Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page33/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   29   30   31   32   33   34   35   36   ...   206

2.6 Maisha


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa hai na muda wa maisha ya mtu.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa hai?

kuwa hai, uhai

(2) Maneno gani humtaja mtu ambaye yuko hai?

living, alive, animate (adj),

(3) Maneno gani hutaja nyakati ambazo mtu huzishinda kutoka kuzaliwa hadi kifo?

maisha, hatua anuwai za maisha, maisha kamili

(4) Maneno gani hutaja wakati ambapo mtu huwa hai?

maisha

(5) Maneno gani hutaja kumsababisha mtu awe hai?

animate (v), bring to life, give life to, give breath to, breathe life into, vivify

(6) Maneno gani hutaja tendo la kumfufuka mtu aliyekufa awe hai?

resurrect, resurrection, resuscitate, revive, rise again, rise from the dead, regenerate, bring back to life

(7) Maneno gani hutaja kumtunza mtu kuwa hai?

keep alive, life support, preserve, sustain, subsist on,

(8) Maneno gani hutaja tendo la mtu mmoja kuishi zaidi kuliko mwingine?

outlive, survive,

(9) Maneno gani hutaja aina fulani ya maisha?

a good/bad/hard life, a life of crime/poverty, a miserable/lonely existence, lead a good/bad/hard life, live well/happily,

(10) Maneno gani hutaja aina fulani ya maisha mtu anayoishi?

way of life, lifestyle,

(11) Maneno gani huonyesha kwamba kitu fulani ni cha kweli kuhusu maisha yako yote?

all your life, for life, lifelong,

Page

2.6.3.1 Mimba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa mjamzito.

(1) Maneno gani hutaja tendo la mwanamume kumsababisha mwanamke apate mimba?

kuzaa (kwa baba tu), kutia mimba

(2) Maneno gani hutaja hali ya kupata mimba kwa mwanamke?

kupata mimba, kutunga mimba, kuchukua mimba

(3) Maneno gani hutaja hali ya mimba ya mwanamke?

kushika mimba, kuwa na mimba, mwenye mimba

(4) Maneno gani humwelezea mwanamke aliye na mimba?

pregnant, big as a house, expectant, expecting,

(5) Maneno gani hutaja kipindi ambacho mwamke ni mjamzito?

pregnancy, gestation period, term, full term, trimester, antenatal, prenatal,

(6) Maneno gani hutaja matendo ya mtoto mchanga?

kick, turn, drop,

(7) Maneno gani hutaja sehemu kutoka kwa baba na sehemu kutoka kwa mama ambayo inatengeneza mtoto?

egg, sperm, gamete, ovum, gene,

2.6.3.2 Mtoto kabla ya kuzaliwa, kijusi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kijusi--yaani mtoto kabla ya kuzaliwa.

(1) Maneno gani hutaja mtoto kabla ya kuzaliwa?

kijusu, kilenge

(2) Maneno gani hutaja sehemu zinazozunguka mtoto wakati wa mimba?

kiunga mwana, mji

2.6.3.3 Kuharibika mimba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuzuia au kuharibu mimba, na kwa maneno yanayohusiana na kuwaua watoto.

(1) Maneno gani hutaja mpango wa kuzuia mimba?

uzazi wa majira, udhibiti wa uzazi

(2) Vitu gani hutumika katika kuzuia mimba?

contraceptive, condom, the pill,

(3) Maneno gani hutaja kifo cha mtoto kabla ya kuzaliwa?

kuharibu mimba, kuharibika mimba

(4) Maneno gani hutaja tendo la kumwua mtoto kabla ya kuzaliwa?

kuharibu mimba, kutoa mimba, mtoaji mimba

(5) Maneno gani hutaja tendo la kumwua mtoto baada ya kuzaliwa?

uuaji wa mtoto mchanga

2.6.3.4 Maumivu na uchungu wa kuzaa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maumivu na uchungu wa kuzaa.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja matukio yanayotangulia kujifungua?

uchungu wa uzazi

(2) Maneno gani hutaja hisia za mwanamke wakati anapofikiri anakaribia kuingia uchungu wa uzazi (leba)?

false labor, early labor

(3) Dalili gani huonyesha kwamba mwanamke ana uchungu wa uzazi?

kutoa maji ya uzazi

(4) Maneno gani hutaja misuli ya mji wa mimba inapokaza na kubana?

kukaza (kwa misuli), kubana (kwa misuli), maumivu (ya misuli)

(5) Maneno gani hutaja maumivu ya uchungu wa uzazi?

uchungu wa uzazi, uchungu wa kuzaa

(6) Wanawake hufanya nini wakati wa uchungu wa uzazi?

kupiga kite, kujikunja

2.6.3.5 Kuzalisha, kumsaidia mwanamke wakati anapojifungua


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kumzalisha mwanamke?

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumsaidia mwanamke wakati anapojifungua?

kuzalisha, kusaidia kuzaa, ukunga, tiba ya uzazi

(2) Maneno gani humtaja mganga anayemfanyia mwanamke upasuaji ili kumtoa mtoto?

Caesarean,

(3) Maneno gani huwataja watu ambao husaidia kuzaa?

mkunga, daktari wa uzazi

(4) Vifaa gani hutumika katika ukunga au tiba ya uzazi?

kisu (cha kukatia kiunga mwana), koleo

2.6.3.6 Kuzaa kusiko kwa kawaida


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuzaa kusiko kwa kawaida.

(1) Maneno gani hutaja kuzaliwa kulikotokea mapema mno?

kabla ya wakati, kabichi, mtoto njiti

(2) Maneno gani hutaja kuzaliwa kuliko kugumu?

uchunga mkali wa uzazi

(3) Maneno gani hutaja mama akifa wakati wa kujifungua?

kufa kwa kujifungua

2.6.3.7 Uzazi unaozidi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na tukio la kuzaa zaidi ya mtoto mmoja katika mimba moja.

(1) Maneno gani hutaja watoto wangapi wamezaliwa wakati mmoja?

mapacha, mapacha watatu, mapacha wanne, ...

2.6.3.8 Kuweza kuzaa, kutokuweza kuzaa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kutokuweza kuzaa.

(1) Maneno gani hutaja kuwa na watoto wengi?

fertile, breed, multiply, propagate, have many children, have a big family, fecund, fecundity, prolific,

(2) Maneno gani hutaja hali ya kuweza kuzaa watoto?

fertile, be able to have children, fertility,

(3) Maneno gani hutaja hali ya kutokuweza kuzaa watoto?

kutokuzaa, kutoweza kuzaa, mgumba, tasa



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   29   30   31   32   33   34   35   36   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page