Mwezi Tumia eneo hili kwa maneno yanayohusiana na mwezi



Download 2.8 Mb.
Page25/206
Date08.01.2017
Size2.8 Mb.
#7963
1   ...   21   22   23   24   25   26   27   28   ...   206

2.5.2.3 Ugonjwa wa tumbo


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na ugonjwa wa tumbo.

(1) Maneno gani hutaja kuwa na mgonjwa wa tumbo?

have an upset stomach, have a stomach-ache, tummy-ache, be sick to your stomach,

(2) Magonjwa fulani ya tumbo huitwaje?

kuhara, kuharisha, kutapika, kichefuchefu, kidonda cha tumbo

(3) Maneno gani hutaja tendo la kutapika?

be sick, throw up, vomit, puke, barf, bring up, regurgitate, spew,

(4) Maneno gani hutaja tendo la kutapika bila kutoa kitu chochote?

retch, heave, gag,

(5) Dalili za ugonjwa wa tumbo ni nini?

kwikwi, kuchafuka moyo

(6) Maneno gani huelezea jinsi unavyojisikia wakati tumbo lako linauma?

feel sick, queasy, nausea, be going to be sick, nauseated, nauseous,

(7) Maneno gani hutaja kitu kinachokufanya ujisikie tumbo lako linauma?

nauseate, give you an upset stomach, make you sick to your stomach,

2.5.2.4 Kuoza kwa meno


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kuoza meno.

(1) Maneno gani huelezea hali ya jino baya?

uozo wa jino, limeoza, kijishimo

(2) Maneno gani hutaja maumivu yaliyosababishwa na jino baya?

maumivu ya jino

(3) Maneno gani hutaja kupotea kwa jino?

kupotea, kung'oka, pengo

(4) Maneno gani hutaja tendo la kutoa jino?

extract a tooth, pull a tooth, have a tooth out, extraction,

(5) Maneno gani hutaja tendo la kutengeneza jino?

fill, filling, drill, cap, root canal,

(6) Maneno gani hutaja meno ya bandia?

false teeth, dentures,

(7) Maneno gani humtaja mtu ambaye anahudumia meno vibaya?

dentist, oral surgeon, dentistry,

2.5.2 Maradhi


Tumia eneo la maana hili kwa maneno ya kawaida yanayohusiana na ugonjwa kwa jumla na kwa majina ya magonjwa na maradhi fulani.

(1) Maneno gani hutaja ugonjwa?

ugonjwa, maradhi, uele

(2) Maneno gani hutaja magonjwa yanayoendelea kwa muda mfupi tu?

attack, a bout of, a touch of,

(3) Maneno gani huelezea aina ya ugonjwa au maradhi?

acute, chronic, bacterial, complication, critical, curable, degenerative, genetic, morbid, nervous, neuromuscular, psychosomatic, virus, wasting,

(4) Maneno gani huelezea magonjwa au maradhi yanayoua watu?

terminal, fatal, incurable,

(5) Maneno gani huelezea magonjwa au maradhi yanayoambukizwa kwa urahisi?

infectious, contagious, catching,

(6) Maneno gani hutaja magonjwa au maradhi yanayoenezwa kwa watu wengine?

spread, epidemic, outbreak, plague,

(7) Magonjwa fulani huitwaje?

malaria, jedhamu, tauni, matende, surua, homa ya manjano, homa ya matumbo, kichocho, ngiri (ya uti wa mgongo), pepopunda

(8) Maneno gani hutaja ugonjwa wa ubongo au akili?

Alzheimer's, amnesia, stroke, depression, schizophrenia, shock, stress,

(9) Maneno gani hutaja kifafa?

kifafa, ya kifafa, mashituko ya kifafa

(10) Maneno gani hutaja ugonjwa wa macho?

ugonjwa wa mboni ya jicho, ugonjwa wa macho, ugonjwa wa mtoto wa jicho

(11) Maneno gani hutaja ugonjwa wa pua na koo?

cough, whooping cough, cold, sore throat, influenza, flu, chill,

(12) Maneno gani hutaja ugonjwa wa mapafu?

respiratory disease, tuberculosis, angina, asthma, asthmatic, pneumonia, emphysema, grippe, hay fever, bronchitis,

(13) Maneno gani hutaja ugonjwa wa moyo?

heart attack, heart failure, coronary, arteriosclerosis, cardiovascular, fibrillation, hardening of the arteries, thrombosis, heart murmur, weak heart, heart condition,

(14) Maneno gani hutaja ugonjwa wa ini?

homa ya nyongo ya manjano, homa ya manjano

(15) Maneno gani hutaja ugonjwa unaoambukizwa kijinsia?

ugonjwa wa zinaa, ukimwi, kaswende, sekeneko, malengelenge, kisonono

(16) Maneno gani hutaja ugonjwa wa mifupa na miunganiko kati ya mfupa na mfupa?

arthritis, arthritic, stiffness of the joints, rheumatic, rheumatism, backache,

(17) Maneno gani hutaja kansa au saratani?

kansa, kansa ya mapafu, kansa ya ini, kansa ya ngozi, lukemia (kansa ya damu)

2.5.3.1 Kukatwa kiungo cha mwili


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na kukata au kupoteza kiungo au sehemu yoyote ya mwili wako.

(1) Maneno gani hutaja hali ya kukatwa kiungo cha mwili?

kukatwa kiungo cha mwili

(2) Maneno gani hutaja tendo la kukata kiungo cha mwili?

kukata, kutenga

(3) Maneno gani humtaja mtu aliyekatwa kiungo cha mwili?

aliyekatwa kiungo cha mwili

(4) Mtu aliyekatwa kiungo cha mwili hutumia nini?

viungo bandia, mguu wa mbao

2.5.3.2 Sumu


Tumia eneo la maana hili kwa maneno yanayohusiana na sumu--yaani kitu ambacho ni kibaya kwa mwili wako kama unakila, kama inakugusa, au kama mnyama anakuwekea sumu.

(1) Maneno gani hutaja sumu?

sumu

(2) Aina za sumu ya wanyama zinaitwaje?

kichomi (cha nyuki), sumu (ya nyoka au nge)

(3) Aina za sumu ya mimea na miti zinaitwaje?

poison ivy, hemlock,

(4) Aina gani za sumu huliwa au hunywewa?

sianidi (sumu kali), aseniki, sumu ya chakula kilichooza

(5) Aina gani za sumu huathiri ngozi?

sumu ya gesi, kiuwa wadudu (dawa ya kuulia wadudu)

(6) Maneno gani huelezea kitu chenye sumu?

harmful, poisonous, toxic, noxious,

(7) Maneno gani hutaja tendo la kumpa mtu sumu?

poison (v),

(8) Maneno gani hutaja tendo la mnyama kumwekea mtu sumu?

bite, sting, inject,

(9) Maneno gani hutaja tendo la kutibu mtu aliyechomwa na nyoka?

kukata, kufyonza (sumu kutoka kidonda), sindano ya kiuasumu, mashine ya kupigia umeme

(10) Maneno gani hutaja tendo la kutibu mtu aliyekula au kunywa sumu?

kiuasumu (dawa ya kupoza nguvu ya sumu), kutapisha, matapisho



Download 2.8 Mb.

Share with your friends:
1   ...   21   22   23   24   25   26   27   28   ...   206




The database is protected by copyright ©ininet.org 2024
send message

    Main page