2.5.4.5 Kasoro za kuzaliwa
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa na kasoro ya kuzaliwa.
(1) Maneno gani hutaja kitu ambacho siyo kizuri kwa mtoto mchanga?
• birth defect, genetic defect, congenital abnormality, deformity,
(2) Maneno gani humwelezea mtoto mchanga ambaye ni mlemavu?
• deformed, abnormal, misshapen,
(3) Maneno gani humtaja mtoto mchanga ambaye ni mlemavu?
• freak,
(4) Aina za mapungufu huitwaje?
• albino, bowlegged, flatfooted, humpbacked, withered arm, shrunken arm, harelip, cleft palate, cerebral palsy, Downs syndrome, club-footed,
(5) Maneno gani hutaja tendo la kumzaa mtoto mwenye ulemavu?
• (no words in English)
2.5.4 Kudhoofika
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na hali ya kudhoofika--yaani kujeruhiwa au kuzliwa na hali inayosababisha sehemu ya mwili wako kuacha kazi yake.
(1) Maneno gani hutaja kudhoofika?
• kudhoofika, kulemaa, kulemazwa, kuatilika
(2) Maneno gani hutaja tendo la kumdhoofisha mtu?
• disable, handicap (v), cripple, paralyze, maim, mutilate, disfigure,
(3) Maneno gani hutaja hali ya kudhoofika?
• disability, handicap (n), disfigurement, mutilation, paralysis, palsy,
(4) Maneno gani humtaja mtu aliyedhoofika?
• mdhaifu, mlemavu, kilema
(5) Maneno gani humwelezea mtu ambaye amedhoofika?
• disabled, handicapped, crippled, paralyzed, partially paralyzed, totally paralyzed, maimed, disfigured, mutilated, lame,
(6) Mlemavu hutumia misaada ipi?
• fimbo, gongo (la kutembelea)
2.5 Kuwa na afya
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na mtu kuwa na afya--yaani siyo mgonjwa.
(1) Maneno gani humwelezea mtu aliye na afya nzuri?
• mzima, ana siha nzuri, mwenye nguvu
(2) Maneno gani humwelezea mtu mwenye afya ambaye haugui?
• robust, have a strong constitution,
(3) Maneno gani humwelezea mtu anayeonekana kuwa na afya nzuri?
• glowing, be the picture of health, healthy-looking,
(4) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na afya nzuri?
• kuwa na afya nzuri, mwenye uzima, mwenye afya njema
(5) Maneno gani hutaja afya ya mtu kwa jumla?
• afya, siha, rai, uzima
(6) Maneno gani huelezea kitu kinachokupa afya?
• healthy, be good for you, be good for your health, do you good, beneficial,
(7) Maneno gani huelezea chakula kinachokupa afya?
• wholesome, nutritious, nourishing, healthful,
Page 2.5.5 Sababu za maradhi
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sababu za ugonjwa.
(1) Maneno gani hutaja sababu za maradhi au magonjwa?
• cause, source,
(2) Maneno gani hutaja kumsababisha mtu awe mgonjwa?
• make someone sick, spread sickness, infect, be infectious, be contagious, communicable,
(3) Vitu gani husababisha ugonjwa?
• infection, contagion, curse, spirit, psychosomatic, bacteria, virus, germ, chill, exposure, chemical imbalance, genetic defect,
(4) Maneno gani huelezea kitu kinachoweza kusababishia ugonjwa?
• infectious, contagious, be bad for you, be bad for your health, unsanitary, unhygienic,
(5) Maneno gani hutaja kutafuta sababu za magonjwa?
• diagnose,
2.5.6.1 Maumivu
Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na maumivu.
(1) Maneno gani hutaja maumivu?
• maumivu, mateso, kichomi, masumbuko makali, mchonyoto, kuumwa
(2) Maneno gani hutaja kuwa na maumivu?
• be in pain, be in agony, feel pain, have a pain in, suffer, hurt (vi), bear pain, endure, agonize, feel bad, feel miserable, suffer,
(3) Maneno gani hutaja kuumia kwa sehemu ya mwili?
• hurt, ache, be agony, sting,
(4) Maneno gani huelezea sehemu ya mwili wako yenye maumivu?
• painful, aching, sore (adj), stiff, tender,
(5) Maneno gani hutaja maumivu yaliyo katika sehemu maalumu ya mwili wako?
• backache, earache, headache, migraine, stomachache, toothache, labor pains, sore throat,
(6) Maneno gani hutaja maumivu yasiyo mabaya?
• discomfort, feel uncomfortable, mild, hurts a little bit, itch, prickle, smart, sting, stinging, tingle, tingling, stitch, twinge, dull,
(7) Maneno gani hutaja maumivu mabaya?
• agony, agonize, agonizing, anguish, burn, hurts a lot, really hurts, acute, racked with pain, horrible, excruciating, torment, raw pain,
(8) Maneno gani huelezea kuzidi kwa maumivu?
• kuzidi, kuwa mengi zaidi
(9) Maneno gani huelezea kupungua kwa maumivu?
• kupungua, kufifia, kwisha
(10) Maneno gani hutaja maumivu yanayopungua na kuongezeka mara kwa mara?
• throb, throbbing,
(11) Maneno gani hutaja maumivu yanayoendelea kwa muda mfupi?
• attack, sharp, pang, piercing, prick, shooting, stab, stabbing, throes, paroxysm, wrenching pain,
(12) Maneno gani hutaja tendo la kusababisha maumivu?
• kuuma, kuumiza, kudhuru, kuwanga, kutesa
(13) Maneno gani hutaja kitu kusababisha maumivu?
• hurt, painful, cause pain, sting, irritate,
(14) Maneno gani hutaja tendo la kutuliza maumivu?
• kutulia, kutibu, kupunguza, dawa ya kutuliza maumivu, kutia ganzi
(15) Maneno gani hutaja tendo la kupiga kelele kwa sababu una maumivu?
• cry out, scream, howl, yell, shriek, groan, moan, weep,
(16) Maneno gani hutaja tendo la kusogeasogea kwa sababu unasikia maumivu?
• writhe in pain, double up, contorted with pain, convulse, convulsion, cramp, cramps, wince,
(17) Unasemaje unapoumia?
• Ow! Ouch!
(18) Maneno gani hutaja kutosababisha maumivu?
• not hurt, painless, not feel a thing,
Share with your friends: |