Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page37/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   33   34   35   36   37   38   39   40   ...   206

2.6.6.5 Kuzika


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuondoa maiti. Tamaduni mbalimbali huzitendea maiti tofauti kuliko kuzika ardhini tu. Ingiza maneno yote ya vitendo hivyo vinavyofanyika kufuatana na desturi zenu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuzika?

kuzika, mazishi, maziko

(2) Hatua za kutayarisha maiti kwa mazishi zinaitwaje?

kuosha maiti, kupakaa mafuta

(3) Maneno gani humtaja mtu anayetayarisha maiti kwa mazishi?

mzishi, mpambaji

(4) Maiti hutayarishwa kwa mazishi wapi?

nyumbani, nyumba ya maiti

(5) Vifaa gani hutumika kwa ajili ya kulinda maiti?

sanduku, jeneza, sanda, subaya

(6) Vifaa gani hutumika kwa ajili ya kusafirisha maiti?

kilili cha jeneza

(7) Maneno gani hutaja kuchoma moto mwili?

cremate, cremation, pyre, ashes

(8) Maneno gani hutaja kuacha mwili nje?

expose (a body), funeral platform, left to rot

(9) Maneno gani hutaja kuhifadhi vizuri mwili wa marehemu?

embalm, mummify, mummy,

2.6.6.6 Kaburi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kaburi--yaani mahali ambapo watu waliokufa huhifadhiwa.

(1) Maneno gani hutaja mahali ambapo maiti huwekwa?

kaburi

(2) Maneno gani hutaja mahali ambapo maiti nyingi huzikwa?

makaburini, sehemu ya makaburi, mavani, maziara

(3) Maneno gani hutaja ishara ya kaburi?

jiwe la kaburi, wasifu wa marehemu

2.6.6.7 Kurithi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kurithi kitu kutoka kwenye familia yako baada ya wao kufariki.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kurithi kitu?

kurithi

(2) Maneno gani humtaja mtu aliyerithi kitu?

mrithi

(3) Maneno gani hutaja kitu ambacho kimerithiwa?

inheritance, estate, legacy,

(4) Maneno gani hutaja urithi (unaoandikiwa)?

will, last will and testament, probate

(5) Maneno gani hutaja tendo la kuandika urithi?

make a will, draw up a will, plan your estate, estate planning, testate, intestate,

(6) Maneno gani humtaja mtu anayeandika urithi?

testator,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kumpa mtu kitu katika urithi wako?

leave, bequeath, will (v), hand down,

(8) Maneno gani humtaja mtu anayefikiliza wosia?

mtenda, mfanyiza, wakili kwa mambo ya usia, kukabidhi, wasii, msimamizi wa mirathi

(9) Maneno gani hutaja haki ya kurithi kitu?

birthright,

2.6.6.8 Maisha baada ya kifo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maisha baada ya kifo.

(1) Maneno gani hutaja maisha baada ya kifo?

life after death, afterlife, immortality, the life beyond, life beyond the grave,

(2) Maneno gani humtaja mtu baada ya kifo chake?

ghost, spirit,

(3) Maneno gani hutaja mahali ambapo watu waliokufa wapo?

netherworld, heaven, hell,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kutunza roho ya mtu aliyekufa?

offer a sacrifice, pray for the dead, keep someone's memory alive,

(5) Maneno gani hutaja kutoishi baada ya kifo?

oblivion, end of existence, finality of death,

2.6.6 Kufa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kifo.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja kifo kwa jumla?

kufa, kufariki, kifo

(2) Maneno gani hutaja tendo la kufa kwa sababu ya ugonjwa au uzee?

pass away, pass on, go, kick the bucket, snuff it,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kufa kwa sababu ya ajali au ujeuri?

be killed, accidental death, death by misadventure, violent death, lose your life, perish, suffer heavy losses,

(4) Misemo na nahau gani hutumika katika kutaja kifo?

kuaga dunia, kukata roho

(5) Maneno gani huelezea jinsi mtu anavyoweza kufa?

kufa ghafla, kufa kwa uzee, kufa kwa majeraha

(6) Maneno gani hutaja kifo wakati ukiwa bado kijana?

die young, be cut off in your prime, untimely death,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kufa kwa kumwokoa mtu?

die for, give your life, lay down your life, martyr,

(8) Maneno gani humwelezea mtu ambaye yuko karibu kufa?

dying, be close to death, about to die, on death's doorstep, be at death's door, have one foot in the grave,

(9) Maneno gani hutaja matukio ya kifo?

death, demise, mortality,

(10) Maneno gani humtaja mtu ambaye amekufa?

deceased, dead person, goner, dearly departed, casualty, fatality, the dead,

(11) Maneno gani humwelezea mtu ambaye amekufa?

dead, deceased, stone-dead, dead as a doornail, late, lifeless,

(12) Maneno gani hutaja idadi ya watu waliokufa kwa tatizo moja?

death toll, fatalities, loss of life,

(13) Maneno gani hutaja kumpoteza mtu kwa kifo?

kufiwa, kupata msiba

(14) Maneno gani huelezea ugonjwa au kidonda ambacho kitamsababisha mtu afe?

fatal, terminal,

Page

2 Mtu


Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno ya kawaida yanayohusiana na mtu au binadamu kwa jumla.

(1) Maneno gani hutaja mtu mmoja wa binadamu?

mtu, mwanadamu, mlimwengu

(2) Maneno gani hutaja mtu ikiwa hauna hakika mtu huyo ni nani?

someone, somebody

(3) Maneno gani hutaja mtu zaidi ya mmoja?

people, folks, population, the public, populace,

(4) Maneno gani hutaja watu wote wa binadamu?

binadamu, wanadamu, walimwengu

(5) Maneno gani huelezea utu wa wanadamu wote?

kibinadamu, yenye ubinadamu

(6) Maneno gani huelezea utu wa mwanadamu mmoja?

personal, personally,

(7) Maneno gani hutaja hakuna mtu?

no one, nobody



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   33   34   35   36   37   38   39   40   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page