Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page29/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   25   26   27   28   29   30   31   32   ...   206

2.5.7.1 Mganga, muuguzi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na watu ambao wana tabia ya kuangalia wagonjwa na majeruhi, kama vile wale wanaofanya hivyo kwa kazi zao za kawaida.

(1) Maneno gani humtaja mtu ambaye huwatunza wagonjwa?

mganga, daktari, nesi, muuguzi, mganga wa meno, mkunga, mfamasi (anayetayarisha na kutoa madawa), mwanamaabara, daktari mpasuaji, mtaalamu wa kutia ganzi, daktari bingwa

(2) Maneno gani hutaja watalaamu wa madawa na eneo lao la utalaamu?

specialist, consultant, allergist, anesthesiologist, anesthesiology, cardiologist, cardiology, chiropractor, chiropractic, dermatologist, dermatology, endocrinologist, endocrinology, epidemiology, gastroenterologist, gastroenterology, gynecologist, gynecology, hematology, histology, homeopathist, homeopathy, immunologist, immunology, neonatologist, neonatology, nephrologist, nephrology, neurologist, neurology, obstetrician, obstetrics, oncologist, oncology, ophthalmologist, orthopedist, orthopedic surgeon, orthopedics, pediatrician, pediatrics, plastic surgeon, podiatry, proctologist, radiation oncologist, radiologist, radiology, radiotherapy, rheumatologist, rheumatology, surgeon, surgery, urologist

(3) Maneno gani humtaja mganga au daktari ambaye hutibu magonjwa ya akili?

psychiatrist, shrink, analyst, psychiatry, psychologist, psychoanalyst, psychoanalysis, psychotherapist, psychotherapy,

(4) Maneno gani humtaja mganga au daktari ambaye hutibu meno?

dentist, dentistry, oral surgeon,

(5) Maneno gani humtaja mtu ambaye humsaidia mganga au daktari?

nurse, nursing, hygienist, hygiene, lab/medical technician, laboratory analysis, midwife, midwifery, orderly, pharmacist, pharmacology, speech therapist, speech therapy, therapist, therapy

(6) Maneno gani humtaja mtu ambaye hutoa matibabu ya dharura kwa mtu ambaye amepata ajali?

medic, corpsman, ambulance driver, paramedic,

(7) Maneno gani humtaja mganga au daktari ambaye hutibu wanyama?

vet, veterinarian,

(8) Maneno gani humtaja mtu anayejifanya kuwa daktari?

bingwatapeli

(9) Maneno gani hutaja tendo la kufanya kazi kama mganga au daktari?

practice, doctor (v), be in medicine,

(10) Maneno gani hutaja tendo la kwenda kuonana na mganga au daktari?

go to the doctor, see a doctor, consult a doctor,

2.5.7.2 Dawa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na dawa, aina za dawa, na matumizi ya dawa.

(1) Maneno gani ya kawaida hutaja dawa kwa jumla?

dawa, chanjo, dawa ya moto ya kubanika, dawa ya maji

(2) Majina ya dawa fulani ni nini?

klorokwini

(3) Maneno gani hutaja dawa unayoweka kwenye ngozi yako?

ointment, salve, liniment, lotion, poultice, balm, cream,

(4) Maneno gani hutaja dawa unayokula au kunywa?

tablet, pill, capsule, potion, syrup, tonic,

(5) Maneno gani hutaja dawa inayochomwa ndani ya ngozi?

shot, injection, jab,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kutoa dawa?

medicate, apply medicine/ointment, give a shot, inject someone with, vaccinate, immunize, inoculate, administer, prescribe medicine, apply a bandage, (cover oneself under steaming herbal medicine), massage, rub something in,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kuchukua dawa?

take something for, drink, swallow,

(8) Maneno gani hutaja kiasi cha dawa inayotolewa kwa mara moja?

dose, dosage, course of medicine, overdose,

(9) Vifaa gani hutumika katika kutoa au kuhifadhi dawa?

chupa, sindano, dripu

(10) Maneno gani hutaja maelekezo ya mganga yanayoandikwa au kutolewa kuhusu kiasi cha dawa inayotakiwa?

prescription, prescribe,

(11) Maneno gani humtaja mtu ambaye hutengeneza na kuuza dawa?

chemist, pharmacist, druggist, pharmacy, herbalist,

2.5.7.3 Dawa za mitishamba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mimea inayotumika kwa dawa.

(1) Maneno gani hutaja mmea ambao hutumika kama dawa?

herb, herbal,

(2) Mimea gani hutumika kama dawa?

kwinini, pareto, mpapai, kitunguu, mlimau, mshubiri

(3) Maneno gani huelezea matokeo ya mimea hiyo?

ya kuponya, ya kuweza kuponya

2.5.7.4 Hospitali


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mahali ambapo wagonjwa na majeruhi wanatibiwa.

(1) Maneno gani hutaja mahali pa kuwatibu wagonjwa?

hospitali, zahanati, kliniki

(2) Maneno gani hutaja aina ya hosipitali kwa watu ambao wana ugonjwa wa akili?

mental hospital, psychiatric hospital, institution, asylum,

(3) Sehemu za hospitali zinaitwaje?

chumba cha uchunguzi, wodi, maabara, chumba cha upasuaji, chumba cha dharura, chumba cha eksirei

(4) Maneno gani hutaja mahali pa kuhifadhi na kutoa madawa?

duka la dawa, famasia

(5) Maneno gani hutaja gari la kuwasafirisha wagonjwa?

gari la wagonjwa

(6) Maneno gani hutaja tendo la kumlaza mtu hospitalini?

hospitalize

(7) Maneno gani humtaja mtu mgonjwa akiwa hosipitalini?

patient, inpatient, outpatient,

(8) Maneno gani hutaja kuwa mgonjwa hosipitalini?

go to the hospital, have someone in, stay in the hospital, hospital stay, admit, discharge,

2.5.7.5 Dawa za kienyeji


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayotaja dawa za kienyeji. Katika lugha nyingine hakuna tofauti katika dawa ya kienyeji na dawa ya kisasa. Kama ni hivyo usitumie eneo la maana hilo. (Hatujaribu kuamua kufaa kwa dawa fulani bali kukusanya maneno tu.)

(1) Maneno gani hutaja dawa za kienyeji kwa jumla?

dawa ya kienyeji, dawa ya asili

(2) Maneno gani hutaja aina za matibabu ya kienyeji?

tiba vitobo

(3) Maneno gani humtaja mtu ambaye hutibu watu kwa kutumia dawa za kienyeji?

mganga wa kienyeji, mganga wa mitishamba

(4) Maneno gani huelezea dawa zinazotumika kienyeji?

mitishamba, dawa ya maji



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   25   26   27   28   29   30   31   32   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page