Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page41/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   37   38   39   40   41   42   43   44   ...   206

3.2.2.4 Kukisia


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kujibu swali wakati hauna uhakika na jibu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujibu swali wakati hauna uhakika na jibu?

guess, estimate, suppose, assume, theorize

(2) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimekisiwa?

guess, estimate, supposition, assumption, theory, intuition

3.2.2.5 Kutatua, kufumbua


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kutatua kitu fulani--yaani kutafuta jibu kwa jambo fulani ambalo ni ngumu kulielewa.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kutatua jambo fulani?

solve, figure out, work out, clear up, find an explanation, answer, calculate, calculator

3.2.2.6 Kutambua, kuelewa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tendo la kuelewa au kutambua jambo fulani.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuelewa au kutambua jambo fulani?

realize, occur to, dawn on, become aware that, strike, hit, sink in, wake up to the fact that, it clicked,

3.2.2.7 Kupenda kujifunza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kuwa na utayari wa kujifunza au kuto kuwa tayari kujifunza.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na utayari wa kujifunza?

kupenda kujifunza, kufundishika

(2) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa tayari kujifunza?

unwilling to learn, close your mind, closed minded, refuse to learn, won't listen to reason, stubborn, hard heart, mind made up

(3) Maneno gani hutaja tendo la kutaka kujifunza jambo fulani?

curious, interested

3.2.2 Kujifunza


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja tendo la kujifunza kitu, kupata taarifa, kupata maarifu (iwe kwa makusudi au bila makusudi), au kugundua jibu kwa swali fulani.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kujifunza kitu fulani?

learn, acquaint, acquire, ascertain, conclude, dawn on, deduce, determine, discover, examine, experience, figure out, find, get (the answer), glean, grasp (mentally), gain (knowledge/understanding), look something up, master, obtain, perceive, pick someone's brain, pick up (a subject), question (v), realize, recognize, reflect, study, get an education,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kujifunza kitu fulani ambacho hakuna mtu yeyote yule anayekijua au kitu ambacho ni cha siri?

discover, discovery, find out about

(3) Maneno gani humtaja mtu ambaye anajifunza?

amateur, disciple, layman, student,

(4) Maneno gani humwelezea mtu anayejifunza?

ignorant, uneducated, unlearned

(5) Maneno gani humtaja mtu ambaye ameshajifunza?

graduate, teacher, scholar,

(6) Maneno gani humwelezea mtu ambaye amejifunza?

instructed, learned, well-taught,

(7) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimefundishwa?

learning, answer, solution, information, conclusion, discovery, discipline, education, initiation, instruction, training,

3.2 Kufikiri


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kufikiri, hatua za mawazo, na aina za kufikiri.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kufikiri?

think,

(2) Maneno gani hutaja tendo la kufikiri kitu fulani?

think (that), have a thought, come to, come to mind, enter your mind, enter your head, cross your mind, hit on, occur to, present itself, spring to mind, strike, wonder,

(3) Maneno gani hutaja wazo moja?

thought, concept, consideration, fact, idea, image, notion, opinion, sentiment, syllogism,

Page

3.2.3.1 Kujulikana, kutojulikana


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kwamba jambo limeelewaka au halijaeleweka.

(1) Maneno gani huelezea jambo au mtu ambaye anafahamika na mtu fulani?

known, noted, familiar, obvious

(2) Maneno gani huelezea jambo fulani au mtu fulani ambalo linafahamika na watu wengi?

well-known, famous, infamous, fame, notorious, public knowledge

(3) Maneno gani huelezea jambo fulani au mtu fulani ambaye hajulikani na watu wengi?

little-known, secret, secrecy, obscure, private, mystery, mysterious

(4) Maneno gani huelezea jambo fulani au mtu fulani ambalo halifahamiki na mtu yeyote yule?

not known, unknown, undetected, undiscovered, unexposed, unmarked, unseen

(5) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo fulani lifahamike?

acquaint, bare, demonstrate, disclose, discover, divulge, exhibit, explain, expose, indicate, present, make public, publicize, reveal, show, uncover, unfold, unmask, unveil

(6) Maneno gani huelezea jambo fulani ambalo linajulikana kwa urahisi?

apparent, evident, obvious

(7) Maneno gani huelezea jambo fulani ambalo halifahamiki au kujulikana kwa urahisi?

unapparent

3.2.3.2 Eneo la maarifa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja eneo la maarifa.

(1) Maneno gani hutaja eneo la maarifa?

area, field, world, domain, realm, sphere, branch, province

3.2.3.3 Siri


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea kama jambo fulani linafamika au halifahamiki.

(1) Maneno gani huelezea jambo fulani au mtu fulani ambalo linajulikana au linafahamika na mtu fulani?

known, noted, familiar, obvious

(2) Maneno gani huelezea jambo fulani au mtu fulani ambalo linafahamika na watu wengi?

well-known, famous, infamous, fame, notorious, public knowledge

(3) Maneno gani huelezea jambo fulani au mtu fulani ambalo halijulikani na watu wengi?

little-known, secret, secrecy, obscure, private, mystery, mysterious

(4) Maneno gani huelezea jambo fulani au mtu fulani ambalo halijulikani na mtu yeyote yule?

not known, unknown, undetected, undiscovered, unexposed, unmarked, unseen

(5) Maneno gani hutaja tendo la kufanya jambo fulani au kitu fulani kifahamike?

acquaint, bare, demonstrate, disclose, discover, divulge, exhibit, explain, expose, indicate, present, make public, publicize, reveal, show, uncover, unfold, unmask, unveil

(6) Maneno gani huelezea jambo fulani linalofahamika kwa urahisi?

apparent, evident, obvious

(7) Maneno gani huelezea jambo lisilofahamika kwa urahisi?

unapparent



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   37   38   39   40   41   42   43   44   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page