Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page26/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   22   23   24   25   26   27   28   29   ...   206

2.5.3 Kujeruhi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kumjeruhi mtu.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kumwumiza mtu fulani?

kuumiza, kujeruhi, kudhuru

(2) Maneno gani hutaja tendo la kujeruhi sehemu ya mwili wako?

injure, damage, hurt, impair,

(3) Maneno gani hutaja tendo la kujeruhi mfupa au kwenye muunganiko wa mfupa na mfupa?

break, fracture, dislocate, crack, hamstring, jam, sprain, stub, twist, wrench, do your back in, put out your back,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kujeruhi musuli?

pull, strain, tear, cramp, spasm, convulsion,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kujeruhiwa kwa kukatwa?

cut, bayonet, buffet, butt, chop, claw, clout, club, gash, jab, knife, lacerate, maul, savage, slice, spear, stab, traumatize, scratch, scrape, graze, mutilate,

(6) Maneno gani hutaja tendo la kujeruhiwa kwa kupigiwa?

hit, bash, batter, beat up, belt, black eye, bludgeon, bruise, crush, concussion, cudgel, cuff, hammer, horsewhip, kick, knee, knock, lash, pelt, pummel, punch, slap, smack, smash, squash, stone, strike, thwack, whip,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kujeruhiwa kwa kuungua?

burn, first/second/third degree burn, boil, scald,

(8) Maneno gani hutaja kujeruhiwa?

kujeruhiwa, kudhurika

(9) Maneno gani humtaja mtu aliyejeruhiwa?

mjeruhiwa, jeruhi

(10) Maneno gani humtaja mtu aliyejeruhiwa vitani?

wounded in action, purple heart,

(11) Maneno gani humwelezea mtu aliyejeruhiwa?

injured, harmed, wounded,

(12) Maneno gani huelezea sehemu ya mwili wako ambayo imejeruhiwa?

injured, hurt, impaired, damaged,

(13) Maneno gani hutaja jeraha?

injury, accident, bruise, cut, impairment, wound, slash, puncture, stab, sprain, tear/pull a muscle, shock, concussion, bump, break a bone, fracture, dislocate a bone, dislocation, sprain, put out an eye, nose bleed, scar, sting, bite, sore, blister, contusion, frostbite, heatstroke, sunstroke, sunburn, burn, welt, drug overdose,

(14) Maneno gani huelezea kiasi cha jeraha?

(jeraha) ndogo, (ajali) kubwa, ya kipeo, (mvunjiko) mkuu, ya kufisha

(15) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hajajeruhiwa?

unharmed, unhurt, unscathed, come to no harm, no harm done, without a scratch, in one piece, walk away from

(16) Maneno gani huelezea kitu kinachoweza kumjeruhi mtu.

dangerous, harmful,

(17) Maneno gani huelezea kitu ambacho hakiwezi kumjeruhi mtu?

harmless,

2.5.4.1 Upofu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa kipofu.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni kipofu?

blind, sightless, can't see, totally blind, visually handicapped, visually-impaired,

(2) Maneno gani hutaja kuanza kuwa kipofu?

lose your sight, go blind, struck blind,

(3) Maneno gani hutaja kumfanya mtu awe kipofu?

blind (v),

(4) Maneno gani humtaja mtu aliyepofuka?

kipofu, asiyeona

(5) Maneno gani hutaja hali ya kupofuka?

kupofuka, kuwa pofu, kutoweza kuona

(6) Mtu asiyeona hutumia misaada ipi?

fimbo, breli (mfumo wa maandishi yenye vidutu)

2.5.4.2 Uwezo mbaya wa kuona kwa macho


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa na uwezo mbaya wa kuona kwa macho.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hawezi kuona vizuri?

near-sighted, far-sighted, as blind as a bat, partially blind, have poor eyesight, astigmatism, color-blind, cross-eyed,

(2) Maneno gani hutaja magonjwa yanayosababisha na udhaifu wa kuona kwa macho?

cataracts, glaucoma,

(3) Maneno gani hutaja miwani?

glasses, eyeglasses, corrective lenses, contact lens, bifocals, spectacles, specs, monocle,

(4) Maneni gani hutaja tendo la kuvaa miwani?

wear glasses,

(5) Maneno gani humtaja daktari ambaye hutengeneza miwani?

optometrist, optician, eye doctor,

(6) Maneno gani hutaja utengenezaji wa miwani?

mpimaji wa macho (optomita), lenzi, fremu (ya miwani), daktari wa macho, mtengenezaji wa miwani

2.5.4.3 Kiziwi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanyohusiana na kuwa kiziwi.

(1) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni kiziwi?

deaf,

(2) Maneno gani humwelezea mtu ambaye hasikii vizuri?

be hard of hearing, hearing impaired

(3) Maneno gani humwelezea mtu ambaye ni kiziwi kabisa?

be stone deaf, be as deaf as a post, totally deaf, profoundly deaf,

(4) Maneno gani humtaja mtu ambaye ni kiziwi?

kiziwi

(5) Maneno gani hutaja kuanza kuwa kiziwi?

go deaf, become deaf, lose your hearing, deafen,

(6) Maneno gani hutaja hali ya kutoweza kusikia?

kiziwi

(7) Mtu asiyeweza kusikia hutumia misaada ipi?

kisaidizi cha usikivu

(8) Maneno gani hutaja kuongea kwa mtu kiziwi akitumia mikono yake?

sign language, sign (v),

(9) Maneno gani hutaja tendo la mtu kiziwi kumwelewa mtu mwingine kwa kuangalia mdomo wake?

lip-read, lip-reading,

2.5.4.4 Bubu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa bubu--yaani kushindwa kuongea (kwa kawaida hali hii inasababishwa na kutoweza kusikia).

(1) Maneno gani hutaja hali ya kutoweza kuongea?

bubu

(2) Maneno gani humtaja mtu asiyeweza kuongea?

bubu

(3) Mtu asiyeweza kuongea hutumia misaada ipi?

maandiko, ishara za mikono, lugha ya bubu



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   22   23   24   25   26   27   28   29   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page