni jambo zuri.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuafiki jambo fulani?
• approve, meet with someone's approval, agree with, believe in, condone, endorse, be for, be in favor of, okay (v), give it your okay, pass, sanction, subscribe, sustain, think something is right, uphold, value (v), think something is right,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuafiki jambo fulani kabisa, au bila mashaka?
• be all for, be all in favor of, be a great believer in, be an advocate of
(3) Maneno gani hutaja kibali cha mtu?
• approval, approbation, advocacy, endorsement, sanction,
(4) Maneno gani huelezea jambo ambalo mtu ameliafiki?
• admirable, creditable, estimable, honorable, meritorious,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kutokuafiki jambo fulani?
• not approve, condemn, critical, critique, deprecate, disapprove of, disapproving, disqualify, frown on, invalidate, reject, take a dim view of, have a low opinion of, think badly of,
(6) Maneno gani hutaja kutokuafiki kwa mtu fulani?
• disapproval, disapprobation, disfavor, rejection,
(7) Maneno gani huelezea jambo ambalo mtu haliafiki?
• abominable, blameworthy, deplorable, despicable, detestable, dishonorable, execrable, lamentable, reprehensible, unsatisfactory,
(8) Maneno gani hutaja tendo la kusema kwamba huafiki jambo fulani?
• voice your disapproval, express your disapproval, register your disapproval, condemn, denounce, deplore,
(9) Maneno gani hutaja tendo la kumwangalia mtu kwa namna ya kutokuafikiana naye?
• give someone a disapproving look, give someone a dirty look, frown, look askance,
(10) Maneno gani huelezea jambo ambalo limesemwa kwa namna ya kutokuafiki?
• disapproving, derogatory, pejorative,
(11) Maneno gani hutaja wakati watu wanapoanza kutokuafikiana kwa jambo fulani?
• fall into disrepute,
3.2.5 Maoni
Tumia eneo la maana hili kwa hali ambayo swali au mambo ya mjadala, zaidi ya mbinu moja inawezekana, na mtu anachagua kufikiri katika njia moja kuhusu swali au jambo.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kuchukua nafasi ya swali au jambo?
• take a position, lean toward, regard
(2) Maneno gani hutaja tendo la kutokutoa maoni dhidi ya swali au jambo?
• hold/have an opinion, hold a view, have a perspective
(3) Maneno gani hutaja nafasi ambayo mtu anachukua katika swali au jambo?
• position, view, outlook, perspective, leaning, opinion
Page 3.2.6.1 Kusahau
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kusahau jambo au kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kutokukumbuka jambo fulani au kitu fulani?
• forget, didn't think of it, overlook, draw a blank, escape me, slip my mind, fly right out of your mind, lose your train of thought, lose track of,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kushindwa kukumbuka kufanya jambo fulani au kitu fulani?
• neglect, omit, let something pass, slip, unmindful, miss
(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ana matatizo ya kukumbuka?
• forgetful, absentminded
(4) Maneno gani hutaja tendo la kusahau vitu vingi kwa sababu ya kuumia kwa kichwa?
• amnesia
3.2.6.2 Kutambua
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hali ya kutambua kitu fulani.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kutambua kitu fulani?
• distinguish, identify, know, place, realize, recognize, recognition, pick out, tell, not mistake
(2) Maneno gani huelezea kitu ambacho unaweza kukitambua?
• recognizable, familiar, unmistakable
(3) Maneno gani huelezea kitu ambacho huwezi kukitambua?
• unrecognizable, unfamiliar, strange, changed beyond all recognition
3.2.6.3 Kukariri
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kukariri jambo fulani--yaani kufikiri kiundani jambo fulani ili kwamba usije ukalisahau.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kukariri jambo fulani?
• memorize, commit to memory, make a mental note, record, remember, store,
3.2.6.4 Kukumbusha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kumkumbusha mtu kuhusu kitu fulani au jambo fulani--yaani kumfanya mtu akumbuke jambo fulani.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kumkumbusha mtu jambo fulani ambalo anatakiwa kulifanya au jambo fulani ambalo anatakiwa kulifahamu?
• remind, jog someone's memory, refresh someone's memory, prompt, be a reminder, reminder,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kumkumbusha mtu fulani mtu au jambo ambalo limewahi kutokea siku za nyuma?
• remind, be a reminder, bring back memories, take someone back, drag up, rake up, evoke, evocative, make someone think of,
3.2.6 Kukumbuka
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kukumbuka jambo ambalo unalifahamu.
(1) Maneno gani hutaja tendo la kukumbuka jambo fulani au kitu fulani?
• remember, recall, remind oneself, call to mind, bring to mind, think of, recognize, recognition, recollect, review, come (back) to, mindful, heed, think, in retrospect,
(2) Maneno gani hutaja tendo la kukariri jambo fulani au kitu fulani?
• memorize, commit to memory
(3) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha mtu kufikiri au kukumbuka jambo fulani?
• remind, bring up, prompt, jog someone's memory, jog your mind,
(4) Maneno gani hutaja jambo au kitu fulani ambacho kinamkumbusha mtu jambo fulani?
• reminder, note, memo, memorandum, cue, souvenir, memorial, remembrance,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kukumbuka vitu ambavyo vilitokea siku za nyuma au siku zilizopita?
• reminisce, recall, think back on
(6) Maneno gani hutaja mambo au vitu ambavyo mtu anavikumbuka?
• memory, recollection,
(7) Maneno gani hutaja tendo la kukumbuka kufanya jambo fulani?
• heed, mind, mindful, respond,
(8) Maneno gani hutaja tendo la kukumbuka jambo zuri?
• cherish (a memory/thought), treasure
(9) Maneno gani hutaja tendo la kukumbuka jambo baya?
• regret, rue the day
Share with your friends: |