Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page28/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   24   25   26   27   28   29   30   31   ...   206

2.5.6.2 Homa


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kupatwa na homa.

(1) Maneno gani hutaja kupatwa na homa?

homa, kuwa na homa, kupatwa na homa

(2) Maneno gani huelezea homa inapopanda?

kupanda, kuzidi

(3) Maneno gani huelezea homa inapopungua?

kupungua, kupoa

(4) Dalili za homa ni zipi?

kutetemeka, joto la ngozi

(5) Maneno gani hutaja kumpima mtu homa?

take someone's temperature,

(6) Vifaa gani hutumika katika kupima homa?

kipimajoto

2.5.6.3 Kuvimba


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na uvimbe mwilini.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuvimba?

kuvimba, uvimbe

(2) Maneno gani hutaja uvimbe katika sehemu fulani ya mwili?

uvimbe wa mwili, uvimbe wa mshipa, ngiri (ya uti wa mgongo), uvimbe wa titi, uvimbe wa tumbo

(3) Maneno gani huelezea kitu kilichovimba?

swollen, puffy, inflamed,

(4) Maneno gani huelezea uvimbe unapozidi?

kuvimba, kuendelea kuvimba

(5) Maneno gani huelezea uvimbe unapopungua?

kupungua

2.5.6.4 Kupoteza fahamu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kupoteza fahamu--yaani kuzimia (kwa kupigwa, kupewa dawa fulani, na kadhalika).

(1) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na fahamu?

be conscious, consciousness, awake

(2) Maneno gani hutaja kupoteza fahamu?

kupoteza fahamu, kuzirai

(3) Maneno gani hutaja hali ya kutokuwa na fahamu?

be unconscious, fainted, passed out, coma, be in a coma, be out, insensible

(4) Maneno gani hutaja kitu kilichomsababishia mtu apoteze fahamu?

knock out, put out, put under (anesthesia), stupefy,

(5) Maneno gani hutaja kupata fahamu tena (baada ya kupoteza fahamu)?

regain consciousness, come to, come out of the coma

(6) Maneno gani hutaja tendo la kumsababisha mtu apate fahamu tena (baada ya kupoteza fahamu)?

bring someone around, resuscitate

(7) Maneno gani humtaja mtu ambaye anahudumia upotezaji wa fahamu?

anesthesiologist

(8) Kitu gani kinamsababisha mtu apoteze fahamu?

hit on head, be sick, be in pain, anesthesia

(9) Nini kinatokea au dalili zipi zinaonekana wakati mtu anapoanza kupoteza fahamu?

feel faint, feel dizzy, stagger, become incoherent

(10) Dalili gani zinaonekana wakati mtu amepoteza fahamu?

be unresponsive, be like dead

2.5.6.5 Kupumbazika


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayoelezea hali ya akili wakati mtu akili yake inapokuwa haifanyi kazi vizuri au anapokuwa hawezi kufikiria vizuri.

(1) Maneno gani hutaja tendo la kuchanganyikiwa au kupumbazika?

kupumbazika, kuchanganyikiwa

(2) Maneno gani hutumika kutaja hali hizo kama ni kwa kiasi kidogo tu?

slightly disoriented, a bit confused, a little out of it

(3) Maneno gani hutumika kutaja hali hizo kama ni kwa kiasi kubwa?

really confused, totally out of it, shocked

(4) Maneno gani huelezea kwamba akili ya mtu inafanya kazi vizuri?

think clearly, be clear headed, be sharp (mentally)

(5) Maneno gani hutaja tendo la kumsababisha mtu achanganyikiwe au kupumbazika?

daze, confuse, disorient, befuddle, shock, stupefy

2.5.6.6 Maono, njozi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuwa na maono--yaani mtu anapoona kitu ambacho hakipo kwa sababu kitu kisicho cha kawaida kilitokea kuathiri akili yake, ikiwemo hali za ufahamu ambazo siyo za kawaida, maono na njozi.

(1) Maneno gani hutaja hali ya ufahamu usio wa kawaida (yaani maono au njozi)?

vision, trance, hallucination

(2) Maneno gani hutaja kuanza kwa maono au njozi?

go into a trance

(3) Maneno gani hutaja hali ya kuwa na maono au njozi?

be in a trance, have a vision, hallucinate

(4) Maneno gani hutaja tendo la mtu mmoja kumsababisha mwingine awepo katika hali ya ufahamu usio wa kawaida (yaani maono au njozi)?

hypnotize

(5) Maneno gani huelezea kurudi kwa hali ya ufahamu wa kawaida (yaani kuisha kwa maono au njozi)?

come out of the trance

(6) Watu gani wanahusika na hali za ufahamu usio wa kawaida (yaani maono au njozi)?

exorcist

(7) Kitu gani kinamsababisha mtu awepo katika hali ya fahamu usio wa kawaida (yaani kuwa na maono au njozi)?

be possessed by a spirit, drugs

2.5.6 Dalili ya maradhi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na dalili za magonjwa--yaani kitu kinachokutokea wakati unapougua au kitu kinachokuonyesha unaumwa.

(1) Maneno gani hutaja dalili ya mgonjwa?

dalili, ishara, alama, kuonyesha ishara

(2) Kuna aina gani za dalili za magonjwa?

shock, delirious, numb,

(3) Maneno gani hutaja kuhisi udhaifu?

weak, weakened, feel tired, no energy, debilitate, enervate,

(4) Maneno gani huelezea mabadiliko ya rangi ya ngozi iliyosababishwa na ugonjwa?

kukwajuka, kusawajika, rangi iliyofifia, madoamadoa

(5) Maneno gani hutaja kuwasha kwa ngozi?

kuwasha, kujikuna, kuchoma

(6) Maneno gani hutaja tendo la kukohoa?

kukohoa, kikohozi, kupiga chafya, kikohozi kikavu

(7) Maneno gani hutaja mkakamao wa misuli uliosababishwa na maumivu?

kukakamuka, kukakata, kukunjika (na maumivu)

(8) Maneno gani hutaja kutetemeka kwa mwili kulikosababishwa na ugonjwa?

mkakamao, mtukutiko wa maungo

(9) Maneno gani hutaja kuhisi kizunguzungu au kulegea?

dizzy, dizziness, feel faint,



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   24   25   26   27   28   29   30   31   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page