Tumia eneo la maana hili kuelezea mtu mzima.
(1) Maneno gani humtaja mtu mzima?
• mtu mzima, mwanamke, mwanamume
(2) Maneno gani hutaja vipindi mbalimbali vya utu uzima?
• utu uzima, usitawi, kuzeeka, uzee
(3) Maneno gani hutaja hali ya kufika utu uzima?
• kukomaa, kufika umri wa idhini
(4) Maneno gani huelezea kipindi cha maisha mwanamke anapoweza kuwa mjamzito?
• childbearing years,
(5) Maneno gani huelezea kipindi cha maisha ambapo mwanamke amepoteza uwezo wa kuwa mjamzito?
• menopause,
(6) Maneno gani humwelezea mtu ambaye amekuwa mtu mzima?
• full-grown, fully grown, grown, grown-up (adj), mature,
(7) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na watu wazima badala ya watoto?
• adult (adj), grown-up (adj), mature (adj),
2.6.4.5 Mzee
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na uzee na wazee.
(1) Maneno gani humtaja mzee?
• mzee, mama mzee, mkongwe
(2) Maneno gani hutaja tendo la kuzeeka?
• age (v), get old, grow old, mature, be getting on, aging, not be as young as you were,
(3) Maneno gani humwelezea mzee?
• old, elderly, aged, ancient, up in years, retired,
(4) Maneno gani humwelezea mtu anayeonekana mzee?
• wrinkled, wizened, gray, show your age, look your age,
(5) Maneno gani hutaja kipindi cha uzee?
• uzee
(6) Maneno gani hutaja tendo la kuzeeka kiasi kwamba huwezi kufanya kitu?
• be past it, be over the hill, be a bit long in the tooth,
(7) Maneno gani hutaja kipindi ambacho mzee hawezi kufanya kazi?
• retire, retirement, retired, retiree, pension, pensioner, old age pensioner,
(8) Maneno gani hutaja kuwa mzee lakini bado una uwezo wa kufanya vitu?
• going strong,
(9) Wazee huwa na shida gani?
• afya mbaya, udhaifu, kusahau
(10) Maneno gani hutaja kumtunza mtu mzee?
• elder care, retirement center, old folks home, nursing home,
(11) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na watu wazee?
• geriatric, senior,
2.6.4.6 Kukua
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na watu, wanyama, au mimea na kukua.
(1) Maneno gani hutaja hali ya kukua?
• kukua, kupevuka, kukomaa
(2) Maneno gani huelezea kitu kinachokua?
• growing,
(3) Maneno gani hutaja tendo la kukua haraka au vizuri?
• flourish, thrive, shoot up,
(4) Maneno gani huelezea kitu ambacho kimekwisha kukua?
• fully grown, adult, mature, grown up, fully developed,
(5) Maneno gani huelezea kitu ambacho bado hakijamaliza kukua?
• immature,
(6) Maneno gani hutaja ukuaji?
• growth, development, maturation,
2.6.4.7 Mwanzo, jando, unyago
Tumia eneo la maana hili ili kupata maneno yanayohusiana na hatua za mwanzoni katika matukio mapya ya maisha--yaani sherehe mtoto anapokuwa mtu mzima, kama vile jando na unyago.
(1) Maneno gani hutaja vitendo vya mwanzo (yaani jando au unyago)?
• jando, unyago
(2) Maneno gani hutaja kumfanya mtoto awe mtu mzima?
• initiate (v),
(3) Sehemu za vitendo hivyo zinaitwaje?
• kufunzwa, kutiwa jandoni, kutiwa kumbini
(4) Maneno gani humtaja mtu anayetiwa jandoni au unyagoni?
• mwali
(5) Maneno gani hutaja wakati mtoto anapotiwa jandoni au unyagoni?
• ubalehe
2.6.4.8 Rika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kundi la rika--yaaani watu wote waliozaliwa kwa kipindi kimoja.
(1) Maneno gani huwataja watu waliozaliwa mwaka au kipindi kimoja?
• rika, kundi lenye usawa, kizazi, mwenzi
(2) Maneno gani hutumika wakati unapoongea na mtu ambaye mko rika moja?
• mate
2.6.4 Hatua za maisha
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja hatua za maisha--yaani vipindi vya maisha ya mtu.
(1) Maneno gani ya kawaida hutaja vipindi vya maisha ya mtu kwa jumla?
• hatua, wakati, kipindi
2.6.5.1 Mwanamume
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mwanaume au mtu wowote wa kiume.
(1) Maneno gani humtaja mwanaume?
• man, guy, bloke, chap, fellow, gentleman, male, men folk,
(2) Maneno gani humtaja kijana (wa kiume)?
• boy, lad, youth, young man, schoolboy, little shaver,
(3) Maneno gani humwelezea mwanaume?
• cad, chesty, dandified, dandy, fatherly, foppish, fox, gentlemanly, rake, stud,
(4) Maneno gani humwelezea mwanaume anayeenenda kuwa mwanaume?
• masculine, virile, manly, macho, he-man,
(5) Maneno gani humwelezea mwanaume anayeenenda kuwa mtoto au mwanamke?
• boyish, childish, effeminate, milksop, mincing, sissified, sissy, unmanly, wimp, womanish
(6) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na wanaume?
• male, masculine,
(7) Maneno gani hutaja kama mwanaume ameoa au hajaoa bado?
• bachelor, castrated, celibate, divorcé, eunuch, widower,
(8) Unamwitaje mwanaume unapoongea naye?
• sir, Mr., mate, buddy, mister, sire, lord,
2.6.5.2 Mwanamke
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja mwanamke au mtu wowote wa kike.
(1) Maneno gani humtaja mwanamke?
• woman, lady, female, gal, belle, chick, dame, frau, gentlewoman, mistress, senorita, squaw, wench, womenfolk,
(2) Maneno gani humtaja binti (kijana wa kike)?
• girl, lass, young woman, schoolgirl,
(3) Maneno gani humwelezea mwanamke?
• bitch, busty, catty, curvaceous, dish, distaff, doll, estrous, girlish, hag, hussy, maidenly, menopausal, shrew, slatternly, slattern, slut, unfeminine, unladylike, virginal, womanish, womanlike,
(4) Maneno gani humwelezea mwanamke anayeenenda kuwa mwanamke?
• feminine, ladylike, womanly, femininity,
(5) Maneno gani humwelezea mwanamke anayeenenda kuwa mwanaume?
• mannish, tomboy, tomboyish,
(6) Maneno gani huelezea kitu kinachohusiana na wanawake?
• female, feminine, women's
(7) Maneno gani hutaja kama mwanamke ameolewa au hajaolewa bado?
• wife, virgin, old maid, maiden, divorcée, lesbian,
(8) Unamwitaje mwanamke unapoongea naye?
• madam, ma'am, Miss, Mrs., Ms., lady, Lady,
Share with your friends: |